International Forum

News and Stories from rest of the World
Mume wa Irma Garcia, mwalimu ambaye ni mmoja wa walioualiwa katika shambulizi lililotokea shuleni na kuua pia Watoto 19, amefariki kwa shambulizi la moyo. Memba mmoja wa familia amesema kuwa Joe...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Benki kuu ya Urusi inakadiria kuwa ndani ya kipindi cha mwezi April, uchumi wa Urusi utashuka kwa 12% kutokana na Vikwazo vya kiuchumi alivyowekewa na Magharibi. Urusi aliwekewa Vikwazo baada ya...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeishutumu Rwanda kwa kukisaidia Kikundi cha M23 baada ya Jeshi la DR Congo kushambuliana na kikundi hicho katika mashambulizi makali Mashariki mwa Taifa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii ni baada ya wao kuwasilisha uanachama NATO na pia ilipobainika Urusi hana lolote kwa aibu aliyopata pale Ukrane, siku zote Finland waliogopa kwamba wakiwasilisha ombi la uanachama, Urusi...
9 Reactions
70 Replies
4K Views
"Anyway, this is a NATO war against Russia..." ameyasema hayo mwanahabari na mwanahistoria Angelo D'Orsi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine. Akizungumza na Italian TV, mwandishi huyo pia...
5 Reactions
8 Replies
865 Views
Zelensky amesema kwa hali ya mambo yanavyoendelea nchini Ukraine inalazimika Ukraine ikubaliane na hali halisi halisia na izungumze na Putin. Amesema kuzungumza na Putin ndio njia pekee inayoweza...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi sasa China imekumbwa na wimbi jipya la janga la COVID-19, hususan huko Shanghai, ambapo kesi za maambukizi ya virusi ni nyingi. Ili kulinda maisha ya watu, China imechukua hatua mbalimbali...
0 Reactions
4 Replies
795 Views
Gazeti la DIE ZEIT nchini ujerumani limeripoti kwamba mamlaka ya serikali ya habari kwa umma (German press agency) imesema kwamba wanachama wa NATO walikubaliana kutokuwapa Ukraine vifaru na ndege...
13 Reactions
65 Replies
5K Views
Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu. Halafu tatizo hizi drone sio rahisi...
20 Reactions
153 Replies
9K Views
Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke. Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri...
19 Reactions
116 Replies
10K Views
Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatulia risasi Texas, Marekani, viongozi mbalimbali Duniani wameomboleza vifo hivyo wakiongozwa na Papa Francis ambaye amesema amesikitishwa na mauaji...
1 Reactions
18 Replies
917 Views
Huko Urusi Baada ya kampuni ya Coca cola kusitisha uzalishaji nchini Russia kupinga uvamizi wa Russia nchini ukraine. Sasa Warusi wamevichukua Viwanda vya Coca Cola Vilivyoko na kuendelea na...
46 Reactions
113 Replies
8K Views
Mei 25, 2022, huko Putumayo, Colombia, trampoline ya kifo ni moja ya barabara hatari zaidi duniani, inaanzia kutoka Mocoa hadi San Francisco na ilijengwa mwaka 1930. Watu wengi walikufa wakiwa...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Utafiti mpya uliotolewa jana umeonyesha kuwa, mchakato wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani una kasi zaidi kuliko ulivyotarajiwa na hatua za haraka zinahitajika ili kupunguza uharibifu. Kwenye...
1 Reactions
0 Replies
410 Views
Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun jana aliilaumu Marekani kwa kushindwa kutimiza wajibu wake ikiwa kama kiongozi wa Baraza la Usalama anayeshughulikia vikwazo vya...
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Serikali za China na Tanzania jana Alhamis zilisaini mpango mpya wa 2022-2025 wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni unaolenga kuimarisha ushirikiano wa pande mbili kwenye nyanja mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mvulana wa Nepali Dor Bahadur Khapang mwenye umri wa miaka 17 ana urefu wa sentimita 70 na amethibitishwa na kumbukumbu za Guinness kuwa mtu mfupi zaidi duniani.
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom