International Forum

News and Stories from rest of the World
Elon Musk amechukua hatua za kisheria kumwita mwanzilishi mwenza wa Twitter, Jack Dorsey kufika Mahakamani akiwa kama mtetezi wake kuhusu kusitisha malipo ya zaidi ya Tsh. Trilioni 102 ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Marekani huwa anatoa matamko ya kulaani. ikishindikana anakuwekea vikwazo ikishindikana anakupa warnings. ikishindikana hapo sasa utamlaum mmarekani bure tu. Utapigwa utachakaaa, kisha ataiacha...
9 Reactions
94 Replies
6K Views
Mawakili wa Rais huyo wa zamani wamemuomba Jaji wa Mahakama Kuu kuzuia FBI wasiendelee na zoezi la kukagua nyaraka za siri zilizopatikana nyumbani kwake na badala yake ateuliwe mtu maalum ambaye...
0 Reactions
6 Replies
861 Views
Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina. Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi...
1 Reactions
4 Replies
612 Views
Warusi wamefikia 80k mpaka sasa lakini kwa mujibu wa SPUTINIK na RT bado wanaripoti Special Op ni watu wao 3k tu waliofariki Na malengo yatafikiwa, Urusi inasubiria muujiza wa 1942-43 ambapo...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Vipimo vimeonesha Sanna Marin hakutumia dawa zozote za kulevya baada video kuvuja iliyomuonesha akicheza, kuimba na kunywa katika sherehe ya hivi majuzi Bi Marin, 36, alikubali kufanya vipimo...
1 Reactions
6 Replies
883 Views
Globalists see humanity as cattle (or sheeple) to be exploited for as long as needed, then culled like cattle herds when they are no longer useful. As globalist advisor Yuval Harari is now saying...
1 Reactions
2 Replies
551 Views
Waungwana naomba mwenye kujua kisa na sababu zilizopelekea uyu jamaa PRINCE JOHN wa Liberia yule aliyempindua Raisi mwenzake Samuel Doe. Hawa wote walikuwa ni raia wa liberia na wote walipata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Majeshi ya Urusi yamewaua wanajeshi wa kimarekani takriban 20 kwenye mkoa wa Kharkov, nchini Ukraine. Shambulio hilo baya zaidi limefanyika karibu na kijiji cha Andreyevka kwa kutumia makombora ya...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Inavyoelekea walimlenga huyu jamaa ,maana ndiye anaaminika kumshawishi Putin kuivamia Ukraine, hijulikan ni kundi gan lihusika kwenye shambulio hilo. Alexander Dugin, a far-right Russian author...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
NATO wametoa tamko kuwa kama ikitokea Russia akalipua kituo cha nyuklia ,basi ajue amevunja kifungu namba 5 cha NATO. Hivyo NATO itachukulia jambo hilo kama direct provoked ,na linaashiria...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii nayo mlaumu Marekani. Uchina apeleka kibabe babe meli yake Sri-Lanka yenye uwezo wa shughuli za kijasusi, India yalalamika kwamba huu ni uchokozi wa hali ya juu. ========= A Chinese...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika ,achilia mbali mahaba tuliyonayo ,maana kila binadamu ana chaguo lake ,pro NATO na pro Russia wote wana haki ya kuwa na mahaba ,kwa kadri ya ufahamu na mitazamo ya namna...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais wa Marekani anatarajia kuidhinisha kifurushi kingine cha Silaha kwenda Ukraine. Kifurushi hicho cha Silaha za thamani ya Dola milioni Mia nane ($800 million) kijatarajia kuidhinishwa Leo...
9 Reactions
88 Replies
5K Views
China: Uhuru wa Taiwan maana yake ni vita Balozi wa China mjini London ameonya kuwa, uingiliaji wa mambo unaofanywa na Uingereza na Marekani juu ya suala la Taiwan hautakuwa na matokeo mengine...
5 Reactions
75 Replies
3K Views
Kanali Abdoulaye Maiga ambaye ni Msemaji wa Serikali na Waziri wa Utawala, ameteuliwa kuwa Kaimu Waziri Mkuu wa nchi hiyo akichukua nafasi ya Choguel Maiga, aliyeshauriwa kupumzika kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
461 Views
Polisi nchini humo wamemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, chini ya sheria za kupambana na ugaidi kwa madai ya kutoa vitisho dhidi ya Maafisa wa Serikali. Mashtaka...
0 Reactions
1 Replies
637 Views
Mamilioni ya wanafunzi wamerejea shule kwa mara ya kwanza leo Agosti 22, 2022 ikiwa ni miaka miwili imepita tangu Serikali ilipoweka vizuizi vya UVIKO-19 ili kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Asilimia kubwa ya Wamarekani waliopiga kura ya maoni kuhusu uamuzi wa FBI kufanya upekuzi nyumbani kwa Rais wa zamani wa taifa hilo, Donald Trump wamesema upekuzi uendelee na hakuna kibaya kuhusu...
1 Reactions
3 Replies
847 Views
Back
Top Bottom