International Forum

News and Stories from rest of the World
Moscow has accused the “liberal-totalitarian West” of seeking to impose a neo-colonial world order on the World Chairman of the Russian Historical Society, Director of the Foreign Intelligence...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Sifurahii Anguko la Urusi (ingawa Pro Russia wengi wanasababisha masuala yaende kishabiki). Urusi mwenye nguvu Dunia nzima tunamuhitaji na Muda unavyozidi kuyoyoma China atabaki njia Panda sababu...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari (SCMR) pia limeagiza kampuni hizo za utiririshaji kuondoa maudhui yote yasiyoendana na watoto pamoja na yanayokinzana na maadili ya Kiislamu Taarifa ya...
1 Reactions
5 Replies
967 Views
Thursday, September 08, 2022 By far the cheapest and most optimal type of energy for stovetop cooking, natural gas is the latest target of the global warming cult, which wants it banned from all...
2 Reactions
0 Replies
506 Views
Na Fadhili Mpunji Hivi karibuni mkutano wa uratibu wa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya China na Afrika kwenye mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu alikua anasimamia mji wa Berdyansk mpaka sasa haijaeleweka nani kamfanyizia, aidha itakua wanajeshi wa Urusi au makundi yanayounga mkono Ukraine. Kalipukiwa na bomu lililotegeshewa kwenye...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong. Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16...
0 Reactions
5 Replies
727 Views
Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Taarifa hiyo imetolewa na Kasri la Buckingham Imeelezwa, Mwanamfalme Philip (Duke of Edinburgh)...
14 Reactions
151 Replies
16K Views
AJABU YA UTEUZI WA WAZIRI MKUU UINGEREZA 🇬🇧 Na JumaKilumbi, 05.09.2022 Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, Demokrasia iliyokomaa hasa, ila ina Malkia mwenye mamlaka ambayo huizidi katiba kwa...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Endapo Sheria hiyo itapitishwa, nchi hiyo itakuwa ya pili barani Afrika baada ya Zambia kuwapa wanawake likizo ya hedhi na itaanza kwa awamu ya wafanyakazi wa serikali ili kutathmini ufanisi wake...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Septemba Mosi, mji wa Moscow ulipata mshituko baada ya magari yenye rangi ya njano(Cabs) kufurika city centre baada tax zote kupata call kutoka kwa mtu mmoja kupitia app ya Rusian Andex, ambaye...
5 Reactions
4 Replies
909 Views
That's right, kuna kajamaa kamoja jana kaliuliza "Russia atakula nini" 😂😂😂😂 Ukisikia nguvu ya intelligence kabla ya maamuzi ndio hii, unafanya INFORMED DECISION, Ndio faida ya kuwa na kiongozi...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Serikali ya Gambia inachunguza iwapo vifo vya Watoto vilivyosababishwa na figo ndani ya miezi mitatu iliyopita kama vimesababishwa na dawa ya kushusha homa na kutuliza maumivu (paracetamol). Bado...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Na humo wameuawa kweli kweli pamoja na zana zingine lukuki, ni mwendo wa mbele kwa mbele, Ukraine wanajitoa mhanga vizazi vya kesho vitaendeleza jamii ila lazima wakomboe ardhi yao.... HIMARS...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Putin ametishia pia kusitisha kabisa usambazaji wa nishati kwenda Ulaya iwapo Umoja wa Ulaya utaweka ukomo na hatimaye kushusha bei ya gesi ya Urusi. Katika hotuba iliyokuwa na hisia kali...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Mamlaka za Jimbo la Assam lililopo Kaskazini-Mashariki mwa Nchi hiyo zimefikia uamuzi wa kufunga shule 34 baada ya Wanafunzi wengi kufanya vibaya katika mitihani na kuwahamishia katika shule...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Haya maeneo yanaendelea kumtoka Mrusi puani, kajiingiza kwenye nchi ya watu kijinga jinga.... Silaha za Korea Kaskazini hazitomsaidia kitu... Russian Telegram channels are lighting up with...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Na Pili Mwinyi Ni miaka tisa sasa tangu rais wa China Xi Jinping atangaze pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” duniani, ambalo mbali na mambo mengine pia linajikita zaidi katika uwekezaji wa...
0 Reactions
3 Replies
834 Views
Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Back
Top Bottom