Wakati nikitafakari viongozi wa kiafrika dhidi ya miradi inayowahusu wananchi wa kawaida huko mtaani, kwa mfano miradi kwa sehemu mbalimbali huko mikoani, utasikia choo au bafu limetumia 230...
Reuters.com
This content was produced in Russia, where the law restricts coverage of Russian military operations in Ukraine.
* Russia will be stronger – Putin
* Putin says the future is in Asia...
Israel imeapa kuishambulia kijeshi Iran, ikiwa mazungumzo baina ya nchi hiyo na mataifa yenye nguvu duniani yatashindwa kuzuia mchakato wa Iran wa kuunda silaha za nyuklia.
lakini Iran husisitiza...
Wakati hali ikionekana kuwa shwari, mvutano wa kisiasa umeongezeka tena, kufuatia tuhuma za baadhi ya Viongozi Wakuu kupanga njama ya kumng'oa madarakani Rais Evariste Ndayishimiye
Mnamo Agosti 2...
Super pawa la Kibisa. linapelekeshwa
Walishindwa kuiteka kyev ilio lindwa Kwa Javellina tu.
Wamekimbilia sehem ambapo palishaoza napo bado wanahenya kupachukua.
Walitegemea Ukraine itaweka nguvu...
Ivan Neparatov (36) ambae alikuwa jela akiwa na kesi tano za mauaji akitumikia kifungo cha miaka 25 jela.
Katika harakati za kuongeza jeshi la Urusi nae alikuwa mnufaika wa uhuru (parody) na...
Putin atoa msimamo wake kuhusu Urusi, asema anaifikiria Urusi kama nchi ya Kikristo
Putin ameendelea kuweka wazi kuhusu Urusi.Katika siku za hivi karibuni kabisa,amesema
anaifikiria Urusi kama...
Kipindi Cha corona wote tulishuhudia ulimwengu wote ukilazimishwa kutii maagizo ya kukaa ndani (lockdown) na nguvu inayotenda Sirini ya mpinga Kristo.
Mdogo mdogo tumeshuhudia jinsi Russia...
Ujerumani ndiyo itakuwa nchi ya kwanza kuomba poo kwa Urusi kwa namna hali ya mfumuko wa bei unavyo hatarisha uchumi wa nchi yao.
Kwa mfano kuanzia leo mabango yote ya matangazo yatawashwa...
Mamia ya Watoto wamefariki Dunia katika Vituo vya Lishe Nchini Somalia kuanzia Januari hadi Julai 2022 na idadi inaweza kuongezeka kutokana na mazingira ya lishe kutokuwa mazuri.
Takwimu za...
Huwa tunawaambiaga watu waache fikra za kimaskini kuhusu mataifa ya magharibi ,jamaa wameshusha zigo la trillion zaid ya mia,kibongobongo tunaila miaka 3.
Huwa nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu...
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi ilitoa ripoti ya tathmini ya jinsi Marekani inavyotekeleza Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi wa Rangi, ikisema...
Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii.
Katika...
Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi...
Kwasi Kwarteng, the frontrunner for Chancellor of the Exchequer, has pledged a "lean state" under the new Prime Minister, Liz Truss.
The Foreign Secretary won the Conservative leadership race on...
Jameni Ukraine wanapambana na kunifurahisha hadi naumwa, kainchi kadogo saizi ya mkoa wa Urusi ila wanajituma kama mchwa, wamekubali kujitoa mhanga ili wakomboe ardhi yao kwa ajili ya vizazi vya...
Kamishina wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia uchumi Paolo Gentiloni amesema muungano huo umejiandaa vyema endapo Urusi itasimamisha kabisa
usambazaji wa gesi.
Gentiloni amesema hawaogopi uamuzi...
Marekani kupitia the USA TODAY yalamamika kuwa Urusi ndio anamiliki silaha nyingi zaidi za nyuklia na ambazo zinaweza kutumia muda wa dakika 10 hadi 15 kufika Marekani na kuigeuza majivu nchi...
Cc: let the caged bird sings,
Uturiki yaripoti kuwa viwanda mbalimbali nchini Netherlands vinafungwa kwa 'fujo' (wingi) kutokana na bei ya nishati kuongezeka zaidi. Hiyo ni kutokana na Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.