Urusi baada ya kuteka mji wa Kherson, walipata jeuri hadi ya kusimika makao makuu na kujichimbia, sasa kibao kimegeuzwa, operesheni fagia fagia na kufyatua, Ukraine wanakomboa ardhi ya mababu...
Tasnia ya pono nchini Japan yakumbwa na uhaba mkubwa wa wanaume,ambapo sasa wastani ni wanaume 70 kwa wanawake 10,000
Maneno hayo yamesemwa na mfalme wa pono nchini Japan anaitwa SHIMIKENI, Huyu...
Kampuni kubwa ya nishati inayomilikiwa na serikali ya Urusi, Gazprom, imesema vikwazo katika bomba la Nord Stream 1 vitadumu kwa siku tatu zijazo.
Urusi tayari imepunguza mauzo ya gesi kwa kiasi...
Sina Utaalamu wa zana za Kivita ila nimevutiwa kuijua zaidi mizinga hiyo ya Kivita natumai humu kuna wajuzi/wajuvi wa mambo hayo.
HIMARS tangu zimeingia Ukraine kutoka Marekani zimebadilisha kila...
Mwaka huu tutashuhudia mengi. Wakoloni wa Afrika wanazidi kuumbuliwa na Urusi kupitia nishati za Urusi. Hivi sasa Putin amekula sahani moja na Ufaransa kwa kumkatia gesi Macron baada ya Ufaransa...
Agosti 30, 2022, Kathmandu, Nepal, waumini wanawake wa dini ya kihindu walisherehekea Tamasha la Teej(siku ya wanawake), wakitoa heshima katika Hekalu la Pashupatinath kwa Mungu Shiva huku...
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake...
Majeshi ya Urusi yamewanywa wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 1200 ktk masaa 24 yaliyopita katika majaribio ya Ukraine kutaka kurejesha miji iliyokombolewa na Urusi toka kwenye utawala wa waNazi...
Shirika la Ndege la Ufaransa, limewasimamisha kazi marubani wake wawili wa Air-France kwa kosa la kupigana wakati wakirusha ndege ya Airbus A320 kutoka Geneva kwenda Paris mwezi Juni.
Wafanyakazi...
Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama...
Agosti 30, wakazi wa mji wa Jackson kwenye jimbo la Mississippi, Marekani ambao hivi karibuni walikumbwa na mafuriko, sasa wanakabiliwa na tatizo lingine la ukosefu wa maji ya bomba.
Kwa mujibu...
Waziri wa ulinzi wa UK amesema kuwa mmpango wa Rusia wa kuongeza idadi ya wanajeshi ikijumuisha kuwabembelea wafungwa kuingia vitani hakutarajiwi kuongeza mafanikio katika mzozoz wake na Ukraine...
Video inayonyesha vikosi vikielekea kufanya counter-offensive ila mwisho wake umekuwa mbaya kwao.kwa mujibu wa vyanzo vya habari kikosi hiki asilimia 90 ni R.I.P kwa sasa.
Mpaka sasa uwongozi wa...
Watu 18 wamekufa huku darzeni wengine wakijeruhiwa nchini Madagascar ,baada ya polisi kufyatua risasi ili kutawanya kundi la watu waliokuwa wamekasirishwa kwa kutekwa nyara kwa mtoto mwenye...
Mpaka sasa Putin anaendelea kusaka misaada kutoka kote ili adhulumu kainchi kadogo jirani yake, lakini kila msaada anaopewa unaangukia pua, drones alizopewa na taifa la kidini la Iran zimepata...
Na Pili Mwinyi
Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni mpango kabambe uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa ajili ya kuwa na mtandao wa reli, barabara na bandari duniani pamoja na miundo...
Aiseee hii habari ya Taleban imenshangaza Sana.
Taleban wanataka kuongeza kikosi kingine maalum cha wanaojitoa muhanga (hawa ni wale wanaojilipua) ndani ya Jeshi Lao. Wanasema watatumika kwenye...
Wakati vita ikiendelea Vizuri na malengo yetu kutimia bwana Putin amemuweka Pembeni waziri wake wa Ulinzi Shoigu.
Na majenerali wameanza kumruka kutoa ripoti (Chain of Command) hivyo anabaki kama...
Utawala wa Biden umeomba idhini Bunge la Congress kuruhusu kuiuzia Taiwan Makombora ya kuzamisha Meli, Makombora ya kulipua ndege pamoja na Rada za kisasa za uchunguzi kwenye dili la thamani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.