International Forum

News and Stories from rest of the World
Jana nilipokea habari za mshtuko Gaidi mbishi Ayman Al Zawahir kauwawa kikatili na makombora ya Marekani. Baada ya kuamka na kufanya maombi. Nikakaa na kikombe changu Cha kahawa na simu kucheck...
11 Reactions
75 Replies
5K Views
Wakuu wa JF naombeni kujuzwa Namna hizi ndege za Drone zinavyofanya Kazi please. Pamoja na hizi vitu HIMARS Asanteni sana wakuu .
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Urusi imeonesha dalili za kuwa tayari kwa mazungumzo ya kubadilishana wafungwa siku moja baada ya Mahakama ya Urusi kumuhukumu mchezaji wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner kifungo cha miaka...
1 Reactions
6 Replies
970 Views
Aomba Marekani itafute namna ya kuitenganisha Afrika na vikwazo vyake kwenye ugomvi ambao hauhusu Afrika..... Shukrani Museveni kwa kutusemea, jameni mafuta yamepanda bei Afrika kisa ubabe wa...
2 Reactions
2 Replies
729 Views
Russia imetoa gesi kidogo kwa Ulaya Jumatano huku mivutano ya nishati ikiendelea kuongezeka kati ya Moscow na Umoja wa Ulaya ambayo itafanya iwe vigumu, na gharama kubwa kwa umoja huo kujaza...
10 Reactions
153 Replies
6K Views
Hizi huruma za taifa la Urusi kwa majirani zake na maadui zimevuka kiwango.Inashangaza adui zako wamepania kukuzingira na kukupiga lakini wewe unafanya mazungumzo nao,unawapelekea gesi ya kuplikia...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani, Bi Nancy Pelocy, anatarajiwa kuzulu Taiwan siku ya kesho... Hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka Viongozi wa Marekani na Taiwan China imeapa kufanya...
16 Reactions
202 Replies
11K Views
Marufuku Afrika kununua Mafuta Urusi Kupitia ziara ya Balozi wa Marekani Linda Thomas katika mahojiano kuhusu nchi za Afrika alitaka kutafuta masuluisho ya migogoro bila kutoa lawama kwa nchi za...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Kati ya siku mbaya kwa China, Serikali ya China na watu wake ni leo. Katika hali isiyo ya kawaida, Marekani imepuuzia juhudi zote za vitisho vya China dhidi ya safari ya Spika wa Marekani. China...
15 Reactions
99 Replies
6K Views
Aziz Akhannouch, anayetajwa kuwa Bilionea kutokana na Biashara yaa Petroli anakabiliwa na Kampeni inayomshinikiza ajiuzulu kupinga kupanda bei ya mafuta huku makampuni ya mafuta yakizidi kufaidika...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists. China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave...
11 Reactions
71 Replies
5K Views
Tarehe 1 Agosti ni Siku ya Kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi la Watu wa China. Katika miaka mingi iliyopita, jeshi hilo limeshiriki katika masuala ya usalama ya Afrika kwa hatua madhubuti, na...
1 Reactions
8 Replies
599 Views
China imeanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya baharini na angani kuzunguka kisiwa kinachojitawala cha Taiwan, saa chache baada ya Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi kuondoka Taipei. Vyombo vya...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Rais wa Senegal Macky Sall, chini ya Upatanishi wa Rais wa Guinea Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametia saini Mkataba wa amani na Waasi wa Chama cha Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC)...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
ili Kongo tupate amani inatakiwa tuongozwe na raisi mmoja dikteta au kiongozi yeyote ambaye amepitia jeshini. Au jeshi kupindua serekali Maana hawa ndo nahisi ambao wanaweza kuwa na uchungu na...
0 Reactions
12 Replies
791 Views
Viongozi wa Sudan Kusini wametangaza hii leo kwamba Serikali ya mpito ya nchi hiyo itasalia madarakani kwa miaka miwili zaidi ya muda uliokubaliwa, katika hatua ambayo washirika wa kigeni wamesema...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Maafisa wa afya ya umma nchini Marekani wametangaza kuenea kwa ugonjwa wa Homa ya Nyani kuwa ni dharura ya afya ya umma. Tamko hilo litaweka huru rasilimali za ziada za serikali kusaidia kudhibiti...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
China imefanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani saa tano na dakika nane jana asubuhi kwa saa za Beijing. Satelaiti hiyo itatumika kusimamia kiwango cha...
0 Reactions
2 Replies
501 Views
US public health officials have declared the spread of the monkeypox disease a public health emergency. The declaration will free up additional government resources to help contain the spread of...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani Nancy Pelosi hivi karibuni alifanya ziara Taiwan, China, na kuongeza hali ya wasiwasi ya kikanda na ya kimataifa. Kitendo hiki cha kisiasa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom