International Forum

News and Stories from rest of the World
Ofisa mkuu wa mahusiano ya umma wa tawi la kampuni ya Huawei ya China nchini Kenya Bw. Dalmar Abdi amesema, nchi hiyo imeimarisha utoaji wa mafunzo, ili kupanua kundi la watu wenye ujuzi wa TEHAMA...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Huduma ya Mizigo ya Reli ya SGR kati ya Mombasa na Nairobi imetoa urahisi wa usafirishaji wa mizigo mingi inayokwenda katika nchi zisizo na bahari tangu kuzinduliwa kwake Januari 2018. Edward...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Bodi ya Chai ya Kenya jana ilitangaza kuwa ingawa mapambano kati ya Russia na Ukraine yameathiri shughuli za uchukuzi, lakini mapato ya chai ya Kenya inayouzwa nje yameongezeka kwa asilimia 10.4...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Kongamano la 5 la uwekezaji wa kifedha na biashara barani Afrika (FITA 2022) limefunguliwa jana nchini Tunisia, ili kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika. Akifungua kongamano hilo la siku...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
-Ndege za kivita za china na urusi zilifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya Japan na bahari ya china mashariki siku ya jumanne ya tarehe 24 May 2022 wakati viongozi wa “Quad”walipokutana...
10 Reactions
101 Replies
7K Views
Reuters wanasema Russia hajawai pata hasara kubwa Sana ya vita, since WW2 Kama hasara walizopata Ukrein. Repoti zinadai hakuna kitu kilimuuma Sana Putin Kama Kuzamishwa kwa meli kubwa ya Russia...
9 Reactions
134 Replies
6K Views
Umaskini wa kujitakia
2 Reactions
87 Replies
6K Views
Kila nikijaribu kufikiria Raia wasio na hatia waliouawa huko Hiroshima na Nagasaki zaidi ya Raia laki 3 kufa papohapo na wengine mamilion kuathiriwa na mionzi ya yale mabomu mawili ya Hiroshima na...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
No that would not help. The enemy understands that brandon is not the one calling the shots. Furthermore, he is compromised by his involvement many different criminal enterprises that the Russians...
0 Reactions
0 Replies
383 Views
URUSI: Kampuni ya kutengeneza Ndege ya Marekani ya Boeing (BA.N) imesema inasitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi ikiwa ni sehemu ya...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Rais wa Ufilipino anayeondoka madarakani, Rodrigo Duterte amemkosoa vikali Putin kwa mauaji ya raia wasiyo na hatia huku yeye akisema anauwa wahalifu. Dikteita Duterte kumkosoa Putin ni ishara...
3 Reactions
5 Replies
940 Views
Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana...
4 Reactions
10 Replies
844 Views
Polisi nchini Nigeria wanachunguza kukatwa kichwa kwa mbunge wa jimbo la kusini-mashariki la Anambra ikiwa ni wiki moja baada ya watu wenye silaha kumteka nyara pamoja na msaidizi wake. Mwili wa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
EFCC WHISKS AWAY PRESIDENTIAL ASPIRANT OKOROCHA - ARISE NEWS REPORT Maofisa wa Kikosi cha Kupambana na rushwa nchini Nigeria ilibidi wafyatue risasi angani walipokuwa,wamezingira jumba la...
0 Reactions
2 Replies
540 Views
Makasisi 700 wa Kanisa Katoliki Marekani watuhumiwa kulawiti watoto Mwanasheria Mkuu wa jimbo la Illinois nchini Marekani amewatuhumu makasisi 700 wa Kanisa Katoliki katika jimbo hilo kwamba...
7 Reactions
62 Replies
8K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameishutumu Urusi kwa kuzuia usafirishaji wa tani milioni 22 za chakula na kudai kuwa shida ya chakula inaweza kuwa tishio la pili baada ya nishati. Ameomba...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano...
1 Reactions
5 Replies
764 Views
Mjumbe wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP nchini Kenya Bw. Walid Badawi amesema, mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaathiri vibaya utendaji wa uchumi wa Afrika. Bw...
3 Reactions
3 Replies
651 Views
Huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, mkuu wa Wakfu wa Urithi wa Prussian Bw. Hermann Parzinger, na Esther Moombolah wa Makumbusho ya Kitaifa ya Namibia walionyesha sehemu ya mkusanyiko wa sanaa za...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Back
Top Bottom