International Forum

News and Stories from rest of the World
Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Ripoti ya Uchunguzi wa Sumu kuhusu chanzo cha vifo vya vijana 21 waliofariki dunia wakati wakinywa pombe eneo la #Tavern mwezi Juni, 2022 imeonesha kuwa walikosa hewa kutokana na msongamano wa...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Aliyekuwa rais wa Soviet Union (Russia) Mikhail Gorbachev amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 91 Gorbachev amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika Central Clinical Hospital jijini Moscow...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Mvua zinazoendelea Nchini Sudan zimesababisha mafuriko huku idadi ya vifo vya Watu ikifika 100 Hali ya dharura imetangazwa katika majimbo 6 yaliyoathiriwa vibaya ambapo Afisa wa Umoja wa Mataifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kundi la Bunge la Morocco limependekeza mswada utakaowaruhusu wanawake kupewa siku za likizo ya hedhi yenye malipo. Katika kile ambacho kitakuwa sheria ya aina yake kwa eneo la Mashariki ya Kati...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakaguzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki wamefika katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia kusini mashariki mwa Ukraine, shirika la habari la Reuters linaripoti. Mwandishi wa habari...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hatua hii inakuja baada ya Taiwan kuionya China kwamba itaanza kuziangusha ndege za China zitakazoingia kwenye Anga lake endapo China itaendelea na Uchokozi huo. Move comes after Taiwan said it...
0 Reactions
5 Replies
568 Views
Wadukuzi Nchini Australia wametengeneza tovuti ya habari za uwongo ili kukusanya taarifa kutoka kwa Maafisa wa Serikali, Wanasiasa na waandishi wa habari. Walengwa wamepokea barua pepe...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Mamlaka za Saudi Arabia zimesema zimeanza uchunguzi baada ya video iliyosambaa mtandaoni kuonesha maafisa usalama wakiwashambulia wasichana wadogo katika kituo cha watoto yatima Video zimeonesha...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Madai ya kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwamba wabunge katika nchi hiyo wanalipwa hadi dola 21,000 kwa mwezi yamezua hasira Jumatano katika taifa hilo, ambalo ni mojawapo...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Ripoti mpya ya Idara ya Takwimu (INEGI) imesema #Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana umeongezeka zaidi ndani ya miaka mitano iliyopita, uchunguzi umebaini wanawake 7 kati ya 10 wameripotiwa...
0 Reactions
1 Replies
626 Views
Taiwan imetenga fedha kwenye bajeti yake ya Ulinzi mwaka huu kununua Makombora ya HIMARS (29 launchers pamoja na maroketi 864) pia Makombora yake mazito ya ATACMS yenye uwezo kupiga adui umbali wa...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Hali inazidi kuwa balaa, Kherson kunawaka moto, Warusi wameingiwa na msongo wa mawazo hawajui wanachopigania kwenye nchi ya watu, huyu kalewa mipombe na kufanya yake kwa wenzake...... A Russian...
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi..... Ukraine...
6 Reactions
71 Replies
4K Views
Wafanyakazi wa kujitolea watengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu ya mwezi. Wafanyakazi wa kujitolea huko Qinhuangdao mkoani Hebei...
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Bara Ulaya kuzuia visa kwa Warusi, na hii ni pamoja na mataifa yaliyoizunguka Urusi, yaani Putin anapitisha taifa lake kwenye hali ngumu sana. ========= European Union foreign ministers have...
2 Reactions
5 Replies
934 Views
Uingereza (Reuters) yaripoti kuwa Mkuu wa majeshi ya Ugerumani Generali Eberhard Zorn ameionya NATO kuwa isichukulie powa nguvu za kijeshi za Urusi. Mkuu huyo wa majeshi akaongezea kuwa Urusi ina...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Mikhail Gorbachev alikuwa mmoja wa watu mashuhuri katika siasa karne ya 20. Aliongoza kuvunjwa kwa Muungano wa Sovieti ambao ulikuwepo kwa karibu miaka 70 na ulikuwa umetawala sehemu kubwa za...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Mkutano wa akili bandia duniani mwaka 2022 umefunguliwa leo katika Kituo cha Maonyesho cha kimataifa huko Pudong, Shanghai. Kauli mbiu ya mkutano huu ni "muunganiko wa akili bandia, fursa zisizo...
0 Reactions
4 Replies
624 Views
Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom