Wapiganaji wa dini ya uislamu, alshabaab wamevamia msafara wa chakula cha misaada na kuua watu 20 na kujeruhi wengine.
Pia wameongeza mashambulizi kwa wanavijiji.
Four trucks carrying food...
Naomba kufahamu, ni kwa nini USA na nchi tajiri za magharibi huwa haizibani na kuiwekea vikwazo nchi ya Myamar ingawa ni muda mrefu sasa naona inavunja haki za binadamu na kuharibu Demokrasia...
Wizara ya Afya imesema hadi sasa Mlipuko wa ugonjwa wa Surua umesababisha vifo vya watu 685, huku mpango wa chanjo nchini kote ukiendelea
Kesi 6,034 za ugonjwa huo zimeripotiwa nchini humo...
Mutuombee…’’ majaji watoa wito huo wanapojitayarisha kutoa hukumu yao
Maelezo ya picha.
Majaji wa Mahakama ya Juu Zaidi watatoa uamuzi wao Jumatatu 3 Septemba 2022.
Kusikilizwa kwa kesi ya...
Wanawake watatu kati ya Wanajeshi 49 raia wa Ivory Coast wameachiwa huru kutoka katika mamlaka za Mali huku wengine wakiendelea kushikiliwa.
Wanawake hao wamerejea Ivory Coast ikwa ni wiki 7...
MTU yeyote anayeshangilia kwa sababu ya kubana tu kwa Zambia kwa deni zaidi ni mjinga. .mengi yanahitajika kufanywa, zaidi sana, kwa mawazo na matendo, yanahitajika kwetu sote raia ikiwa uchumi wa...
Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa...
Jeshi Jekundu la Russia liliendesha oparation zake Ukraine katika Jiji la Mariupol na kugeuza jiji Hilo kuwa majivu sasa limeukarabati upya mji huo na shule zimefunguliwa rasmi na maisha...
Tchize dos Santos, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hispania iliyoagiza mwili wa Eduardo ukabidhiwe kwa mjane wake, Ana Paula ili...
Jameni Mrusi anateswa hadi basi tu, Ukraine wamekua wanatengeneza mifano ya HIMARS za mbao, kisha wanazianika Urusi wanazinyeshea kwa mvua ya mizinga kisha wanatangaza "leo tumelipua HIMARS...
Mnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya...
Serikali ya Marekani imeamua kupeleka silaha za kivita Taiwan ili ijilinde. Silaha hizo zina thamani ya Trilion 2.5 za Tsh
NB: Naona Karim Mandonga anatafutwa
BREAKING: The United States has...
Kituko cha mwaka,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia alieleza kwamba Urusi imeharibu Makombora 44 ya Himars wakati Ukraine ina mifumo hiyo 20 tu ambayo ilipewa na nchi za magharibi.
On the...
Marekani imeidhinisha uwezekano wa kuiuzia silaha Taiwan zenye thamani ya Dola Bilioni 1.1, hatua ambayo inaweza kuzidisha mvutano ambao tayari upo kati ya Marekani na China.
Mauzo hayo...
Hawa nao sijawahi kuelewa sababu zao za kulipuana huko Afghanistan wakati wote dini moja....
At least one cleric and several civilians have been reported killed in the city of Herat, despite...
Haya mataifa mawili yamekua na uhasama wa mda mrefu sana.
China baada ya kutoa toleo lao jipya la aircraft carrier ,India nao wamefyetua yao ili kujibu mapigo.
Hahaaaa inachekesha sana mchina na...
Mahakama ya Rufaa ya Rwanda Jumatatu iliidhinisha kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya shujaa wa "Hoteli Rwanda" Paul Rusesabagina, ambaye alipatikana na hatia mwaka jana kwa tuhuma za "ugaidi", na...
Mahakama inayosimamiwa na Jeshi imetoa hukumu hiyo dhidi ya Aung San Suu Kyi ambaye tayari anatumikia kifungo kingine cha miaka 17 kwa makosa 11, endapo atakutwa na hatia kwa makosa mengine...
Vyuma chakavu vya msaada alivyopewa Ukraine vimelipuliwa nakugeuzwa kifusi baada ya kuweka mtego wa kubaini zilipo na kuyabonda mabomu kiasi kuwakaanga maopareta wa machuma hayo. Msemaji wa...
Idadi ya Watu waliofariki kutokana na mafuriko Nchini Pakistan sasa ni zidi ya 1,200 huku mvua zikiendelea kunyesha na kuathiri wengine Milioni 33.
Waziri Mkuu wa Pakistan, Shahbaz Sharif...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.