International Forum

News and Stories from rest of the World
Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA. Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software...
6 Reactions
61 Replies
5K Views
Aisee nimetokea kumpenda bure huyu mama Nancy Pelos jamani. katikati ya mijabali miwili inayotunishiana misuli, mama anatembea kwa madaha bila wasiwasi wowote. Hili hata Trump, pamoja na kujitia...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Jeshi la Burkina Faso limekiri kuua raia wa kawaida kwa kimakosa katika mashambulizi yake ya anga Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo wiki hii. Nchi hiyo ya Afrika Magharibi imekuwa ikipambana na...
1 Reactions
1 Replies
605 Views
Waandishi wa habari wa Kampuni ya Reuters wametangaza mgomo wa siku moja kupinga ongezeko dogo la Mishahara katika kipindi hiki cha Mfumuko wa Bei Wanahabari hao wanadai Mwajiri wao hakujadiliana...
0 Reactions
3 Replies
866 Views
“Bustani isiyo na mbu”, ambayo ni ya kwanza mjini Chengdu ilifunguliwa. Bustani hiyo inatumia mitego ya mbu, kuanzia usimamizi wa maji na mimea, ili kuangamiza mbu kwenye nyasi na madimbwi.
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina. USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele. Jitadhmini sana Mr. Putin...
28 Reactions
141 Replies
9K Views
Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo. Mpaka...
16 Reactions
148 Replies
10K Views
Wizara ya Biashara ya China imesitisha usambazaji wa Mchanga kwa Taiwan Kama jibu la kitendo Cha Marekani na Spika Pelosi kuitembelea Taiwan licha ya onyo Kali kutoka China. Mchanga unatumiwa na...
21 Reactions
54 Replies
4K Views
Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia...
1 Reactions
3 Replies
792 Views
Serikali ya Marekani kupitia msemaji wa Ikulu, imesema kuwa haiogopi, wala haitafuata maelekezo ya China. Pia China haipaswi kujawa gadhabu kwa ziara ya Spika wa Bunge, kwani Marekani kjna...
25 Reactions
223 Replies
13K Views
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya mazungumzo kwa simu yaliyochukua masaa 2 na dakika 17 kati ya Rais wa Marekani, Joe Biden na Rais wa China, Xi Jinping, Xi atoa onyo kali kuhusu mgogoro wa Taiwan: "wale wanaocheza na...
6 Reactions
81 Replies
7K Views
Mkurugenzi wa sasa wa CIA, William Burns ana ushawashi mkubwa sana katika sera ya mambo ya nje ya Marekani kwa sasa. Kwa taaluma na uzoefu ni balozi wa zaidi ya miongo mitatu sehemu ya ubalozi...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
China imetangaza kufunga njia za bahari kwa meli zote na anga kwa ndege zote, Wametangaza kuanza mazoezi kuzunguka pande 6 za Taiwan Mazoezi hayo kuanza tarehe 04 hadi 07/08 Mazoezi hayo...
15 Reactions
143 Replies
10K Views
Russia ndiyo hivyo, Tumaini pekee lilikuwa Kwa Mchina. Na yeye Jana ndiyo hivyo. Kapigwa biti na MBABE na wote tumelishuhudia pambano live bila chenga. Yale maneno ya XI (you will be met with...
14 Reactions
31 Replies
2K Views
Hawa watu wa visiwani kuanzia ngoma kongwe hadi kule pemba ukipita kwenye vijiwe vya kahawa ni hatutaki muungano hatutaki muungano ingawaje kwa sasa wametulia kidogo sijui kwann Wenzao taiwan...
23 Reactions
63 Replies
3K Views
Haya wale warusi wa marinyi mliokuwa mnajipa moyo na mkwala mbuzi wa Putin ambao kimsingi hautofautiani na ule wa Xi kwamba atakayeisaidia Ukraine atapigwa, US kasaidia silaha mkahamisha goli ooh...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa linakuja na mpango mbadala wa kutoa chanjo ya kujikinga na COVID-19 kwa kuamua kuweka kipaumbele katika Nchi au maeneo hatarishi ya watu kuambukizwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika mji wa Yangzhou, Jiangsu, China, duka la kwanza la paka limefunguliwa rasmi. Duka hilo lina zaidi ya paka 70 wa aina mbalimbali.Wapenzi wa paka na watoto wanaweza kununua na kucheza na paka...
3 Reactions
11 Replies
907 Views
Upigaji kura kwa njia ya Mtandao katika Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Conservative ili kumpata Mrithi wa Boris Johnson umecheleweshwa baada ya wataalamu wa Mtandao wa Serikali kuibua wasiwasi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom