Ikulu ya rais Zelensky wa Ukraine inalalamika kuwa Urusi ameziangamiza melivita mbili za jeshi la Ukraine kwa kutumia makombora ya shabaha kali yaliyorushwa toka kwenye ndegevita za Urusi. Ndege...
Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk...
Propaganda ni kitu kinachotajwa sana kwenye ulingo wa siasa na vita hasa pale panakuwa na pande mbili zinazochuana kupata ushawishi wa jambo flani.
Hali kadhalika wakati wa vita ''propaganda"...
Sio rahisi kuepuka Marekani....
Cuba has asked the United States for help in restoring a major fuel storage plant devastated by a massive fire that left 16 people dead, the island nation's...
#Russia is the most sanctioned country in the world and while the Biden administration has championed the economic blockade, the Associated Press found that more than 3,600 shipments of wood...
Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta...
Mwalimu mmja huku new Jersey awa gumzo kutokana shape yake wazazi wawaka wataka afukuzwe wadai anawachanganya watoto wakimuona huku wengine wakimtetea asifukuzwe Ila avae nguo za heshima.
Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za...
"Putin’s reference to Satanism was a pointed rebuke to the New World Order elites..."
During the Cold War, it was meticulously and rightly argued by scholars of various stripes that the Soviet...
Serikali ya Pakistan imetangaza hali ya dharura ya kitaifa baada ya mafuriko kuua Watu 937 huku wengine zaidi ya Milioni 30 wakiwa hawana makazi.
Ripoti za awali zinaonesha kuwa takwimu hizo ni...
WARUSI wameanza kikamilisha nyumba wanazojenga kwa ajili ya wakazi wa mji wa Mariupol. AFRCA TUKA KWAMA WAPI JAMANI
NYUMBA IZI HAZINA HATA MIEZI MI 4 TOKA ZIANZE KUJENGWA
Urusi iko inafanya mazoezi ya kivita huko Venezuela, Amerika ya kusini ikimpumulia utosini Marekani/Biden. Marazoezi hayo yanahusisha pia nchi mbalimbali zikiwemo za Amerika ya kusini kama vile...
Taarifa zimejitokeza namna wakuu Urusi walikua wanagawana majengo ya Kyiv iwapo Putin angefaulu kuiparamia, walikua na uhakika wa ushindi ndani ya siku chache, lakini kwa ambavyo jeshi la Urusi...
Understand this great cosmic truth: The universe operates on an ecosystem of automatic abundance, where mass is abundant (and free), and mass can be converted into energy at nearly zero cost (via...
Serikali ya Malawi imevifungia vituo vitatu vya Televisheni na sita vya radio kutokana na kutolipa ada ya mwaka ya leseni, ambapo pia zoezi linatarajiwa kuendelea kwa kufungia leseni za vyombo vya...
Kampuni ya Moderna imefungua mashtaka dhidi ya Kampuni ya Pfizer na BioNTech ikidai kuwa wameiba teknolojia yao kutengeneza dawa ya kinga dhidi ya COVID-19 iliyotengenezwa Marekani miaka kadhaa...
Kwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea...
TEKNOLOJIA: NIGER KUANZA KUTENGENEZA MVUA KUKABILIANA NA UKAME
Niger imeanza kutumia teknolojia ya kutengeneza mvua inayolenga kupunguza athari za ukame nchini humo, ili kuongeza uzalishaji wa...
Vikosi vya anga vya Ethiopia vilishambulia kwa mabomu mji mkuu wa eneo la Tigray nchini Ethiopia siku ya Ijumaa. Kituo cha runinga cha eneo hilo kilisema kuwa shambulio hilo limeikumba shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.