International Forum

News and Stories from rest of the World
Ripoti ya wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa inaonyesha kuwa wanajeshi wa Rwanda walifanya mashambulizi ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kulisaidia kundi la waasi la M23. Ugunduzi huo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumbuka huyu ni wa tatu baada ya wenzake kukamatwa hapo mwanzoni na kupigwa sumu ,kwa kuvujisha siri ya kutengeneza Bomu la hypersonic kwa nchi za magharibi ,kwa maana timu nzima itauwawa sasa...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
China inayofahamika kuongoza kwenye uchafuzi wa mazingira duniani, imetishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira, maana kwamba itaendelea kuchafua kabisa wa kujifia ajifie, hii ni...
1 Reactions
8 Replies
931 Views
Huyu gaidi amekuwa akitafutwa kwa zaidi ya miaka kumi bila kukamatwa, ameongoza mashumbulizi mengi Gaza ya Islamic Jihads, hata haya mashambulizi yanayoendelea kwa sasa Tel Aviv yeye ndiyo alikuwa...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
A top official involved in Taiwan's missile production died of heart problems on Saturday, the army-owned institute where he worked said, as China conducts massive military drills around the...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa umesema karibia asilimia 90 ya Raia wanakabiliwa na ukame nchini humo na kusababisha watu 918,000 kuyahama makazi yao huku utapiamlo na milipuko ya magonjwa ikiongezeka...
1 Reactions
12 Replies
831 Views
Nataarifiwa hapa USA pekee huchangia yapata 22% ya bajeti ya UMOJA WA MATAIFA (sisi Afrika kwa umoja wetu, AU wenye nchi 54 tunachangia % ngapi huko UN?). Mhe. Trump ataendelea na formula (22%)...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Meli ya kivita ya USS Ronald Reagan yaelekea karibu na Taiwan ambako China inafanya mazoezi ReutersCopyright: Reuters Jeshi la Wanamaji la Marekani limesema meli ya kubeba ndege ya USS Ronald...
8 Reactions
88 Replies
8K Views
Marekani imezitisha nchi za afrika zisinunue kabisa mafuta ya urusi!. Zinaruhusiwa kununua ngano na mbolea lakini ziachane na mafuta maana marekani imeyawekea vikwazo. Swali: Je kuna nchi ya...
12 Reactions
83 Replies
5K Views
Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Rais Alassane Ouattara ametia saini amri ya kutoa Msamaha kwa mtangulizi wake, Laurent Gbagbo, aliyehukumiwa kifungo cha Miaka 20 jela mwaka 2018 kwa kukutwa na hatia ya kuhusika machafuko ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watoto wanne na Wanamgabo kadhaa wa Palestina wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyotokea Ukanda wa Gaza ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza kwa mashambulizi kutoka kwa vikosi vya Israel...
1 Reactions
9 Replies
525 Views
After meeting friday sochi city Putin pledged that Russia would supply Turkey with oil, gas and coal “without any interruptions,” after the two leaders agreed that Ankara would pay for some of...
5 Reactions
5 Replies
672 Views
Imebainika kuwa Jeshi la Mali na "Askari Wazungu’ ambao inadaiwa ni Wanamgambo wa Kundi la Wagner la Urusi ndio waliohusika na mauaji ya raia 33, ambapo kati yao 29 wakiwa ni raia wa Mauritania na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Donbass fighting is ‘hell’ – Zelensky The president says Ukrainian forces can’t break Russia’s advantage in artillery and manpower. Ukrainian President Vladimir Zelensky said on Tuesday that the...
15 Reactions
140 Replies
8K Views
NEW BIOLOGICAL UPDATE FROM RUSSIA New briefing from Chief of Radiation, Chemical and Biological Defence Forces, General Igor Kirillov, on military biological activities of the United States in the...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Joe Biden wa Marekani amesaini amri inayolenga kulinda haki ya kutowa mimba. Uamuzi huo ni kujibu uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Juu kufuta haki ya kikatiba ya kuavya mimba nchini...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Marekani na serikali ya Ukraine wanalalamika kuwa Urusi imeshaanza kutumia drones ilizopewa na Iran kushambulia majeshi ya Ukraine na miundombinu ya kijeshi ya Ukraine. Ktk drones hizo ni pamoja...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Mtandao wa haki za binadam Amnesty International umetoa ripoti juu ya vita ya Ukraine ambapo serikali na majeshi ya Ukraine yamelaumiwa vikali mno kwa kutumia raia wa Ukraine kama ngao za kivita...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Vita ya Ukraine imesabaisha masuala mengi ikiwemo mahitaji ya vyakula kwa bara la Afrika yajulike kwa udhaifu wake. Kwa mujibu wa ripoti ya BBC iliyochapishwa wiki hii imeonesha Bara la Afrika...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom