Majiji kadhaa ya Nigeria ikiwa ni pamoja na Majimbo yake jana August 17 yaliachwa gizani baada ya wafanyakazi wa Kampuni za Usambazaji Umeme (TCN) na (AEDC) kuanza mgomo wa madai ya marupurupu...
Vyama vya Upinzani nchini humo vimesema kuwa vitawasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Cyril Ramaphosa kutokana na tuhuma za Utekaji Nyara na Utakatishaji Fedha.
Madai hayo yametolewa na...
Jaji Nchini Lebanon ameamuru Bassam al-Sheikh Hussein (42) ambaye alikamatwa na kuweka kizuizini kutokana na kuvamia benki akiwa na bunduki akitaka apewe fedha zake, aameachiwa huru bila masharti...
Waziri Mkuu wa sasa, Anthony Albanese anamshutumu Scott Morrison kushikilia majukumu katika Wizara 5 kwa siri, kinyume na Sheria za Nchi hiyo na kuelezea vitendo vya mtangulizi wake kama uvunjifu...
Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini mswada wa Dola Bilioni 700 ambao unalenga kupambana na Mabadiliko ya #TabiaNchi na gharama za #Afya huku akipandisha kodi kwa matajiri.
Sheria hiyo...
Tarek Amer aliyebakiza mwaka mmoja kumaliza utumishi wake kama Gavana wa Benki Kuu, amejuzulu leo na kuteuliwa kuwa Mshauri wa Rais wa nchi hiyo Abdel Fattah el-Sissi.
Kujiuzulu kwa Amer kunakuja...
Jaman Mimi Nina swali Dogo hivi hali ya maisha huko Russia ikoje. Pro Russia najua watakua na majibu ya swali langu. Nimejaribu kutafuta toka vyanzo mbali mbali vya habari sipati kabisa.
Ni wapi...
Serikali ya Uingereza imeanzisha mpango unaolenga kufuta kodi ya bidhaa mbalimbali zinazoingia nchini humo kutoka nchi maskini 65 duniani. viatu, nguo na baadhi ya matunda yasiyo zalishwa nchini...
Rais Volodimyr Zelensky wa Ukraine amewaonya Raia kukaa mbali na kambi za Jeshi la Urusi katika Jimbo la Crimea kwani Kambi Hizo tayari zimeanza kuwekwa kwenye orodha nyekundu na Jeshi la Ukraine...
Pentagon boss gets Covid again
Quadruple-jabbed Lloyd Austin tests positive again but won’t reconsider vaccine mandate
US Defense Secretary Lloyd Austin has tested positive for Covid-19 and is...
Ukisia taifa linawekewa Sanctions na mataifa ya magharibi basi usichukue poa hata kama hilo taifa lina nguvu kiasi gani kifo chake nikifo cha kikatili kwa uchumi wake mapaka vyombo vyake vya...
Je, Kim Jong Un atasimama upande wa Putin? Unaonekana kuna uswahiba kati yao.
Video ikirejea Siku ambayo Rais wa Urusi Vladimir Putin alivyokutana na Rais wa Korea kaskazini Kim Jong Un.
Western wametukataza tusinunue Mafuta toka Kwa mkombozi wetu Russia isipokua nafaka tu ambazo na zenyewe tunazo kwetu tunazilima sana tu.
Its too late kuinuka na kuamka sasa hivi. kuwapinga maana...
INTRO: Takriban kilomita 180 mashariki mwa Beijing, mji mkuu wa China, kuna mji unaoitwa Tangshan, ambao ni mji mkubwa zaidi wa chuma katika Mkoa wa Hebei, unaochangia takriban moja ya nane ya...
Mwili wa Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uhalifu, Juan Arjon Lopez aliyetoweka Agosti 9, umepatikana ukiwa na majeraha kichwani, Kaskazini-Magharibi mwa Mexico
Mwandishi huyo mwenye umri...
Kwamba ghala za silaha kuendelea kulipuka lipuka zenyewe ni matukio ya hujuma ndani kwa ndani.
Russia has admitted that the detonation of ammunition at a military depot in the Dzhankoy region of...
Sigara hiyo ya hatari ambayo imefanya Urusi wanajeshi wake kuondoka Kherson
Na imelipotiwa ndio iliochoma ndege za kivita na kushambulia Depot ya uhifadhi Siraha zao huko Crimea
Vitisho vya...
Baraza la Uuguzi na Ukunga nchini humo, limetangaza kumchunguza Mtengeneza Maudhui wa mtandao wa TikTok, anayedaiwa kuwa Mwanafunzi wa Uuguzi baada ya kuchapisha video inayodaiwa kutishia kuua...
Mahakama ya juu zaidi nchini Malaysia imeeleza leo kwamba itasikiliza ombi la mwisho la Waziri Mkuu wa zamani Najib Razak la kubatilisha hukumu ya kifungo chake cha miaka 12 jela kwa tuhuma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.