Wabunge 5 wa Bunge la wawakilishi la Marekani wamewasili katika kisiwa Cha Taiwan ishara ya kuonesha ushikamano Kati ya Marekani na kisiwa hicho wakati Ambapo China inakasirishwa na ziara Hizo...
Wizara ya afya ya Zimbabwe imesema Jumapili kwamba mlipuko wa Surua umeua watoto 80 nchini humo tangu Aprili, wakati ikidai mikusanyiko ya kidini imesababisha kuongezeka kwa maambukizi.
Kwa...
German imeweza kufikia kiwango chake cha uhifadhi wa gesi kwa asilimia 75% .kiwango ambacho ni cha juu kabisa ,kuweza kukabiliana na kipindi cha majira ya baridi.
Kweli hawa jamaa wajanja...
Zikiwa zimepita siku mbili tangu Salman Rushdie ashambuliwe kwa kuchomwa kisu sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kulazwa chumba cha wagonjwa mahututi huko Marekani, msemaji wa Wizara ya Mambo...
The 75-year-old Indian-born British author sustained nerve damage to his arm and damage to his liver, according to the New York Times.
New York state police have named the suspected attacker as...
Hadi aibu....
======
Ukraine’s air force says nine Russian warplanes were destroyed by explosions that rocked an airbase in Russia-annexed Crimea on Tuesday.
The blasts, which Russia says were...
Kwa huyo hapa mhusika nani haswa?
Ukraine’s air force says nine Russian warplanes were destroyed by explosions that rocked an airbase in Russia-annexed Crimea on Tuesday.
The blasts, which Russia...
Maafisa wa FBI waliopekua nyumba ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump iliyopo Florida maarufu kwa jina la Mar-a-Lago wamedai kupata nyaraka 11 za siri, zikiwemo ambazo zilistahili...
Wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliokuwa wamezuiliwa kwa zaidi ya mwezi mmoja nchini #Mali baada ya kushutumiwa kuwa mamluki, wamefunguliwa mashtaka ya kujaribu kuharibu usalama wa taifa na kuwekwa...
Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020.
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu...
Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Maiga amelazwa katika mapumziko aliyolazimishwa na daktari baada ya kuelezwa kufanya kazi kwa miezi 14 bila kupumzika.
Ofisi ya Waziri huyo imesema atarejea katika...
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini humo yamelishutumu jeshi kwa kuwaua zaidi ya watu 40 kaskazini mwa nchi hiyo na kusema kuwa kumekuwa na visa vingi vya utekaji nyara na vifo...
Kama namna fulani ya kuwajibu Wachina, Marekani kwenda kupitisha vyombo hayo maeneo ya bahari karibu na Taiwan na kufanya yao ikiwemo mazoezi ya kutunisha misuli....
A senior US official said...
Latest Israeli strikes target sites around the capital Damascus and south of the coastal Tartus province.
Israeli Air Force F-16 D fighter jet taking off at the Ramat David Air Force Base located...
Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo...
Korea Kaskazini yadai Korea Kusini imeienezea COVID
Aug 11, 2022 11:01 UTC
[https://media]
Mvutano umezuka kati ya Korea mbili kuhusu chanzo cha maambukizi ya COVID-19 Kaskazini, huku dada...
Maisha ya kawaida yanaripotiwa kurejea katika Mji wa Freetown baada ya maandamano ya wiki iliyopita ya kupinga gharama kubwa ya maisha na ukiukwaji uliokithiri wa haki za binadamu
Mashuhuda...
Sierra Leone protest: Wetin dey happen for Sierra Leone?
WIA DIS FOTO COME FROM,REUTERS
At least two police officers and one civilian don die after one day of anti-government protests for...
Wanawake waliokuwa wakiandamana kudai haki ya kuwa na huru Nchini Afghanistan wametawanywa na Wanamgambo wa Taliban ambao pia walitumia nguvu kuwashambulia kwa kuwapiga na kufyatua risasi hewani...
Nchini Iran, ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao. Wakati mwingine wanaume hudai cheti cha ubikira, jambo ambalo Shirika la Afya Duniani (WHO) linaona ni kinyume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.