International Forum

News and Stories from rest of the World
Polisi wamevamia nyumba ya kibinafsi ya Rais Pedro Castillo, kumtafuta shemeji yake Yenifer Paredes, anayeshutumiwa kwa ufisadi na utakatishaji fedha ambapo baadaye alijisalimisha kwa Mamlaka...
0 Reactions
2 Replies
711 Views
Dosari zilezile za uchaguzi uliopita kama hazitafanyiwa kazi mkenya mmoja akasikika akinena damu itamwagika tena
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya mikwara kila siku kwamba Nancy Pelosi akithubutu kuingia Taiwan, basi China itafanya jambo la kweli, wameishia kuandaa maandalizi ya kufyatua makombora kwenye bahari, wanasubiriwa wafanye...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House Speaker Nancy Pelosi. Pelosi was the most senior US official to visit...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Milipuko 12 imesikika kutoka kwenye kituo Cha Jeshi la Anga la Urusi lililoko Jimbo la Ukraine ambalo linakaliwa na Urusi la Crimea. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema kwamba Milipuko hiyo...
11 Reactions
81 Replies
7K Views
Rais wa zamani, Donald Trump amelaani uvamizi wa FBI katika nyumba yake ya mapumziko huko Florida, ikiwa ni Sehemu uchunguzi unaomkabili tangu kutoka madarakani 2020 na kukiri kuwa tukio la namna...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tarehe 8 Agosti ni Siku ya Kufanya Mazoezi nchini China. Siku hiyo, rafiki yangu kutoka Afrika Duncan Likok alisema, “Sasa najua kwa nini China inaweza kupata mafanikio makubwa, kwani ina serikali...
1 Reactions
0 Replies
655 Views
German economy forecast to shrink The energy crisis and the conflict in Ukraine are expected to take a toll on the country’s GDP The German economy is expected to lose more than €260 billion...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa gazeti la muda mrefu sana na la kuaminika sana la New York Times , Russia anadaiwa kumaliza kujiandaa kuivamia nchi ya Ukraine ambapo ipo nafasi kubwa kuzuka vita kubwa sana...
8 Reactions
159 Replies
17K Views
Baada ya Urusi kujaa kwenye 18 za marekani kule Ukraine na kuona Russia mwenyewe ni mwepesi kiasi cha kupigika bila hata kutumia askari wa Marekani bali kwa kutuma silaha na kutoa maelekezo kwa...
41 Reactions
98 Replies
6K Views
Marekani imekuwa mwanachama wa 23 wa NATO kukubali ombi la Sweden na Finland kujiunga na muungano. Licha ya vitisho kutoka Russia Finland na Sweden zimeendelea na mchakato wa kujiunga na NATO huku...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Msumbiji imepiga marufuku watu kurekodi matukio ya ajali au majanga kabla ya kupiga simu kwa mamlaka ya dharura kutoa msaada, katika utekelezaji wa sheria mpya ya Huduma ya Kitaifa ya Usalama wa...
0 Reactions
1 Replies
518 Views
08 AUGUST 2022 FBI Agents are executing a Search Warrant against the home of President Donald J. Trump at Mar-a-Lago, in Palm Beach, Florida at this hour. The President issued a statement...
0 Reactions
8 Replies
759 Views
Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou. Kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za...
1 Reactions
2 Replies
512 Views
Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea...
17 Reactions
81 Replies
5K Views
Story at a glance The World Economic Forum envisions a food system that doesn’t include animal foods or require a large land footprint. In fact, for several years now, the WEF has promoted the...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Taifa la Korea Kaskazini limesema liko tayari kutuma wanajeshi laki moja kuisadia Urusi katika vita vyake na Ukraine. Kauli hiyo ilitolewa katika kipindi kimoja cha tv kinachoruswa na televisheni...
14 Reactions
99 Replies
6K Views
Marekani imetangaza kutoa msaada wenye thamani ya Dola Milioni 270 (Tsh. Bilioni 627.4) wa ulinzi kwa Ukraine ukihusisha roketi nne za kivita aina za HIMARS, ndege 580 ndogo zisizo na rubani na...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Vita Ukraine Haiwezi Kuisha kwa Kuipuuza Urusi, Jumuiya za Kimataifa Zitambue Hilo Rais wa Uturuki Recep Tayyip Edorgan akiwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin jijini Moscow MSAIDIZI Mkuu wa Rais...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom