International Forum

News and Stories from rest of the World
Mkutano wa kilele wa tembo umefunguliwa jana Jumatatu katika mbuga ya wanyamapori ya taifa ya Hwange nchini Zimbabwe, ambapo nchi zinazoshiriki zimetaka kufikia makubaliano kuhusu usimamizi wa...
1 Reactions
2 Replies
492 Views
Takwimu zilizotolewa karibuni na Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeonesha kuwa, kuanzia tarehe 13 mwezi Mei, nchi 12 zimeripoti kesi 92 zilizothibitishwa za maambukizi ya virusi vya monkeypox, na...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Uongozi wa Taliban umeagiza watangazaji wote wa kike katika vituo vya runinga Nchini Afghanistan wanatakiwa kuziba sura zao wanapokuwa wakitangaza. Vyombo vya habari vimekiri kupokea maagizo hayo...
2 Reactions
88 Replies
4K Views
Poland imesitisha mkataba wa kununua gesi toka ujerumani. Sababu ni kwamba hawataki kulipia gesi kwa ruble!! Ila cha kushangaza ni kwamba wanasema yale mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka urusi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limetoa azimio likitaka zifanyike juhudi za kimataifa kupunguza mgogoro wa usalama wa chakula. Azimio hilo limetoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono...
1 Reactions
1 Replies
392 Views
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Jeshi la Rwanda (RDF) limesema kuwa makombora yaliyorushwa na kikosi cha wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) katika eneo lake la mashariki yalishambulia kaskazini mwa Rwanda na...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Dai Bing jana alitoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kuimarisha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia wakati nchi...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Ofisi ya raisi Zelensky mjini Kiyv imesema inasubiri makombora hayo aina ya MLRS haraka kutoka Marekani ili kazi ianze. Office of the President: Ukraine itself will unblock the Black Sea if it...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wataalamu nchini Sudan wameonya kuwa mwaka huu nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula, na idadi ya watu wanaoathiriwa na njaa inaweza kuongezeka na...
2 Reactions
6 Replies
813 Views
Mvua kubwa imetokea Afrika Kusini wikiendi hii na kusababisha mafuriko makubwa kwa wakazi wa maeneo ya Pwani ya Mashariki ambao wengi wao wamelazimika kuhamishwa katika makazi yao. Mafuriko hayo...
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema mpango wa Marekani uitwao “Mkakati wa Indo Pasifiki” utashindwa tu, kwani unasababisha jumuiya ya kimataifa kuwa na wasiwasi mkubwa na kuwa macho...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho. Tayari sarafu ya...
15 Reactions
44 Replies
4K Views
Ujerumani kwa sasa inajiandaa Kuachana na utegemezi wa Gesi ya Urusi jumla. Hii ni baada ya kusaini mkataba wa Nishati leo hii na Qatar. Kwa kuanzia Ujerumani itakuwa inanunua Gesi Qatar Moja kwa...
8 Reactions
121 Replies
5K Views
Ubelgiji na Uingereza zimekuwa Nchi za kwanza kuanzisha karantini ya lazima kwa wagonjwa wa monkeypox ambao umekuwa ukisambaa kwa kasi katika mataifa tofauti hivi karibuni Ubelgiji imedai kuwepo...
1 Reactions
9 Replies
830 Views
Sijawahi kupost kwenye hili jukwaa ila leo wacha nipost baada ya kuona agenda nyingi sana humu juu ya umwagaji damu dhidi ya raia wasio na hatia Ukraine Sijawahi kupenda vita hata siku moja...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine kumezuka mambo mengi yaliyokuwa hayakutarajiwa.Moja ya hilo ni kauli ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi kuwa Hitler alikuwa ni myahudi. Israel...
9 Reactions
62 Replies
4K Views
Huwezi kuamini mawazo na akili ya Viongozi wa Poland!! Wam,eamua kuachana na gesi ya urusi ya bei rahisi kwa kuwa wanaweza kununua gesi pia toka Norway na nyingine toka Ujerumani (inayopata gesi...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin. Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma...
8 Reactions
73 Replies
8K Views
Back
Top Bottom