International Forum

News and Stories from rest of the World
Shujaa na Mbabe wa kivita, mchecheni Kadyrov, kawaeleza Poland kuwa ni bora wachukue silaha zao Ukraine ili wazitumie kujilinda wao wenyewe, na wachukue wapiganaji waliowapeleka Ukraine na kisha...
14 Reactions
30 Replies
3K Views
Oleksii Yanin ni mwanamasumbwi wa mtindo wa kurusha mateke ambaye alifariki huko Mariupol mnamo tarehe 6 April akiwa katika kikosi maalum cha Azov Mwanasumbwi huyo ameacha mke mmoja bi Tamara na...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Marekani inaripoti kuwa afisa wa jeshi mwandamizi (wa ngazi za juu) wa Ukraine amekiri wakati akitoa ripoti ya maendeleo ya vita leo kuwa majeshi ya Russia yenye nguvu zaidi katika mapigano...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Ukiondoa ushabiki wa Marekani na vyombo vyake vya habari wanaowachochea waukraine wapigane kwa niaba yao lakini ukweli unaopatikana katika matamshi ya waukreni wenyewe kuanzia raisi Zelensky...
16 Reactions
59 Replies
5K Views
Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Kila leo Ukraine inazidi kukandamizwa na marafiki zake.Ujerumani hapo mwanzoni mwa vita tarehe 24 Februari ilisema itaisaidia Ukraine kisilaha kwa kuipa vifaru vyake aina ya Gepard . Vifaru hivyo...
5 Reactions
8 Replies
846 Views
Watoto 11 wachanga wamefariki katika ajali ya moto katika hospitali katika mji wa Tivaouane nchini Senegal, uliosababishwa na hitilafu ya sakiti ya umeme hospitalini hapo kulingana na uchunguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Majasusi wa kimataifa walio na uwezo wa ajabu wameshamaliza kazi, Putin wa Leo, si yule wa Kabla ya uvamizi wa Ukraine! Afya yake imeshachokonolewa, Mnaoangalia kwa jicho Kali na angavu...
18 Reactions
97 Replies
7K Views
Akiripotiwa kuzungumza kutoka katika ofisi yake katika mji mkuu Kyiv rais wa Ukraine Zelensky amelaani kutendo cha viongozi wa Nato cha ' kukataa Ijumaa kuanzisha eneo la anga ambalo ndege hazipai...
12 Reactions
167 Replies
10K Views
Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Baada ya Urusi kufungiwa njia zote ilizokuwa inatumia kulipa madeni yake na Marekani, wawekezaji watazidi kuikimbia Urusi. Urusi kwa sasa ni kama kisiwa, imetengwa na Mataifa yote yenye uchumi...
7 Reactions
69 Replies
4K Views
Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Russia imetengeneza mobile application ya game kwenye smartphone ambayo watoto wa Ukraine wanaotaka kushiriki kucheza wanajisajili na kuingia kwenye kucheza game. Washiriki wa game hilo wanapewa...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Mwanadiplomasia mbobezi wa Marekani ambaye ndiye msanifu wa vita baridi wakati wa uwaziri wake,bw Henry Kissinger amesema Ukraine kwa hapa ilipofikia haina budi kuiachia Urusi baadhi ya majimbo...
16 Reactions
49 Replies
4K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden amesaini amri ya kiutendaji ambayo amedai italeta uwajibikaji zaidi na ufanisi kwa polisi. Amefanya hivyo katika kumbukumbuku ya mwaka wa pili tangu kutokea kwa mauaji...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Serikali ya Gambia imesema itamfungulia mashtaka Rais wa zamani Yahya Jammeh ambaye hivi sasa anaishi uhamishoni nchini Equatorial Guinea kwa mauaji, ubakaji, utesaji na uhalifu mwingine unaodaiwa...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Taarifa kutoka kaskazini magharibi mwa Nigeria zinasema kuwa majambazi waliokuwa wakiendesha pikipiki wamewauwa zaidi ya watu hamsini katika msururu wa uvamizi uliodumu kwa saa kadhaa katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mamlaka za kupambana na dawa za kulevya Tanzania zimeanza msako wa nchi nzima kwa watu wanaolima bangi. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Gerald Kusaya amesema...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alisisitiza umuhimu wa kutekeleza sera za kutuliza uchumi na kuunga mkono masoko, ajira na maisha ya watu. Bw. Li Keqiang aliyasema hayo kwenye mkutano wa...
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Serikali ya Ethiopia imepongeza kampuni za China kwa juhudi zao za kutekeleza majukumu ya kijamii nchini humo. Taarifa hiyo imetolewa na naibu meya wa Addis Ababa Bw. Yasmin Wohabrebbi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Back
Top Bottom