Ufilipino imesema kwamba iwapo mgogoro wa Taiwan utaibuka kua Vita kamili bhasi watairuhusu Marekani kutumia kambi zao za jeshi kujibu mashambulizi yote ya Uchina,hayo yamesemwa na balozi wa...
Unapozungumzia Teknolojia, Kisiasa na kimifumo ya Maisha Duniani na Uvumbuzi nadhani Wayahudi wanabaki kuwa watu wenye akili Duniani na kuheshimika
Tunaona leo mtu aliekuwa na damu ya kiyahudi...
Maonyesho ya Kimataifa ya mwaka 2022 ya Biashara ya Huduma ya China yamefungwa hivi karibuni hapa Beijing. Ikiwa ni moja ya majukwaa matatu makuu ya China kufungua mlango, maonesho hayo yanaonesha...
Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka.
1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine!
2-Raia wa Marekani...
Urusi imeionya nchi ya Moldova kuwa isitishie/isihatarishe usalama wa vikosi vya majeshi ya Urusi vilivyopo kwenye mkoa uliojitenga toka Moldova wa Transdniestria. Onyo hilo limetolewa na waziri...
Supa pawa Marekani kaanza kuondoa majeshi yake huko Syria,sijui kwa nini waliyapeleka majeshi hayo yanayoogopeka dunia nzima huko Syria,na sijui kama malengo ya Marekani yametimia,maana mpaka...
Cc: let the caged bird sings,
Takriban watu 70,000 wameandamana leo ktk jiji la Prague, mji mkuu wa Czech, wakiitaka serikali yao kfanya juhudi zaidi kutatua changamoto ya bei ya nishati za...
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46.
Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa...
Ulaya imeziasa nchi za Africa hasa zile zinazokabiliwa na baa la njaa kama vile Somalia na Kenya n.k, kula wadudu .
Funza (Africa Caterpillars), nzige (Migratory Locusts), na nzi seusi ( Black...
Tume ya Kulinda Data (DPC) imetoa adhabu hiyo baada ya jukwaa hilo kubainika kukiuka Kanuni ya Jumla ya Ulinzi wa Data (GDPR) kwa kuwaruhusu watoto kufungua akaunti ambazo zilionesha hadharani...
Russia's soldier shortage is so severe that it is recruiting in homeless shelters and considering pardons to criminals to fight in Ukraine
The official said there is credible evidence suggesting...
Habar ndiyo hiyo super power kakubali yaishe.
Kakosa yote.Chezea Himas wewe.
KATERYNA TYSHCHENKO – SUNDAY, 4 SEPTEMBER 2022, 22:54
Volodymyr Zelenskyy, the President of Ukraine, shared...
Mgogoro Kati ya Ukraine upo kweli na Vita kubwa sana yaweza Kutokea baina ya Urusi na Ukraine wakisaidiwa na NATO.
Chokochoko hapo ni Marekani tu ndio ambae anampa kiburi na kumdanganya Ukraine...
Habari wadau wa jukwaa hili,
Samahani inawezekana swali hili linaulizwa sana au limesha ulizwa sana humu pia.Najua JF ni kitabu kikubwa sana cha maarifa na ufahamu kutokana na members wa JF kuwa...
Silaha au mabomu ya nyuklia hayalingani nguvu na hivyo hata ubora. Kila bomu la nyuklia huwa na mlipuko wake, na nguvu ya mlipuko huo hupimwa ktk kipimio kiitwacho kiloton.
Ktk Top 10 ya mabomu...
Nimeiona hii habari Al Jazeera.
Umoja wa NATO wamekutana katika mji wa Oslo Norway na kuanza mazoezi makubwa ya kivita ambayo hayajawahi kufanyika kabla.
Mazoezi hayo ambayo wao wamedai ni...
Zote mbili ni ndege za abiria, zote mbili kwa nyakati tofauti zimetunguliwa na kile kinachodhaniwa kuwa ni makombora ya kutungulia ndege vita. Tatizo la ndege zote mbili ni kupita eneo la Vita...
Russia na China wameendelea na mazoezi ya pamoja yanoitwa Vostok 2022 ambayo yajumuisha nchi zingine zipatazo 12.
Mazoezi hayo yaendelea huku bado kukiwa na vita ya Russia na Ukraine pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.