Britain faces being plunged into Germany-style blackouts as the energy crisis spirals, experts warn.
Street lights could be dimmed or switched off, and central heating use slashed in public...
China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan.
China...
Inakadiriwa karibia nusu(47%) ya wakazi wote katika miji na majiji Africa chini ya jangwa la Sahara wanaishi katika makazi duni sana au slums ambayo yana msongamano mkubwa, yamejengwa hovyo bila...
Mabeberu ni manyang'au!! ni majambazi, mbele ya pesa hayana simile!! Huwezi kuamini kuwa mahakama ya juu ya London imeamua kuwa dhahabu yote ambayo serikali ya Venezuela iliyokuwa imeiweka akiba...
Kiongozi mkubwa kabisa Nchini Pakistani Maulana Muhammad Khan Sherani asema kuwa uislamu unatufundisha kuwa Israel ni nchi ya Wayahudi pekee. Je, ndio mpango mpya wa mahusiano ya kibalozi kati ya...
Serikali ya kijeshi nchini Mali imemshutumu Rais Emmanuel Macron kwa tabia ya "ukoloni mamboleo na udhalilishaji" na kumtaka aache ukosoaji wake kwa Jeshi la nchi hiyo na kuchochea chuki ya...
Urusi imefanya mashambulizi mabaya kote Ukraine, huku Kyiv ikizidisha juhudi zake za kutwaa tena eneo la Kherson kusini lililokaliwa.
Watu watano waliuawa na 26 kujeruhiwa wakati makombora...
"GET READY FOR WAR"
Official Acc ya Jesh la Peoples Liberated Army of China kwenye mtandao wa kijamii wa China, Weibo, imepost ujumbe ukisema" Kuwa Tyari kwa Vita".
Vifaru na vyombo vya kivita...
Meli za Urusi zimeshambuliwa na ndege zisizon na rubani (drone) katika Bandari ya Crimea iliyopo Sebastopol, leo Julai 31, 2022 na kujeruhi watu watano.
Wakazi wote wa eneo hilo wamepewa angalizo...
Julai 31, huko mjini Changzhou mkoani Jiangsu, China, wakazi na watalii walikuwa wakifanya manunuzi kwenye maduka mbalimbali katika mtaa wa kibiashara wa Hanjianglu uliopambwa kwa taa za rangi...
Wanaanga wa anga za juu wamepigwa marufuku kupiga punyeto wakiwepo anga za juu.
Hii inatokana na uwezekano wa wao kuwapa mimba viumbe wengine wa anga za juu na hivyo kuzaa viumbe hybrid ya...
Genge la Wanaume 82 wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Afrika Kusini leo wakihusishwa na makosa mbalimbali yakiwemo kuwabaka kundi la Wanawake waliokuwa wanarekodi video ya Muziki katika...
Mbwa kala mbwa, sasa hapa sijui mtashabikia yupi nyie jamaa zetu humu, maana hawa wote ni wenu, kwa sasa pumzikeni kushabikia Urusi.
The Afghan government says one its officers was killed in...
Kongamano la pili la Amani na Usalama kati ya China na Afrika limefanyika hivi karibuni kwa njia ya mtandao. Katika barua yake ya pongezi kwa kongamano hilo, Rais Xi Jinping wa China ameeleza...
Kiongozi wa Kijeshi wa Nchi hiyo, Min Aung Hlaing ameongeza muda wa hali ya hatari kwa Miezi 6 baada ya Baraza la Ulinzi na Usalama la Kijeshi kuunga mkono kwa kauli moja huku akisema kukosekana...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy ameamuru raia waliopo katika Mji wa Donetsk kuondoka haraka kutokana na kuendelea kwa mapigano kati ya Wanajeshi wake dhidi ya vikosi vya Urusi.
Zelenskiy...
Papa Francis Amesema Anaweza Kuachia Cheo Chake Kutokana Na Kusumbuliwa Kiafya Hasa Goti Lake
Ikiwa Atafanya Hivyo Basi Atafuata Nyayo Za Mtangulizi Wake Papa Benedict Ambaye Alipojiuzuru Nafasi...
Wanadhani hukugundua mpango wao na Rafiki yao unayempelekea Moto Kwake kuwa asije ili uje Wewe na wamsaidie kwa kutumia Mbinu ya Mrusi kisha yakukute huko huko Geneva ya Afrika au ukirejea Kwako...
Jeshi la Ukraine limetoa video ikionyesha uharibifu wa mfumo wa kuzuia Makombora wa Urusi aina ya S300 uliogaribiwa huko kusini mwa Ukraine.
Ukraine imeharibu gari la kurusha Makombora hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.