Hiki kifaa kilikua kinalinda Sysria dhidi ya mashambulizi ya angani, ila sasa Mrusi kwa mapigo anayopokea Ukraine ameanza harakati za kunyang'anya wadau aliokua amewapa silaha za aina tofauti...
Mataifa ya Magharibi yameendelea kutoa msaada kwa Jeshi la Ukraine ili liweze kujikwamua dhidi ya mashambulizi ya Urusi. USA ameonekana kuwa kinara huku hata nchi zenye uchumi mdogo kama Poland...
The year-ahead contract for German electricity reached 995 euros ($995) per megawatt hours while the French equivalent surged past 1,100 euros -- a more than tenfold increase in both countries...
Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limembaini raia wa Ukraine aliyetega bomu kwenye gari Urusi na kumuua binti mwanadishi wa habari aitwaye Darya Dugina.
Chombo hicho cha upelelezi cha Urusi...
Mkurugenzi wa Shell, Ben Van Beurden ameitahadharisha Ulaya inaweza kuhitaji kugawanya nishati kwa miaka kadhaa kwani mgogoro uliopo una kila dalili ya kudumu zaidi ya kipindi kimoja cha baridi...
IRANIAN ARMY OFFICE / AFPAn Iranian missile being fired during the last day of the air defense exercise of 'Aseman Velayat 99', in an unidentified location in Iran on October 22, 2020.
The attack...
Rais Vladimir Putin leo Agosti 27, 2022 amesaini amri ya kuwalipa kiasi hicho cha fedha watu wote walioondoka Ukraine na kuhamia Urusi wakiwemo Wastaafu, Wajawazito na Walemavu.
Amri hiyo...
Marekani yasema kuwa majasusi wa Urusi (FSB) wamemtambua gaidi No. 2 aliyekuwa kwenye team ya mauaji ya binti mwandishi wa habari wa Urusi Darya Dugina huko Urusi. Gaidi huyo ametajwa kuwa ni...
Machafuko mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi katika siku tatu, vyanzo vya kijeshi na vya eneo hilo vimesema Jumapili.
Zaidi ya makundi ya...
Wito umetolewa kusitishwa mara moja kwa mapigano makali yanayohusisha makundi mawili ya Kisiasa yanayowania kuchukua Utawala wa Serikali katika mji mkuu wa Tripoli.
Taarifa ya Umoja wa Mataifa...
Mvua kubwa na mafuriko yamesababisha vifo vya takriban watu 1,033, wakiwemo watoto 348, na wengine 1,527 kujeruhiwa huku jumla ya watu milioni 33 wakiathiriwa na janga hilo tangu katikati ya...
Nigeria becomes first country to ban white models in advertisements
With the industry having already evolved, the ban could see more commercials shot locally
Nigeria has banned foreign models...
Waziri wa Uchukuzi wa Ufaransa alitoa wito wa kuangazia mazingira ya kashfa hiyo inayozunguka tuhuma za kampuni ya mafuta ya TotalEnergies kuisambazia Urusi mafuta kwa mahitaji ya jeshi la anga la...
Pentagon imeendelea kuruka viunzi suala la kupeleka ndegevita za kimarekani nchini Ukraine. Pentagon yasema suala la kuipatia Ukraine ndegevita za kimarekani lipo mezani lakini kuzipeleka hadi...
Na Fadhili Mpunji
Katika siku za hivi karibuni kiongozi wa Taiwan Bibi Tsai Ingwen na anayejitaja kuwa ni waziri wa mambo ya nje wa Jimbo la Somaliland Bw. Essa Kayd, walikutana huko Taipei...
Leo Agosti 25, 2022 Putin ametia saini amri ya kuongeza ukubwa Jeshi kutoka Wanajeshi Milioni 1.9 hadi Milioni 2.04 ikiwa ni miezi 6 tangu kuanza Vita baina yake na Ukraine.
Kwa mujibu wa agizo...
Rais wa Ukrainee, Volodymyr Zelensky amesema majeshi ya Urusi yanashikilia asilimia 20 ya ardhi ya Ukraine wakati mapigano yakiendelea.
Zelensky amesema hayo wakati akihutubia Bunge la Luxembourg...
Ndegevita za kimarekani F-16 zinazomilikiwa na Uturuki zimenyanyaswa kijinsia na S-300 (mfumo wa ulinzi wa anga wa kisoviet/kirusi wa zamani) ya Ugiriki zilipokuwa zikiruka kwenye kisiwa cha Crete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.