TOKYO -- An estimated 300,000 barrels of Russian petroleum made their way to the U.K. in June despite government claims of zero oil imports from Russia that month, Nikkei research suggests. Being...
Kwenye juhudi za kuokoa miji yao, Ukraine wameishia kuzingira wanajeshi 10,000 wa Urusi.
========
Two days after punching through Russian defenses outside the city of Kharkiv, Ukrainian forces...
Kutoka kutekwa nyara hadi talaka na shutuma za ubaguzi wa rangi, familia ya kifalme imekuwa mgeni kwa kashfa kwa miongo kadhaa.
Malkia Elizabeth II anasifiwa kwa kiasi kikubwa kustahimili dhoruba...
Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili...
Vikosi vya jeshi la Ukraine vimepata mafanikio kwenye uwanja wa vita baada ya kuyakomboa maeneo kadhaa yaliyokuwa chini ya udhibiti wa Urusi kwenye mkoa wa mashariki mwa nchi hiyo wa Kharkiv...
“UHUSIANO WENYE PANDE MBILI ZA SARAFU”
10/09/2022
Ukiniuliza kuhusu uhuisano wa Malkia Elizabeth wa Pili na Afrika basi nitakujibu kuwa ni uhusiano wenye pande mbili za sarafu, kwa upande wa...
Moto unaowaka Kherson siyo mdogo, yaan sijui watu wanapataje data za waliokufa ,na vifaa vilivyoaribika.
Mahojiano yalifanywa kwa wanajeshi 7 wa Ukraine ambao walipata majeraha na wako katika...
Rais Putin ameahidi kumimina nafaka kwenda nchi masikini. Ameahidi kusupply tani milioni 30 mpaka mwisho wa December. Na pia Urusi ipo tayari kuongeza kiwango hicho na kufikia tani milioni 50...
Ni dhahiri kachezea kichapo, ngumi za kwenye uso, ila alipohojiwa nani kampiga akagoma kutoa jibu.
Kwa hasira alizo nazo Putin sasa hivi inabidi kukaa mbali naye, hata kama una urafiki naye wa...
Serikali ya Marekani imekubali kupunguza kifungo cha “tapeli wa mitandaoni” Hush Puppi hadi miaka 11 kwa kuwasaidia wapelelezi kutatua kesi nyingine.
⠀
Hush Puppi maarufu raia wa Nigeria...
Hii ni code name inayosimama kwa ajili ya utaratibu mzima wa hatua kwa hatua ya kile kitakachotokea baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II. Mpango mkakati huu ulitengenezwa kwa mara ya kwanza mwaka...
Ni kuanzia tarehe 31 mwezi ujao wa Oktoba na sababu kubwa ni thamani ya euro kuendelea kuporomoka jambo ambalo linawapa wasiwasi.
Baadhi ya wateja wa PayPal huko Ulaya wameanza kujulishwa kupitia...
Anasema mto umefurika miili ya wanajeshi wa Urusi, alikua anaongea na mkewe kwa simu, anatukana balaa na kulaani...
"F***ing HIMARS s**t. They are long-range and our tank was hit too....," the...
Huyu jamaa sasa hivi akapimwe maana anakoelekea ni kituko, si alidai hatorudisha gesi hadi waondolewe vikwazo vyote.
Now kikwazo ni turbine.
Putin says Russia will restart Nord Stream 1 gas...
Leo ni sherehe za uhuru nchini India toka walipopata uhuru kutoka kwa Muingereza mwaka 1946. Kwa miaka 75 India imejenga uchumi unaokua haraka zaidi huku ikiwa imebeba miongoni mwa watu matajiri...
Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS
Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe.
Katika maagizo...
Ukraine imekiri rasmi kwamba ilifanya shambulizi la Makombora na maroketi kwenye kambi ya jeshi la Urusi Crimea baada ya wiki kadhaa kukana kutohusika na shambulizi hilo.
Mkuu wa jeshi la Ukraine...
Wakuu habari za muda huu nimeona nifungue uzi huu kwa lengo la kujadili kwa mapana haya yanayoendelea nchi ni Burundi baada ya Ijumaa ya wiki jana Rais wa nchi hiyo kutamka hadharani kuwa kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.