International Forum

News and Stories from rest of the World
Mkosoaji mashuhuri wa Serikali ya Rais Julius Maada Bio ameuawa wakati wa uvamizi wa polisi waliokuwa katika msako wa wahusika wa maandamano ya Wiki iliyopita, na kuzua wasiwasi mkubwa kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Afrika Kusini imesema haiwezi kuchukua wakimbizi kutoka Afghanistan licha ya ombi. "Afrika Kusini tayari ni makazi ya idadi kubwa ya wakimbizi na imebanwa kushughulikia mahitaji yao," Idara ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jopo la wanahabari na wanasheria wamelishitaki Shirika la Ujasusi Marekani, CIA na Mkurugenzi wake wa zamani Mike Pompeo kwa kukiuka faragha zao na kuwapeleleza walipomtembelea mwanzilishi wa...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Hali ya maambukizi ya Ugonjwa wa Surua Nchini Zimbabwe inazidi kuwa mbaya baada ya vifo kuongezeka mara mbli ya ilivyokuwa ndani ya wiki moja iliyopita, idadi ya waliofariki imefa Watoto 157, huku...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Wizara ya Sheria ya Marekani imesema kuweka wazi vielelezo vya kibali kilichotumiwa na Maafisa wa FBI kupekua nyumba ya Rais Mstaafu Donald Trump, kunaweza kusababisha madhara yasiyoweza...
0 Reactions
3 Replies
639 Views
Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa. Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Jeshi la China lilisema lilifanya mazoezi zaidi karibu na Taiwan siku ya Jumatatu wakati kundi la wabunge wa Marekani lilipotembelea kisiwa hicho kinachodaiwa ni himaya ya China na kukutana na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ikulu ya Marekani imesema Jill Biden, Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden amepimwa na kukutwa na maambukizi ya COVID-19. Taarifa ya Elizabeth Alexander, Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
ZIARA ya pelos, reaction kutupa makombora baharini Leo wamepeleka mawakala wa Congress USA hapo anamaanisha We need more than kutupa mawe baharini. Mkiendelea kutupa mawe baharini next week...
7 Reactions
7 Replies
774 Views
Iran imesema kuwa inafanya mazoezi ya kijeshi ya drones pamoja na shosti yake Urusi. Mazoezi hayo yaliyoanza leo juma tatu nchini Iran yataendelea kwa wiki 2. Mazoezi hayo yanahusisha pia vikosi...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Mahakama nchini Myanmar imemhukumu kiongozi wa nchi hiyo aliyeondolewa madarakani Aung San Suu Kyi kifungo cha miaka sita jela baada ya kumkuta na hatia katika kesi nne za ufisadi. Mshindi huyo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kampuni ya Kalashnicov imesema mwisho wa mwaka huu itayapatia majeshi ya Urusi silaha ndogo mpya ikiwemo submachine gun namba moja kwa ubora Ulimwenguni iitwayo PPK-20. Wataalamu hao wa masuala...
18 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwa mara nyingine tena Marekani imetuma wajumbe wa Baraza la Congress kwa ndege ya kijeshi hadi Taiwan tarehe 14 Agosti 2022. Kwa kitendo hiki,Marekani inafanya uchokozi wa wazi kwa China...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
578 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Bw. Antony Blinken alifanya ziara nchini Afrika Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC na Rwanda wiki iliyopita, ambapo alitangaza "mkakati mpya wa...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Jeshi la Ukraine limeilalamikia Urusi kutumia silaha 'katili', 'ovu', na 'kali' zaidi kushambulia majeshi ya Ukraine kwenye kijiji cha Pisky huko Donets. Silaha hizo zimetajwa kuwa ni thermobaric...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Russia: Hatima ya Zelensky ni kupandishwa kizimbani au kurudi kwenye uchekeshaji Aug 12, 2022 12:11 UTC [https://media] Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametabiri kuwa mustakabali...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika...
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameiomba Mahakama ya Juu nchini humo kubatilisha uamuzi unaomtaka arejeshwe jela ili kutumikia kifungo cha miezi 15, hatua ambayo hapo awali ilisababisha...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
INTRO: Mto Manjano na Mto Yangtze ndio mito mama ya taifa la China. Ulinzi wa Mto Mama siku zote limefuatiliwa na mkuu wa China, Xi Jinping. Katika miaka kumi iliyopita, Mto Manjano umekuwa...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Back
Top Bottom