Shikamoo Putin kwa akili kubwa.
Ujerumani+EU+NATO walikuwekea vikwazo kwa mbwembwe zote wakidanganyana kuwa wangeua uchumi wa nchi yako (Russia)...matokeo yake wao ndio wanaanguka kiuchumi na...
Ni mwendo wa kulipua lipua hapa na pale....
A drone strike has hit Russia’s Black Sea Fleet headquarters in the Crimea, Kremlin officials have confirmed.
Social media footage showed a plume of...
Take it back: Scholz calls on Russia to accept turbine needed for Europe's gas supplies.
German Chancellor Olaf Scholz has slammed Moscow over its refusal to take back a key piece of equipment...
Mkuu wa zamani wa CIA: Republicans ni chama cha siasa hatari zaidi kuliko ISIS, Al Qaeda
Mkuu wa zamani wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amsema Republicans ni chama hatari zaidi za siasa...
Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma
Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel...
Umoja wa Mataifa unasema Sudan Kusini inaendelea kuwa "mazingira yenye vurugu zaidi" kwa watoa misaada ya kibinadamu ikifuatiwa na Afghanistan na Syria baada ya Wafanyakazi 5 wa Mashirika ya Kutoa...
Shambulizi la risasi katika Mji wa Cetinje Nchini Montenegro limesababisha vifo vya watu 11 kati yao Watoto wakiwa ni wawili wa miaka 8 na 11.
Taarifa ya Polisi inasema mtuhumiwa wa shambulizi...
At last, an official body has acknowledged that the vaccines against COVID-19 contain graphene oxide as part of their composition. This event took place after a request was made to investigate the...
Barua ya Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Abdoulaye Diop, imeliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Ufaransa imekiuka Sheria za Anga lake mara kadhaa na kuwapa silaha wapiganaji wa...
Na Mwandishi wetu, Pretoria
Madereva wa magari Jijini Capetwon wanaojihusisha na kampuni za kusafirisha abiria za Uber na Bolt wameingia katika siku ya pili ya maandamano wakitaka kampuni hizo...
More than five million people have been ordered to undergo Covid-19 testing in the coastal Chinese city of Xiamen this week, after some 40 cases of the virus were detected.
But they're not the...
Mwandishi murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia
Aug 13, 2022 03:25 UTC
Msemaji wa Salman Rushdie, mwandishi Murtadi wa kitabu cha Aya za Shetani kinachomtusi na...
Wizara ya Afya nchini Malawi imesema hadi kufikia Agosti 16, 2022 Watu 44 walifariki dunia kutokana na Ugonjwa wa #Kipindupindu huku maambukizi yakifikia watu 1,073.
Licha ya kampeni ya Chanjo ya...
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Polisi nchini humo, Bheki Cele imeonesha kuwa mauaji yaliongezeka kwa 11.5% katika robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2022/2023 kupitia takwimu za uhalifu.
Cele...
Bila kupoteza muda,hii ndio habari ya Mjini huko Japan..
Hata hapa Tanzania TBL wameripoti kuongezeka kwa faida ya Mauzo ya pombe..
Hongera sana Walevi kwa kukuza Uchumi,wale wengine na soda zao...
Jeshi la Zimbabwe latia fora baada ya kuamua kushiriki International army games huko Urusi inayohusisha nchi 30 duniani.
Katika mashindano hayo, kikosi bora cha tanks cha Zimbabwe kimeshindwa...
Ule uvumi kuwa silaha za wamagharibi ni 'superweapons' (bora zaidi) unayeyuka kama theluji/barafu mchana wa jua kali. Waziri wa Ulinzi wa Urusi General Shoigu amezungumza ktk kongamano la usalama...
Jeshi la Israel limefanya uvamizi dhidi ya ofisi za mashirika saba ya kiraia ya Palestina alfajiri Alhamisi, Agosti 18, ikiwa ni pamoja na mashirika sita ya haki za binadamu ambayo Israeli...
China inatarajia kutuma baadhi ya Wanajeshi wake kwenda Urusi kwa ajili ya kufanya mazoezi ya pamoja ya Kijeshi kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 5, 2022.
Mazoezi hayo pia yatahusisha Wanajeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.