Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema nchi yake haitaagiza mafuta kutoka, Urusi kama alivyoomba Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Sergey Lavrov wakati wa ziara yake ya hivi karibuni nchini...
Mataifa ya magharibi yameshtushwa na uamuzi wa Uturuki kuziwachia benki zake 5 kutumia mfumo wa ulipaji kimtandao wa Mir ulioasisiwa na Urusi.Wakati huo huo Uturuki imeanza kununua gesi ya Urusi...
Wakati watanzania bado tukilia na bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika rasmi kuanzia Agosti 3 2022, nchini South Africa mambo ni tofauti kabisa.
Wizara ya madini na nishati nchini humo...
Kama sehemu ya Mikakati inayolenga kuboresha Maisha yao, Walimu wa Shule za Msingi Nchini Rwanda watapata nyongeza ya 88 katika Mishahara kuanzia Agosti
Mbali na nyongeza hiyo kwa ngazi na...
Mzik wa hamas umezid kuiangusha Russia , kichapo kimekua kikali sana Ukraine wmeweza kuwadhibiti Russia kusonga mbele.
The Armed Forces of Ukraine destroyed at least six Russian ammunition points...
Vitongoji vya makaazi karibu na Ikulu ya Rais wa Somalia mjini Mogadishu vimeshambuliwa kwa mabomu leo, muda mfupi baada ya Bunge la nchi hiyo kuidhinisha Baraza la Mawaziri lenye wajumbe 75...
Shirika la Madawa la Ulaya (EMA) linapendekeza chanjo ya Novavax ya #COVID-19 kubeba onyo la uwezekano wa mtumiaji kupata ugonjwa wa aina mbili za kuvimba kwa moyo ‘myocarditis’ na ‘#pericarditis’...
Wanabodi:
Rais wa Marekani Joseph Biden ana umri wa miaka 80
Mgombea Urais Kenya Raila Odinga ana Umri wa Miaka 78
Makamu wa Rais wa Marekani ni Mwanamama
Mgombea Umakamu wa Rais Kenya Ni...
Zile tambo za Zelensky kwamba hataki mazungumzo na Putin kwa kuwa atamshinda kwenye uwanja wa vita naona zimeishiwa pumzi. Kipigo anachokipata kila siku si cha kitoto. Bahasha ya makombora...
Nimeweza kwa sauti, ingekua ndo Pelosi ameileta jeuri iran kwa kuingia kwenye kisiwa chao hivyo kama alivyomfanyia China kule Taiwan lingemkuta jambo
Mnafikiri Iran au korea ya kaskazini wangekua...
Msemaji wa kundi la waasi la Tigray People's Liberation Front (TPLF) Getachew Red amefutilia mbali mazungumzo ya amani kutokana na Serikali ya Nchi hiyo kuendeleza vikwazo Jimbo la Tigray
TPLF...
Tuombe!!
Eeh mwenyezi Mungu tunashukuru kwa kuliweka Taifa la Russia duniani na ukasema atakuaa mwamba wa kaskazini.
Bila Russia, Marekani angekua kashaeneza sera na agenda zake za NWO pamoja na...
Kabla ya vita ya pili ya Dunia, China ilikuwa ikiongozwa chama cha Wakoumitang. Wakiita nchi yao Republic of China. Hawa walikuwa chini ya Kai Shek. Wakoumitang walifanya kazi kubwa sana...
Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) waliopo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewaua takriban raia 15 na Kamanda wa Jeshi katika mashambulizi mapya dhidi ya Vijiji mwishoni mwa...
Urusi hali mbaya mauzo pekee.makubwa ya nje ni gesi tu bidhaa za viwandani hoi hazina soko nje shauri ya vikwazo
Kwa sasa viwanda vingi vinavyozalisha bidhaa za viwandani za kuuza nje...
Hapo vip!
Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu...
Marekani imeanza mazoez ya kijeshi mpakani kwa China kwenye boda inayopitia India ,hii ni baada ya China kuanza kupeleka vifaa na zana za kijeshi mpakan mwa Taiwan.MUNGU ATUNUSURU SISI HUKU MAANA...
Tazama listi ya nchi ambazo ni wananunuzi wakubwa wa bidhaa za China na kiasi walichonunua kutoka China mwaka jana.
1. USA - $531 billions
2. Hong Kong- $313 billions
3. Japan- $151 billions
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.