International Forum

News and Stories from rest of the World
Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Shirika la kijasusi la Ukraine (SBU) limemtuhumu Lieutenant General Ramzan Kadyrov (shujaa na mbabe wa kivita) pamoja na wenzake wawili kwa makosa ya jinai za vita. Kwa mujibu wa shirika hilo la...
11 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja anashikiliwa baada ya jaribio la kutaka kumuua Makamu wa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner alipokuwa akiwasalimia Wananchi nje ya nyumba yake Jijini Buenos Aires...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Duh...kweli adui yako mwombee njaaa! Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya...
17 Reactions
59 Replies
3K Views
Marekani yasema kuwa leo serikali ya Czech imeponea chupuchupu kuangushwa kutokana kura za wabunge za kutokuwa na imani na serikali yao kuhusu namna inavyokabiliana na masuala ya nishati (gesi na...
6 Reactions
3 Replies
688 Views
Mwanamke mmoja Nchini Saudi Arabia amehukumiwa kwenda gerezani miaka 45 kutokana na kuchapisha taarifa katika mitandao ya kijamii. Mahakama ya ugaidi ilimtia hatiani Nourah bint Saeed al-Qahtani...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo hii unapotazama wanaoipigia promo sana kurudi kwa USSR ni Urusi tu na ndio maana wananchi wa Beralusi walipotaka muondosha Rais wao mwenye mfumo wa Urais unaoendana na Urusi. Urusi aliingilia...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Estonia pamoja na Nchi za Ulaya wanaituhumu Rusia kwa kuwapitisha kwenye kipindi kigumu cha baridi kali bila gas[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] European Union and...
3 Reactions
4 Replies
741 Views
Mahakama ya Afrika Mashariki imeamuru mfanyabiashara Tribert Rujugiro anayeishi uhamishoni, kulipwa fedha hizo baada ya kubaini kuwa serikali ya Rwanda ilikiuka Mkataba wa Jumuiya ya Afrika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mataifa ya magharibi yameiwekea Belarus vikwazo vikali kwa madai kwamba imekuwa ikishirikiana na Russia kwenye mashambulizi dhidi ta Ukraine, wakati ikiliruhusu taifa hilo kurusha silaha kutoka...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1. Bloomberg yasema hatua hiyo...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali ya #Liberia imeiomba Oman kusitisha mara moja utoaji wa viza kwa raia wake kwa ajili ya ajira za nyumbani baada ya kundi la wanawake ambao tayari wako nchini humo kutuma picha...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Chama Kikuu cha upinzani UNITA, kimewasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Agosti 24 wa wiki iliyopita na kusema kuwa Uchaguzi huo ulikuwa na dosari Chama tawala cha...
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Urusi inajaribu kila mbinu kuficha aibu inayotokana na mapigo wanayopata kutoka kwa kataifa kadogo saizi ya mkoa wao mmoja, inapanga kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, pia...
3 Reactions
7 Replies
921 Views
Septemba Mosi, bidhaa za akili bandia katika maonyesho ya biashara ya Huduma ya mwaka 2022 ziliwavutia watazamaji wengi mjini Beijing, China.
0 Reactions
2 Replies
557 Views
Watoto 25,000 wamepotea Barani Afrika, idadi hiyo ni sawa na 40% ya jumla ya idadi ya watu waliopotea mwaka 2022 katika bara zima. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba...
0 Reactions
2 Replies
634 Views
Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
August 31, 2022 The US has, in an effort to defund the WEF of American taxpayer funds, proposed a new bill called the Defund Davos Act. EXPLOSIVE: Here’s what was uncovered in Hunter Biden’s...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Dunia inakabiliwa na tishia la kuzuka kwa vita nyingine Kati ya China na Taiwan. China inadai Taiwan ni sehemu yake huku Taiwan wakisema wao ni Taifa huru sio sehemu ya China. Wakati huo huo...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
The Ukrainian military has killed 201 Russian invaders and destroyed 12 T-72 tanks, 18 armored and motor vehicles and six ammunition depots on the southern axis over the past 24 hours. Ukraine’s...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom