Rais Julius Maada Bio ametaja maandamano dhidi ya Serikali yaliyotokea Jana, Agosti 11 nchini humo kuwa ni vitendo vya kigaidi vinavyochochewa na Raia wanaoishi nje ya Nchi
Takriban watu 130...
Rais wa Kongo, Felix Tshisekedi amemjibu Vikali Rais Kagema akisema Kongo siyo dhaifu na wapo tayari kujibu, iwapo Rwanda itaendelea na uchokozi wake.
Tshisekedi ameweka wazi kwamba katika...
Umoja wa Mataifa unasema ukame wa kihistoria nchini Somalia umepelekea watu milioni moja kuyakimbia makaazi yao sasa na kuiacha nchi hiyo ikikabiliwa na baa la njaa.
Shirika la Umoja wa Mataifa...
Jeshi la Urusi limepitisha ndege za kijasusi kwenye eneo la Ulinzi la Marekani la Alaska Air Defence Zone na kuthibitishwa na NORAD Northern Amarican Aerospace Defence Command, Niwazi ndege hizi...
Wanaume 14 wamefunguliwa mashtaka ya kuwabaka wanawake wanane baada ya kuwavamia wakati wakirekodi video ya muziki katika mgodi uliotelekezwa Johannesburg Nchini Afrika Kusini
Mtuhumiwa mdogo...
Wakati Tanzania tuna walimu kibao wasio na kazi Rwanda ina upungufu mkubwa wa walimu imeagiza walimu toka Zimbabwe.
Walimu anzeni kusaka kazi nje ya nchi. Kesheni mitandaoni kusaka kazi badala...
Dadake atoa tamko na kusema kiongozi huyo sasa yupo imara baada ya kuugua na kwamba watalipiza kisasi kwa Korea Kusini maana wanasema ni mchezo ulikua umechezwa kiaina fulani hivi.........
SEOUL...
Haya madude yamesababisha Warusi wapoteane, wanayasaka usiku na mchana, bado hawajatulia kuna mzigo mwingine unafaulishwa wa HIMARS nne...
U.S. Defense Secretary Lloyd Austin on Wednesday...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina...
Baada ya kuona vikwazo vya kiuchumi vimeshindwa kumdhibiti Putin, baada ya kuona misaada ya silaha na fedha (kwa sasa zimefikia zaidi ya dola bilioni 65!) zimeshindwa kumfanya Putin aiachie...
Hii inakuja baada ya Biden kutuma Makombora Ukraine.

===
A Russian senator has suggested that his country should attack U.S. military bases in Europe in response to the Biden...
US senators divided over HIMARS ammo for Ukraine – media
Disagreements over supplying Kiev with long-range rockets for the system cut across party lines, the Daily Beast reports
FILE PHOTO: US...
Imefahamika kuwa Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un alipata homa wakati wa maambukizi ya Uviko-19, hayo yamesemwa na dada wa kiongozi huyo, Kim Yo-jong.
Kwa kauli hiyo ni wazi anathibitisha Kim...
Russia's current-account surplus so far in 2022 is more than triple what it was a year ago as energy revenues have skyrocketed, according to the country's central bank.
From January to July, the...
China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa...
Jameni ukizingatia gharama ya S-300 halafu zinapigwa kizembe hivi, hivi vita vimemuanika Mrusi vibaya sana, ameonekana udhaifu wake na kubakia na manyuklia tu...
Washingpost inaripoti kuwa Russia anashikilia maeneo muhimu Ukraine ambayo yanakadiliwa na thamani ya dolla trilion 12.
Jarida hilo linasema Ukraine litakua taifa maskini kwani halitakua na...
Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea...
Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.