Tarehe 22 julai rais putin alilalamika kupata kichefuchefu kisicho cha kawaida hali iliyosababisha matabibu zaidi kuitwa ili kumhudumia. Taarifa hizo zilitolewa katika mtandao maarufu wa...
Wanao laumu raisi wamekosa akili saana
Wana shindwa kuelewa mchezo wa siasa
Mimi naona ukimia wake una faida saana kuliko vurugo zenye hasara
Kama yupo Kimia kwa kutafakari afanyeje
Huo ukimia...
Wengi wao NI kutoka Bangladesh,Tunisia na misri.zaidi ya wahamiaji 1200 wamefariki katika bahari ya Mediterranean mwaka huu..Kuna ongezeko la idadi 84% ya wakimbizi kulinganisha na mwaka...
Rais Vladimir Putin amekosoa Mataifa ya Magharibi yanayoendelea kuipatia Ukraine silaha, akisema yanalenga kuendeleza Vita kati ya Urusi na Taifa hilo
Amesisitiza kuwa, kupeleka silaha hizo...
Ukraine’s military morale in decline – NYT
Those willing to fight are left behind while the unwilling are drafted, according to the US newspaper.
Ukrainian servicemen run for cover amid a...
Mamlaka ya Kudhibiti Dawa ya Zimbabwe imeruhusu uuzwaji wa bangi katika maduka ya dawa ambapo itakuwa zikitumika kama sehemu ya dawa, ambapo pia wauzaji wa rejereja na jumla waohitaji kufanya...
Watu 15 wamefariki Dunia na wengine 50 kujeruhiwa katika maandamano ya Wananchi kupinga uwepo wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN), Kaskazini Mashariki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
Seneta Robert Menendez amesema atasimamisha msaada wa usalama wa Marekani kwa Rwanda katika Bunge kutokana na kuwa na wasiwasi kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya Serikali ya Rwanda na taarifa za...
Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo...
Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amehojiwa na Wakala wa Kupambana na Utakatishaji Fedha wa Zambia kuhusu umiliki wake wa nyumba za kisasa zilizopo katika Mji wa...
Rasimu ya Katiba Mpya inayomuongezea madaraka Rais Kais Saied imeungwa mkono kwa asilimia 94.6% ya waliopiga kura huku, Wapinzani ambao walisusa kupiga kura wameshutumu Tume ya Uchaguzi nchini...
Vladimir Putin may have used a body double during his visit to Tehran, according to the head of Ukrainian military intelligence.
The Russian leader looked awkward as he came down the steps of his...
SRINAGAR:
NASIRA Akhter, mwanamke Mvumbuzi wa Kashmiri,mwaka huu alikuwa ni miongoni mwa wanawake 29, walionyakua tuzo ya kifahari ya Nari Shakti Puraskar, iliyokabidhiwa wakati wa kilele cha...
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa imesema mashambulizi dhidi ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, yanaweza kuwa uhalifu wa kivita baada ya kambi mbili za Umoja wa Mataifa...
By Tahir Bhat
SRINAGAR:
The President of India, Ram Nath Kovind bestowed Nari Shakti Puraskar on Kashmir woman innovator, Nasira Akhter on Tuesday, on international women’s day. She was one of...
Takriban watu watano wameuawa na wengine hamsini kujeruhiwa katika siku ya pili ya maandamano ya kupinga vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya...
Hatimaye Ukraine na Urusi walifikia makubaliano ya kuruhusu ngano ya ukraine kusafirishwa kwa kutumia bandari ya Odessa. Ukraine walivyoona hivyo, wakaamua kupeleka kwenye bandari hiyo meli...
Wakati Zelensky akihojiwa akielezea dhamira yake ya Waukraine waweze kuvuka dhidi ya Udhalimu ambao Viongozi wa Urusi ambao ujinasibu Ukraine ni sphere of influence ya Kremlin na sio nchi...
HIMARS ZINAWATOA WATU KAMASI...
MMEPIGA KILA AINA YA SILAHA UKRAINE
USA KAJA NA HIMARS TU UPEPO UMEBADILIKA ZIPO 8 TU HIVI ZINGEKUWA 50?[emoji1787][emoji1787]
SOMA HAPA PRO RUSSIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.