Serikali ya Nigeria imetishia kuweka vikwazo kwa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na Trust TV kwa kile walichodai kutukuza ugaidi kutokana na kuonesha filamu kuhusu wababe wa kivita wa...
Toka Ussr iteteleke na kuvunjika mwaka 1991 mlifanya kuandikwa kwa historia mpya duniani, na kufanya Mataifa ya Dunia ya tatu yateseke Tanganyika ikiwa mojawapo.
Mlifanya Dunia iwe na kutawaliwa...
Uingereza imetangaza visa vya kazi kwa wahitimu kutoka vyuo vikuu bora zaidi duniani katika upanuzi wa mfumo wake wa uhamiaji, ambao umeundwa kuvutia wafanyakazi lakini hakuna vyuo vikuu vya...
Macron akosoa 'unafiki' wa viongozi wa Afrika kuhusu vita vya Ukraine
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekosoa vikali mwitikio wa viongozi wa Afrika kuhusu vita vya Ukraine wakati wa mkutano na...
Maandamano dhidi ya Serikali ya Kijeshi na usimamizi wake wa mipango ya kurejesha Demokrasia yameripotiwa katika Mji Mkuu wa Guinea, Conakry na ripoti za awali zinadai mtu mmoja ameuawa na wengine...
Yuko live mida hii Washington DC Akiutangazia umma wa U.S kwamba ame recovery ugonjwa wa corona.anashukuru kwa maombi amewataka watu waendelee kuchukua tahadhari ili kupunguza kuenea kwa virus...
Utafiti kura za maoni ulifanywa na CNN umeonesha 75% ya Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais @JoeBiden uchaguzi wa 2024.
Kura imefanyika wakati ambao...
Wakubwa huko US wanajadili kuiwekea vikwazo vikali sana Urusi, kama ikiuza makombora yake hatari ya kudungua makombora,Silaha hii ni ile inyoogopeka sana aina ya S400.Je Marekani inaogopa nini kwa...
Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine.
Biden ametoa...
Mwanaume mmoja katika maeneo ya Maryland huko Marekani amekutwa amekufa baada ya kung’atwa na nyoka aliokuwa akiwafuga.
Polisi wamesema kuwa wamekuta mwili wa mwamba huyo ukiwa chini huku kukiwa...
27 Jul, 2022 22:12
HomeWorld News
German mayors want Nord Stream 2 opened
Leaders of Germany’s largest island demand Berlin rethink Russia policy
Berlin’s policy of trying to give up imports of...
Uingereza inatarajiwa kuwa na Nyuzi Joto 43C, kesho Jumanne Julai 19, 2022 ikiwa ni hali ya joto kali kuwahi kutokea katika historia ya Nchi hiyo.
Mamlaka za hali ya hewa za Uingereza (MET)...
Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani umechoma karibu kilomita za mraba 57 ndani ya siku tatu, hadi kufikia tarehe 24 asubuhi, moto huo bado haujaweza kudhibitiwa.
Kuna nyumba nyingine sio za kuingia huko kwa Madiba. Katika eneo la Pretoria, wezi kwa jina la michomoko wamejikuta wakichapa usingizi mnono baada ya kuiba.
Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga...
Putin hakutarajia haya yatafanyika alipoivamia Ukraine
CHANZO CHA PICHA, REUTERS
Tarehe 24 Februari 2022, Urusi iliivamia Ukraine katika hatua iliyozidisha mzozo wake nan chi hiyo Jirani...
Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni...
Tunisia imepitisha katiba mpya, inayompa madaraka makubwa rais, baada ya kufanyika kwa kura ya maoni siku ya Jumatatu, ambayo idadi ndogo ya wapiga kura walijitokeza.
Licha ya...
Majeshi ya Ukraine yamefanikiwa kufurusha makombora na kuharibu daraja muhimu linalotumiwa na Urusi kupeleka bidhaa muhimu kwenye jimbo waliloteka la Kherson. Lengo la mashambulizi hayo ni...
Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma nchini humo, ambao kwa sasa wamegoma kutokana na mgogoro wa malipo yao, wamesema Sheria hiyo itajenga jamii bora kwa kuendeleza Taasisi za elimu za juu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.