International Forum

News and Stories from rest of the World
Karibu watu 8 wameuawa wakiwemo walinzi 2 wa Urusi baada ya mtu mmoja kujitoa mhanga nje ya ubalozi wa Urusi Nchini Afghanistan. Mlipuko huo ulitokea wakati maafisa wa Ubalozi wa Urusi walipokuwa...
0 Reactions
3 Replies
660 Views
Himars kwa kwenda mbele, On Saturday, the Ukrainian armed forces said on its Facebook page that Russia had lost an additional 25 tanks, taking the total number of such vehicles reportedly...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Bila kupoteza mda twende kwenye mada. Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo.. Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Ukiona hivi ujue mkubwa kashikwa kubaya.Sasa hivi anaomba poo ,ila itakua jambo la busara wakiyamaliza mezani kiukweli vita siyo vizuri ,sikia kwa wenzako tuu. Zelesky tunaomba ushushe asira mambo...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
After destroying the human society, the CDC now admits natural immunity works better than COVID jabs. Sunday, September 04, 2022 After two and a half years of weaponizing public health messages...
3 Reactions
3 Replies
792 Views
Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema muswada wa marekebisho ya #Katiba unaopunguza mamlaka ya Rais na kurejesha utawala shirikishi unatarajiwa kuwa sheria katika wiki chache zijazo SriLanka...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Ukraine wameweza kutengeneza Himas fake nyingi ambazo, Russian kwa kutumia makombora yake mazito yanayorushwa toka kwenye meli na submarine yamekua yakijikuata yanalenga matoi yaliyotengenezwa kwa...
11 Reactions
88 Replies
4K Views
Mataifa haya makubwa yana uwezo wa kujitegemea wenyewe. Kwa nini yasingeamua kuwa neutral kijeshi na kuamua kujiunga na NATO ambapo kwa namna moja ama nyingine ni kama kuwa chawa wa marekani...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Chile imepiga kura ili kupitisha au kukataa KatibaMpya iliyopendekezwa, ambayo Rais Gabriel Boric alisema ingeleta enzi mpya ya Kimaendeleo Nchini humo. Kwa asilimia 99 ya kura za maoni, Kambi ya...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Italy, amesema vikwazo dhidi ya Urusi havina maana, maana Urusi haiathiriki pakubwa kulinganisha na walioiwekea vikwazo(Ulaya).
4 Reactions
2 Replies
665 Views
UPDATES: Polisi wamethibitisha kuwa mwili wa Damien Sanderson, mmoja kati ya washukiwa wawili waliohusika na mauaji siku ya Jumapili huko Saskatchewan umepatikana katika eneo la James Smith Cree...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Ni moja ya nchi zenye sheria kali sana. Na misingi ya Kidini. Hii ni nchi ambayo inaheshimika sana Kidini. Hili suala linakuaje ndugu zanguni? Limekaaje kaaje?mbona silielewi? Haya mambo...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Europe’s impending depression is not to be discounted in terms of its relevance to the other side of the Atlantic. Since the turn of the century, US exports to the European Union have soared from...
1 Reactions
0 Replies
941 Views
Pope John Paul l ambaye wachamungu walipenda kumwita Smiling Pope, leo ametangazwa kuwa Mbarikiwa. Hii ni hatua ya mwisho kabla hajathibitishwa kuwa Mtakatifu! Source: BBC
1 Reactions
6 Replies
629 Views
Huyu aliyekua. Rais wa Russia kipind hicho cha ukomunist ,alifanya mengi mazuri ,ila kuna mambo alichemka ,siyo mbaya kuna kufeli plan ,kufel plan siyo kwamba binadamu anapenda ,ila Putin...
15 Reactions
75 Replies
5K Views
Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna baadhi yetu tunaamini kwamba Urusi ameshindwa vita nchini Ukraine, lakini kwa sasa Urusi wanaendelea na zoezi la kusafisha maeneo yote waliyokua wameyakalia Ukraine. Zoezi lijulikanalo kama...
5 Reactions
6 Replies
752 Views
Wanamgambo wa Al-Shabaab wametajwa kuhusika katika vifo vya Watu 21 na kuharibu magari yaliyokuwa yamebeba chakula cha msaada katika shambulizi Mkoani Hiran Nchini Somalia. Magari yalikuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom