NA Morris Ochieng
Uwazi na uaminifu, ushirikishaji na ustawi wa pamoja, na ushirikiano na maendeleo ya amani.
Haya ni mambo makuu matatu ambayo hujitokeza katika hotuba za Rais wa China Xi...
Chombo cha habari toka Urusi kimesifia ufanisi wa Makombora ya kubomolea vifaru Aina ya TOW yaliyojumuishwa kwenye kifurushi cha msaada wa kijeshi kilichotangazwa wiki iliyopita.
Chombo hicho...
Msemaji wa Polisi kutoka Kabul, Kabul Khalid Zadran amesema watu 21 akiwemo Imamu wa Msikiti wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada kutokea Mlipuko mkubwa kwenye Msikiti uliokuwa na watu...
Hivi kuna mtu wa Nchi hii anafuatilia na kuanzisha Mada JF ya nayoendelea Afrika Mashariki yanayohisiana na vita au heka heka ya kuagiza Yesu Africa?
Au nikiumbelel na kumuhemuhe au ubwege wa...
Bulgaria's energy minister Rossen Hristov said the country would likely go back to talks with Russia on resuming gas deliveries from state-run energy supplier Gazprom.
Gazprom provided 90% of...
Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu...
Watu wenye Silaha wamewaachilia huru "bila kujeruhiwa", Watawa 4 wa Kikatoliki waliotekwa nyara mapema wiki hii katika jimbo la Imo Kusini-Mashariki mwa Nigeria.
Msemaji wa Polisi katika eneo...
Neno la Mungu linasema shika sana kile ulichonacho asije mwovu akakunyang'anya.
Kwa sasa Dunia inapitia kipindi kigumu sana na nyakati kama hizi ni lazima tuongeze Dua na Maombi kwa Mungu wa...
Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa.
Huku kikosi cha Anga ambacho...
Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha...
HABARI za majukumu wana jukwaa
naingia ulingoni kama ifuatavyo:
Mwanzoni mwa operetion ya urusi pale Ukraine nchi za magharibi zilijibu kwa kuweka vikwazo vizito dhidi ya russia
ili kuhakikisha...
Nguli wa mchezo wa kikapu katika Ligi ya NBA, Dennis Rodman amedai ana ruhusa ya kwenda Urusi kwa ajili ya kujaribu kumtoa kifungoni nyota wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner.
Griner...
Rais wa Zambia amewaambia wananchi wake kuwa hapendelei sana pongezi ila wananchi wa Zambia wajipongeze wenyewe kwakuwa kila kitu kinatoka kwao, hata hivyo amewataka wanaZambia kumkosoa na kumsema...
Baada ya Finland na Sweden ku apply kujiunga NATO tulitegemea Putin aje na vitisho vile vile dhidi ya ukrain, lakini kanywea. Kwanini?
Putin ni mtu muongo muongo sana. Putin anaitamani ukrain...
Vita ya kwanza ya dunia iliibuka kutokana na kuwepo kwa mataifa (multipolar) yenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi yaliyokosa kuheshimiana! Baada ya vita hiyo, kukatengenezwa 'the league of nations'...
Licha ya vitisho kutoka kwa China, Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi amewasili katika Kisiwa cha Taiwan.
Amewasili kwa kutumia ndege ya Jeshi ambayo ilitokea Malaysia alipokuwa katika...
Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne
Inaelezwa kuwa...
Ushabiki tuache kando. Ambao kamwe hautatusaidia kupiga hatua mbele toka hapa tulipo.
Tukiwa kama bara tuna mikakati gani ya kufaidika au kujifunza kutokana na huu mzozo?
Tukiangalia kwenye...
This is the kind of the leader I admire! The one who needs people's views towards development and not based on people's statuses(level of education, family status, personalities etc) .
What...
Madikteta huwa wanakufa kizembe sana
Mlikuwa mnasifia viongozi kutosafiri? Mnamfahamu Jenerali Sani ABACHA?
Yeye sio tu kwamba alikuwa hapendi kusafiri bali katika kipindi chote cha utawala wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.