Msemaji wa jeshi la anga la Ukraine Colonel Yurii Ihnat ameilalamikia Urusi kuwa inataka rasmi kulifuta taifa la Ukraine kwenye uso wa dunia kutokana na Urusi kukusanya ndegevita nyingi mno...
Chama tawala cha Angola kinatazamiwa kurefusha utawala wake kwa miaka mingine mitano, na kukipa jumla ya miaka 52 madarakani. Upinzani mkuu ulisema utapinga matokeo ya kura ya Jumatano.
Rais wa...
Duniani mataifa makubwa yameanza kunoa visu na makucha, yanajiweka mkao wa mapambano makali, hivi Waswahili tuko vipi, au tupo tupo tu siku ziende.
Tokyo, Japan is considering the deployment of...
URUSI NA CHINA;KUANGUKA KWA DOLA NA KUINUKA KWA YUAN.
Leo 14:30pm 06/03/2022
Rais wa Urusi,Vladimir Putin hakuivamia Ukraine bila mipango (kwa bahati mbaya),Urusi haifanyi kitu chochote bila...
Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na changamoto mbalimbali, mzigo wa madeni wa nchi za Afrika umeongezeka. Baadhi ya nchi za magharibi zinadai kuwa China ndio inaibebesha Afrika “mtego wa...
Kanada watafiti wanasema haina uwezo wa kuzalisha LNG hadi mwaka 2025 kwa maana hio hii alternative haifanyi kazi tena UTEGEMEZI upo palepale kwa habari zaidi pitia hapa chini 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Germany...
Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa...
Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine.
Katika kuthibitisha hilo...
Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje kutangaza Agosti 20, 2022 kwamba nchi hiyo inasamehe mikopo 23 kwa nchi 17 za Afrika, huku ikiahidi kuimarisha uhusiano wake na nchi hizo baadhi ya wanadiplomasia...
Maafisa nchini Myanmar awamemkamata balozi wa zamani wa Uingereza nchini humo na mumewe, mchoraji maarufu ambaye wakati mmoja aliwahi kuwa mfungwa wa kisiasa. Utawala wa kijeshi wa Myanamr umesema...
Jaji Bruce Reinhart kutoka Mahakama inayosikiliza kesi hiyo, ameiamuru Idara ya Haki kufikia saa 1:00 jioni leo Agosti 26, 2022 iwe imeweka hadharani Hati ya Kiapo ambayo iliruhusu upekuzi wa FBI...
Pia yaongeza uzalishaji, yaani Urusi anatumbukia kwenye shimo la kujitakia, gesi yake atabaki nayo.
Norway now supplies Europe with more natural gas than Russia does after Moscow cut flows, per...
Mkuu wa haki za binaadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet amemkosoa vikali Rais Jair Bolsonaro akisema ameongeza mashambulizi yake kwa idara ya mahakama nchini Brazil na mfumo wa upigaji...
Watu 22 wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio la kombora la Urusi kwenye kituo cha treni cha Ukraine.
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amesema shambulizi hilo lilifanywa katika...
Maisha ya raia wa Urusi yamezidi kuwa magumu kufuatia Taifa hilo kuingia vitani na jirani yake Ukrain. Hali hii imefanya mataifa mbalimbali kuiwekea vikwazo kadhaa ikiwemo baadi ya raia kuziwa...
Marekani inatarajia kupeleka kifurushi kingine cha Silaha ambacho ni kikubwa zaidi tangu kuanza kwa vita ya Ukraine.
Kifurushi hicho kina thamani ya Dola bilioni tatu ($3 billion) na taarifa...
Wafanyakazi nchini humo wameitisha maandamano nchi nzima kupinga kupanda kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira wakati ambao mfumuko wa bei ukifikia kiwango cha juu tangu mwaka 2009.
Maelfu ya...
Zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na mtawala wa zamani wa kijeshi Sani Abacha, zitakabidhiwa kwa serikali ya Nigeria baada ya nchi hizo mbili kutia saini makubaliano.
Balozi wa Marekani...
Tume ya Uchaguzi imesema kuwa Chama cha MPLA kinaongoza baada ya matokeo ya mapema ya uchaguzi wa Rais na Wabunge uliofanyika Agosti 24
Tume hiyo ilisema kuwa kutokana na theluthi moja ya kura...
Warusi wana hasira kwa kutamaushwa na vita ambavyo vinawagharimu sana, mpaka wanapiga mabomu kwenye mashamba sasa.....
Nearly 600 hectares of various sorts of grain have burned down as a result...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.