International Forum

News and Stories from rest of the World
Kuna mtu kanipenyezea kutoka huko USA kwamba Kamala kwa sasa kaongezewa ulinzi na huenda akaangukia na bahatai ya kuokota embe chini ya mnazi. Kiwango cha Ulinzi kimeongezeka sana baada tu ya...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine, Volodymir Zelenskiy amewafukuza kazi watumishi 28 wa Shirika la Ujasusi la nchi hiyo (SBU) ikiwa ni siku moja baada ya kumfukuza Mkuu wa Masuala ya Ujasusi, Ivan Bakanov...
12 Reactions
59 Replies
4K Views
Tamasha la Mwenge la Kunming la mwaka 2022 limefanyika katika Kijiji cha Kikabila cha Yunnan, China. Watalii kutoka maeneo mbalimbali walicheza ngoma na muziki kwa pamoja kwa uchangamfu na...
1 Reactions
0 Replies
477 Views
Kama mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita zilitembea rumors kwamba Putin anaumwa siujui ni kansa, wakasema anaumwa sana anakaribia kukata moto wengine walifika mbali Wakasema ameshakufa tusubiri tu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Vijana wenye hasira Nchini Ghana katika eneo la Suame, ikidaiwa pia wamempiga makofu, kumtukana pamoja na kumwagia maji Mbunge wao, Osei Kyei Mensah-Bonsu, wakidai amekuwa na ahadi za uwongo kwa...
0 Reactions
8 Replies
964 Views
Waziri wa Usalama nchini humo, Jenerali Idriss Dokony Adiker amesema uamuzi huo ni kupambana biashara haramu ya watu na wimbi la wasichana wadogo kutumikishwa kingono katika nchi jirani Aidha...
1 Reactions
2 Replies
760 Views
Hili ni swali kwa wabobezi wote wa siasa za kimataifa. Vita vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande kama nchi? Kwa sisi wananchi, tunaona ni rahisi kuchagua upande. Kwa mfano kuna...
2 Reactions
11 Replies
757 Views
Jeshi la Polisi Nchini Malawi limewakamata watu 76 waliokuwa sehemu ya maandamano ya Wananchi Jijini Lilongwe wanaopinga mfumo wa uendeshaji kesi wa Mahakama kuwa taratibu katika kutoa haki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi na wafuatiliaji wa mambo,kuna habari nimeikuta mitandaoni imenishangaza sana. Siku zote mataifa ya kiarabu hasa saudi arabia ni mfuasi mkubwa wa USA na EU, sasa leo yeye tu Saud...
8 Reactions
62 Replies
7K Views
Haya sasa mambo yanazidi kuwa mengi then muda mchache raha ya hii dunia uwe mtabe. Marekani ni taifa ambalo ni wezi, vibaka, waporaji, majambazi bila kusahau maovu na uchafu wao kwenye hii dunia...
19 Reactions
62 Replies
5K Views
Katika harakati za kuhakikisha Russia inarejesha nguvu za ushawishi Africa na kujenga mahusiano imara baina ya Taifa Hilo na nchi zilizopo Africa, Russia imeanza taratibu za kujenga vinu vya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake. ===== Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Julai 20, wanafunzi na wazazi wao walikuwa wanatazama maonyesho kwenye Jumba la Makumbusho la mji wa Yuncheng mkoani Shanxi, China. Wakati mapumziko ya majira ya joto yanakuja, Jumba la...
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Tangu rais wa zamani wa Marekani Donald Trump aanzishe mvutano na China, wakati maafisa wa ngazi ya juu wa Marekani wanapofanya ziara katika nchi za nje, jambo ambalo wote hawaachi kulifanya ni...
2 Reactions
4 Replies
862 Views
Mawimbi ya joto kali yanayoikumba Ulaya Magharibi yatazidi kujitokeza mara kwa mara hadi mwaka 2060. Kitengo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Umoja wa Mataifa (UN) kimesema hilo linapaswa kuwa...
2 Reactions
5 Replies
771 Views
Mamlaka katika eneo hilo lililojitenga la Somalia, zimesitisha shughuli za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), likishutumu shirika hilo kwa kudhoofisha uaminifu wa taifa hilo. BBC ina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Usalama umeonekana kuimarishwa eneo la Bunge wakati Wabunge wakijiandaa kupiga Kura itakayoamua nani atakuwa Rais wa Nchi hiyo. Rais wa Mpito wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ni miongoni mwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watekaji wamemuua Padri John Mark Cheitnum katika Jimbo la Kaduna Nchini Nigeria ikiwa ni siku chache tangu iliporipotiwa kuwa ametekwa Julai 15, 2022. Tamko lililotolewa na Kanisa Katoliki la...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
"TUTAANZA KWA KUZIFUTA JAPAN NA KOREA KUSINI KWENYE USO WA DUNIA", Kim Jong Un Akihutubia Kongamano la Chama cha wafanyakazi Jijini Pyongyang, Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un...
40 Reactions
93 Replies
7K Views
Hatimaye Watoto wa rais wa zamani, José Eduardo dos Santos wamekubali baba yao azikwe mjini Luanda, lakini tu baada ya uchaguzi mkuu wa Agosti 24. Hapo awali familia hiyo ilipinga Uamuzi wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom