International Forum

News and Stories from rest of the World
Trump 'aliiba' nyaraka za siri za serikali alipohama Ikulu ya White House Idara ya Hifadhi ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa ya Marekani imetangaza kuwa, nyaraka za taarifa za siri zimepatikana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Akiwa na watoto wake 3, Kamanda wa Kipalestina wa Kundi la Al-Aqsa Brigade, Ibrahim al-Nabulsi mwenye umri wa miaka 30 aliuawa kwa shambulizi la Anga la Jeshi la Israel akiwa Nyumbani kwake...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Biden ameidhinisha kifurushi kingine cha Silaha Kwa Ukraine cha Dola bilioni moja ($1 billion). Kifurushi hiki ni kikubwa tangu Urusi ivamie Ukraine miezi mitano iliyopita. Kifurushi hiki kina...
9 Reactions
61 Replies
3K Views
Kuna kitu nimekifikiria sana Hili Congo tupate amani kwanza inahitaji tupate kiongozi anayependwa na raia wake na kusikilizwa na raia wake maana huyo hatatufanya tuwe pamoja na kufanya shughuli...
0 Reactions
1 Replies
432 Views
Brittney Griner ni nyota wa kike kwenye kwenye mpira wa vikapu/basket ball huko marekani. Alikamatwa huko Urusi akiwa na madawa ya kulevya na amehukumiwa jela kifungo cha miaka kumi. Rais Biden...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Vyanzo mbalimbali vya habari wanaripoti, kutokana na vikwazo vya EU dhidi ya Russia lakini nchi hizo bado zinanunua mafuta kutoka Russia kwa siri na kadri siku zinavyokwenda ndo wanazidi kuongeza...
3 Reactions
9 Replies
843 Views
Waziri wa mambo ya nje wa South Afrika kamchana Blinken kuwa South Afrika na Afrika kwa ujumla hawataki siasa za kipumb2vu za Marekani za kulazimisha kuchaguliana maadui au marafiki. Maneno hayo...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
U.S.A na China ndio super power kwa sasa huku nchi hizo zikiwa ni washirika wakubwa na wawekezaji wakubwa katika Dunia karibu 80% ya uwekezaji mkubwa duniani ni kutoka nchi hizi mbili. huku...
23 Reactions
51 Replies
6K Views
Nigeria inadai kuwa Watumishi kutoka nchini humo wanatengwa katika nafasi mbalimbali za kazi na kupandishwa vyeo, na kulalamikia upendeleo kwa ndugu na Jamaa wa Viongozi wa Jumuiya hiyo Kufuatia...
0 Reactions
10 Replies
554 Views
Ni mwendo wa kutishiana misuli na mikwara, Mchina amepiga piga mabomu kwenye bahari, ila sasa amesogezewa meli za Taiwan ole wake aguse moja, leo ndio siku ya mwisho Mchina anageuza...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa taarifa kwamba,Rais Joe Biden amepitisha msaada wa $ 1B kwa Ukraine siku ya Jumatatu. Msaada huo unajumuisha Mifumo mipya ya Maroketi (HIMARS),Maroketi 4,000 ya...
0 Reactions
10 Replies
772 Views
Zelesky alivyowafuta wa kwake mapro_Russia walishangilia na kumponda sana ,hawajui haya mambo ni kawaida jeshini Kama ilivyo ada, Wizara ya Ulinzi ya Uingereza na inayosimamia ujasusi imezungumza...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
08 August 2022 Havana, Cuba Moto mkubwa, katika ghala ya kuhifadhia mafuta unaendelea kwa siku ya pili baada ya moja ya matenki ktk ghala hiyo ya mafuta kupingwa na radi. Autoridades cubanas...
1 Reactions
9 Replies
987 Views
Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya...
0 Reactions
3 Replies
596 Views
Vyombo mbalilmbali leo asubuhi vimereport taarifa ya uvamizi wa FBI katika jumba la aliekuwa Rais wa marekani Donald Trump. Kupitia vyanzo mbalimbali vya taarifa vimebainisha kuwa Rais huyo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Balozi wa Myanmar Nchini China afariki Dunia, anakuwa Balozi wanne kufariki ndani ya mwaka Balozi wa Myanmar Nchini China, U Myo Thant Pe amefikwa na mauti wakati alipokuwa katika Mji wa Kunming...
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Rais Museven wa Uganda kaitolea nje Marekani baada ya rais Biden kumtuma balozi wa Marekani wa Umoja wa Mataifa, Linda Thomas-Greenfield, kwenda Uganda kumbembeleza na kumpigia magoti Museven ili...
17 Reactions
67 Replies
4K Views
Radi Yapiga Nje ya White House na Kuuwa Watu Wawili Hapo Hapo Siku ya jana Radi ilishuka Nje ya White House, Ikulu ya Marekani, na kuua Watu wawili ambao ni Wanandoa walijulikana kwa majina yao...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo...
2 Reactions
5 Replies
615 Views
Back
Top Bottom