International Forum

News and Stories from rest of the World
Japan ilikuwa ni mshirika mkubwa wa Hitler kwenye vita kuu ya pili!! Japan walikuwa ni wababe wa vita na wakatili sana!! Waliwatesa sana wachina na korea ya kusini enzi hizo. Hadi leo Wachina na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani - World Health Organization limesema kuwa linategemea kuwepo visa vingi zaidi vya mlipuko wa ugonjwa wa MONKEY POX na kupata visa vingi zaidi. Amesema pia kuwa kusambaa...
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Wazamiaji wanaotoka nchi mbalimbali na kukimbilia Uingereza wameonesha wasiwasi kuwa wanaenda kuishi katika mateso kwakuwa wanajua kuwa hakuna amani na demekrasia katika nchi ya Kagame Migrants...
0 Reactions
5 Replies
816 Views
Waziri Mkuu wa Zamani wa Pakistan, Imran Khan ametangaza kuongoza maandamano ya amani ya kudai uchaguzi mkuu ikiwa ni muda mfupi tangu aondolewe madarakani kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani...
0 Reactions
6 Replies
916 Views
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi anafanya ziara yake ya kwanza ya kidiplomasia barani Afrika mwaka huu, ziara ambayo imekuwa ni desturi kwa waziri wa mambo ya nje wa China kwa miaka 32...
1 Reactions
1 Replies
698 Views
China imetoa takwimu mpya za kitaifa za spishi za viumbeanuai, ijulikanayo kama Katalogi ya Orodha ya Mwaka 2022 ya Viumbe hai vya China. Kwa mujibu wa Taasisi ya Sayansi ya China (CAS), orodha...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Mkutano wa 73 wa Baraza la Afya Duniani (WHA) umeanza jana huko Geneva, Uswiss, ambapo utafuatilia masuala makubwa yakiwemo janga la COVID-19 na afya ya dunia inavyohimiza pendekezo la amani...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Jeshi la Ulinzi wa Taifa la Ethiopia (ENDF) limesema kuwa washukiwa 233 wa uasi kutoka kikosi cha ukombozi wa Oromo (OLA) wamejisalimisha katika siku za karibuni. Katika taarifa yake kwa vyombo...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Ndg zetu Wanaopata kuwa ambassadors wanaabisha nchi. Mods naomba urekebishe title. Marais wateue waliosomea international relations and diplomacy Mh Rais ateue wenye fani wataalamu wa uhusiano...
0 Reactions
3 Replies
522 Views
Mazoezi makubwa zaidi katika historia ya ya Baltics ya Muungano wa kijeshi wa Nato yanaanza baadaye hii leo. Mazungumzo hayo yamepewa jina la siri la Hedgehog. Mzoezi hayo yatafanyika katika...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Dunia inapaswa kuwa na uangalifu kuhusu maambukizi ya Virusi vya Monkeypox ambayo yanazidi kusambaa na unaweza kusababisha athari mbaya ikiwa utaendelea...
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amewataka wananchi wa nchi hiyo wale majani ya miti na kusema kuwa, hata Mtume Muhammad SAW alifikia kula majani ya miti kwenye Bonde la Abu Talib wakati...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
TANESCO (Russia) ya nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya yaendelea kuzichachafya nchi za EU zilizozoea kupewa umeme wa dezoo. Safari hii TANESCO hiyo ya nchi kadhaa za EU imeamua kuikatia umeme...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Serikali za mataifa duniani zinatakiwa kutoa ruzuku kwa ajili ya gharama ya chakula na nishati kwa watu maskini zaidi katika jamii. Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ameiambia BBC. Watu...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Baada ya Uongozi wa Taliban kuagiza Watangazaji wote wa kike katika vituo vya runinga Nchini humo kuziba nyuso zao wanapokuwa wakitangaza mapema mwezi huu, hatimaye amri hiyo imeanza kutekelezwa...
0 Reactions
7 Replies
684 Views
Mamlaka za afya ziko macho kutokana na kuenea kwa ugonjwa hadimu unaofanana na tetekuwanga ambapo Ureno ilisema Jumatano iligundua visa viwili, Uhispania inafanya majaribio kwa watu 23 wenye...
1 Reactions
77 Replies
6K Views
Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali. Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani. 1. Aliondoa...
7 Reactions
10 Replies
883 Views
Waziri mkuu mstaafu wa Pakistan bwana Imran Khan ameisifia serikali ya Modi (India) kwa kutokusalimu amri kwa mikwara mbuzi ya Marekani juu ya India kununua mafuta ya Russia kitu ambacho...
6 Reactions
9 Replies
912 Views
Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’ Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom