Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda...
Wakati mataifa mengi ya Ulaya yakiongozwa na Umoja wa Ulaya (EU) wakiendelea kuweka vikwazo kwa Urusi, Serbia imetangaza kukubaliana na taifa hilo katika biashara ya gesi.
Rais wa Serbia...
Benki kuu ya Zimbabwe imezindua sarafu za dhahabu katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la mfumuko wa bei huku sarafu ya nchi hiyo ikizidi kushuka thamani
Kiwango kikuu cha riba cha benki kuu...
Leo yupo Egypt anena kwamba Afrika tujitambue tuweze kumaliza ukoloni mamboleo.
======
Egypt: Russian Foreign Minister Visits Cairo at Start of African Tour
Sergei Lavrov
The trip aims to...
Wanaharakati wanne wa demokrasia akiwemo Mbunge wa zamani Phyo Zeya Thaw wamenyongwa na jeshi la Myanmar wakituhumiwa kwa mipango na kufanya njama za vitendo vya ugaidi
Wanaharakati hao...
Maafisa wa Urusi na Ukraine wametia saini makubaliano ya kuruhusu mauzo ya nafaka kutoka bandari ya Bahari Nyeusi ya Ukraine, yanayokusudia kupunguza tatizo la upungufu wa chakula duniani
Nchi...
Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya analysts wa gharama za vita Urusi kwa siku inatumia dola bilioni 20 kupigana vita Ukraine wataalamu wasema vita ikiendelea miezi sita urusi itafilisika...
Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China.
Katika miaka hii ya...
RAIS WA URUSI VLADIMIN PUTIN HATUMII KABISA SIMU JANJA
Rais wa Urusi Vladimin Putin hatumii kabisa simu janja
Spread the love
Katika dunia ya sasa kila mmoja anajitahidi kumiliki simu janja...
Mahakama nchini Misri imeliandikia Bunge barua ya kutaka kufanyike marekebisho ya kisheria ili kuruhusu matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni ya kunyongwa kwa muuaji wa mwanafunzi wa kike kwa...
Kwa heshima na taadhima naomba kuwakaribisha wanazuoni wa mambo ya vita, watafiti na wajuvi wa siasa za kimataifa kutoa elimu kuhusu nani anashinda kwenye uwanja wa medani ndani ya ukraine. Kama...
KICHAPO CHA LEO J'PILI👇👇👇
Wizara ya Ulinzi ya Urusi yatangaza kuharibu kwa meli ya kivita ya Ukraine na ghala la makombora la Marekani katika bandari ya Odessa
Leo, Jumapili, Wizara ya Ulinzi ya...
Mlipuko wa ugonjwa wa Mafua ya ndege uliotokea uingereza umeelezwa kuwa unahatarisha ustawi wa maelfu ya ndege wanaoishi katika kisiwa cha FARNE ambacho ni kisiwa muhimu kwa utalii. Kisiwa hiki ni...
Huku Israel ikipiga maeneo ya kijeshi yanayoratibiwa na makundi ya Iran, naye Urusi amepiga mabomu kwenye maeneo ya raia na kuua watoto kule Syria.
Syrian state news agency SANA reported Israeli...
With a view to avoid any potential negative consequences for food and energy security around the world, the EU decided to extend the exemption from the prohibition to engage in transactions with...
Wananchi wa Tunisia wanatarajiwa kupigia Kura ya Maoni Rasimu ya Katiba Mpya ambayo wakosoaji wa Rais Kais Saied wanahofia itaua Demokrasia iliyopatikana kufuatia Mapinduzi ya Mwaka 2011
Rasimu...
Zaidi ya watu 500 wamekusanyika na kuandamana wakilalamikia gharama za maisha kuwa kubwa Jijini Kuala Lumpur Nchini Malaysia yakihusisha wanasiasa vijana wa upinzani ambapo pia walipata nafasi ya...
By David R. Winston
Chapter Two
The Puppet Masters and the Trafficking Pipeline
The USSR’s economic decline in the late 1980s coupled with the growing Soviet-American rapprochement fostered...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.