International Forum

News and Stories from rest of the World
Mafuriko yameua zaidi ya watu 50 katika Jimbo la Logar Nchini Afghanistan na sehemu ya Nchi ya jirani ya Pakistan huku baadhi ya watu wengine wakiwa hawajulikani walipo. Hasara nyingine ni nyumba...
0 Reactions
2 Replies
609 Views
Wale wazee wa propaganda na kutunga mada za urongo humu kigwendu wenu huku anaomba Urusi kutoa jeshi lake maji yamemfika kwenye shingo anamaanisha kichapo kisimamishwe Hii imetokana na wengi wa...
16 Reactions
61 Replies
4K Views
--------------------___________
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Rais Putin anaetimiza miaka 69 wiki ijayo, hutumia muda mwingi kujitenga (isolation) kutokana na wimbi la maambukizi ya Covid 19 yaliyoikumba nchi hiyo.
16 Reactions
54 Replies
6K Views
Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya...
17 Reactions
131 Replies
11K Views
Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati. Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR...
14 Reactions
107 Replies
5K Views
Unahisi nini kilitokea? Baba alijua? The daughter of a Russian ultra-nationalist and ally of President Vladimir Putin who argued Russia should absorb Ukraine has been killed in a suspected car...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande...
3 Reactions
95 Replies
8K Views
From February 24 to August 21, the Armed Forces of Ukraine eliminated about 45,200 Russian invaders. This is stated in the report of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine posted on...
2 Reactions
18 Replies
819 Views
Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Salami: Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan umo mbioni kujizatiti kwa silaha dhidi ya Wazayuni Aug 20, 2022 04:35 UTC [https://media] Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Trump: Katika muongo mmoja uliopita Israel ilikuwa ndiye mmiliki halisi wa Kongresi ya Marekani Nov 02, 2021 08:06 UTC Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump ameeleza hadharani jinsi Wazayuni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi mnadhani Iran hawana silaha za Nyuklia?Wanazo Iran anachokifanya ni kuwazuga tu wazungu Kuna mwanadiplomasia mmoja wa ngazi za juu wa Iran aliwahi kukiri kwamba Iran ana silaha za nyuklia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mali yake imefuatwa kimya kimya na kukadiriwa kuwa $200b, hiyo ni sawa na ukijumlisha GDP ya mataifa kama saba hivi ya Afrika, lakini jamaa ni msiri kupita maelezo............ They say money...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Urusi imesema takriban watu 16 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya Lori kugongana na Basi dogo lililokuwa limesimama katika eneo la Ulyanovsk leo Jumapili...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Oman yasisitizia msimamo wake wa kutoruhusu ndege za Israel kutumia anga yake Oman imesisitizia msimamo wake wa kukataa kuruhusu ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wabunge Nchini Urusi wameanza mchakato wa kupitisha muswada wa kumpa kinga ya milele Rais ambayo itamfanya asifungwe, kukamatwa au kusumbuliwa kwa lolote akiwa Rais na hata akimaliza kipindi...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Alexei Navalny ambaye amekuwa mstari wa mbele wa kuipinga Serikali ya Urusi inayoongozwa na Vladimir Putin ameripotiwa kupewa sumu na kukimbizwa Hospitali akiwa hajitambui. Inaelezwa kuwa Alexei...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Back
Top Bottom