International Forum

News and Stories from rest of the World
Katika kuendelea kukiwasha kwa wana Magharibi amepitsha amri akishirikiana na Bunge ndio Mzee la Urusi (DUMA) Kuwafungia kabisa kuingia katika ardhi takatifu ya wavaa kobazi. Mmiliki wa Meta Mark...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Yess! Mwamba huyu hapa Sasa, ukimuona tu unajua kazi kazi, "Wanajeshi wa Urusi lazima watoroke ikiwa wanataka kunusurika" Rais Zelensky amesema.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mamlaka za Ghana zinachunguza kifo cha Mwanaume mmoja kilichotokana na kushambuliwa na Simba katika bustani ya Wanyama Jijini Accra ikidaiwa alikuwa na lengo la kuiba Watoto wa Simba. Uongozi wa...
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Aisee, hii ni kufuru sasa! Majeshi ya Ukraine yamejaribu kushambulia majeshi ya Urusi huko Kherson, matokeo yake Zelensky kapoteza wanajeshi zaidi ya 560, vifaru 26, armoured vehicles 32 na ndege...
12 Reactions
86 Replies
5K Views
Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu...
2 Reactions
3 Replies
657 Views
Julai Mosi 2022, katika Kijiji cha Desheng, Mkoani Shaanxi China, Bibi Zou Wenling mwenye umri wa miaka 37 aliyepoteza vidole tisa alipokuwa na umri wa mwaka mmoja anatumia kidole kimoja kudarizi...
1 Reactions
3 Replies
609 Views
Marekani na Ukraine zinalalamika kuwa Urusi imeikatia Umeme Kyiv toka kwenye mtambo mkubwa wa nyuklia wa kufua umeme uliokuwa mali ya Ukraine kabla ya kuanza vita vya Ukraine. Mtambo huonwa...
18 Reactions
85 Replies
6K Views
Report: Israeli F-35s penetrated Iranian airspace repeatedly during war drills London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid...
4 Reactions
78 Replies
5K Views
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mipango, #AhsanIqbal inasema makadirio ya awali yanaonesha mafuriko makubwa yaliyoikumba nchi hiyo, yamesababisha uharibifu wa karibu Tsh. Trilioni 23. Tayari...
0 Reactions
7 Replies
730 Views
Two days after the UK’s biggest warship left port ‘ready to push the boundaries’ of technology, it had to turn around after only making it to the Isle of Wight. Royal Navy aircraft carrier HMS...
0 Reactions
2 Replies
402 Views
US inflation surged to a new four-decade high in May, defying hopes that price pressures had peaked and deepening President Joe Biden's political troubles as Americans struggle to meet the cost of...
3 Reactions
15 Replies
927 Views
Umoja wa Mataifa imesema kwamba Waafghanistan milioni 6 wako hatarini kukabiliwa na njaa, huku majira ya baridi kali yakikaribia na mashirika ya kibinadamu yakiwa na uhaba mkubwa wa fedha...
0 Reactions
3 Replies
535 Views
When President Vladimir Putin's forces invaded Ukraine in late February, many Wall Street analysts rushed to predict Russia's economic downfall. Six months later, they've been forced to revise...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini. Idara ya...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Wenzetu wako mbele sana ,wakati sisi tunapambana na tozo. Jimbo la California ndilo ltaanza na hiyo program ,sidhani kama mbeleni vitukuu vyetu vitaendesha magar ya mafuta. California has laid...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Wizara ya Afya imesema mapigano kati ya Wanamgambo wanaoungwa mkono na Serikali zinazopingana, yamesababisha vifo vya takriban watu 23 na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa Makundi hasimu yalipambana...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Chama Tawala cha Marxist People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA) kimepata ushindi wa 51.17% baada ya kura zote kuhesabiwa kikifuatiwa na National Union for the Total Independence of...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Tarehe 25 mwezi Agosti mwaka 2022, Visiwa vya ForThousand, Laos, wavuvi wa huko walivua samaki kwa kutumia nyavu za jadi zilizotengenezwa kwa mbao karibu na maporomoko ya Khone yaliyoko kwenye...
0 Reactions
3 Replies
524 Views
Waendesha wamewakamata Watendaji wa zamani kutoka kampuni ya Usafirishaji ya Umma ya Transnet ambayo inachunguzwa juu ya kuhusika na ufisadi wakati Jacob Zuma akiwa Rais. Mamlaka ya Taifa ya...
1 Reactions
1 Replies
630 Views
Tujifunze kutokana na huo mtambo unaitwa international space station, upo hapo juu kabisa anga za mbali kama mile mia nne. Halafu mwingine ANATUMIA vitabu vya dini ETI wanasema hawajawahi kufika...
1 Reactions
9 Replies
937 Views
Back
Top Bottom