Mambo yanazidi kuwa magumu na kama nilivyokwisha kusema kwamba Putin kashapoteza Dira ya vita Duniani: Vita ya Ukraine, Putin amepoteza Dira, mpaka sasa haelewi afanyeje kumaliza vita...
Hawa watu kwa kweli huwezi shindana nao,hata ufanyeje,wana akili za hali ya juu sana katika kupanga operation zao.
======
Mnamo Novemba 2020, msafara uliokuwa umembeba Mohsen Fakhrizadeh...
Huwezi kuamini, hivyo visilaha vimefanya kazi ya ajabu sana kulichakaza jeshi la pili Kwa ubora ulimwenguni ( Russian Army).
Vimeundwa Kwa gharama ndogo sana ila Kwa tech ya juu sana. Wote...
Kiongozi Muadhamu: Watieni adabu waliofanya na kuamrisha jinai ya kuuliwa kigaidi shahid Fakhrizadeh
Nov 28, 2020 09:42 UTC
[https://media]
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia...
Ripoti iliyovuja kutoka kwa mjumbe wa Umoja wa Ulaya barani Afrika inaonya kwamba mataifa ya Afrika yanalaumu vikwazo vya Umoja wa Ulaya kwa Urusi kwa uhaba wa chakula.
Majibu ya mjumbe wa Umoja...
Indonesia imezizuia Yahoo, kampuni ya malipo ya Paypal na tovuti kadhaa za michezo ya mtandaoni kwa kushindwa kufuata sheria za leseni.
Sheria zilizotolewa mwishoni mwa Novemba 2020, zinazipa...
Misri imewaachia huru wafungwa saba wakiwemo mwandishi wa habari Hisham Fouad pamoja na mtafiti wa masuala ya binadamu (anthropology) Ahmed Samir ambao walikuwa wakishtakiwa na makosa...
Elon Musk's Twitter profile is seen on a smartphone placed on printed Twitter logos in this picture illustration. REUTERS/Dado Ruvic/Illustration
WILMINGTON, Del., July 29 (Reuters) - Elon Musk...
Taiwan anatakiwa ajifunze kutoka Ukraine.
Mgogoro kati ya China na Taiwan unazidi kuchukua sura mpya kil siku kama ni jipu limekwiva tajari bado kutumbuka tu.
Mgogoro huu umefikia pabaya sana...
Marekani imeiomba serikali ya DRC kuwalinda walinda amani wa Umoja wa Mataifa na majengo yao kufuatia maandamano yanayoendelea nchini humo.
Maandamano ya kuipinga Tume ya UN nchini humo...
Thursday’s reading is a blow to the Biden administration, which many have blamed for record-high inflation and soaring interest rates that have caused consumers to tighten their purse strings...
Russian energy giant Gazprom says it has suspended gas supplies to Latvia - the latest EU country to experience such action amid tensions over Ukraine.
Gazprom accused Latvia of violating...
Netflix iliwashtaki waundaji wa jukwaa la muziki linalodaiwa kuwa halijaidhinishwa la tamthilia yake maarufu ya kipindi "Bridgerton," ikiwashutumu kwa ukiukaji wa hakimiliki baada ya kuongeza...
Rais mstaafu wa Marekani Donald Trump kamkemea na kumkosoa vikali rais Biden kwa kutumia vibaya pesa za walipa kodi wa Marekani dola bilioni 60 kununulia silaha na kuzipeleka Ukraine, ambapo...
Mafuriko ya siku mbili maeneo ya Tehran yameuwa Watu 53 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Serikali.
Mkuu wa Kitengo cha Msalaba Mwekundu, Mehdi Valipour amesema Watu wengine 16 hawajulikani walipo...
Katika kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kuulinda mfumo wa pesa usianguke mazima nchi ya Uchina imelazimika kuingiza vifaru vya kijeshi& wanajeshi waliojihami kwa siraha mtaani kuzizunguka...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu( ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa mapigano ya wenyewe...
Kumekucha inaonyesha HIMARS zinawanyima usingizi Russia mpaka bwana putin kuitisha kikao kuijadili hiyo HIMARS
Swali chokozi...HIMARS ni tishio kwa Russia?
Je Russia hajui zinapotoka HIMARS...
Ujumbe ulikuwa hivi, unajua nyie waafrica yaani sisi kwamba tuna Tabia ya kimalayamalaya hivi hatuwezi tukawa na msimamo wa kusimama na mmoja ndio maana tulibaki mabubu kwenye kura kule UN, kwa...
Aliyekuwa Waziri wa Kazi wa Msumbiji Maria Helena Taipo amehukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya rushwa, yanayohusisha kujipatia fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 3.96 sawa na Dola za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.