International Forum

News and Stories from rest of the World
Hii imetokea baada ya Rais Joe Biden wa Marekani kusaini sheria mpya inayompa mamlaka ya kuharakisha usafirishaji wa vifaa vya kijeshi kwa Ukraine. Tafsiri yake ni kwamba hakutakuwa na hurasmu...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Mwanajamvi . Hivi unamjua huyo Eric Oslon Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo Huyo jamaa ni ; - four star General, halafu was the tallest in the...
2 Reactions
5 Replies
795 Views
Zaidi ya mara moja Russia imekua ikitoa vitisho kwamba ,endapo Finland na Sweden wakijaribu kuchukua hatua za kujiunga na NATO atatembeza dozi,cha ajabu jamaa wameshaanza process za awali kabisa...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwanafunzi mzungu nchini Afrika Kusini amesimamishwa masomo kwa uchunguzi zaidi baada ya kushtakiwa kwa kukojolea mali ya mwanafunzi mweusi katika Chuo Kikuu cha Stellenbosch, ambapo anaweza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema atayaomba mataifa ya Afrika na Asia yamuunge mkono. Zelensky amesema habari juu ya mahitaji ya nchi yake zinapaswa kutangazwa katika nchi zote muhimu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna kundi kubwa sana la watu ambao wanapenda kuona, kusoma na kusikia habari za uwanja wa medani hii inatokana na ukweli kuwa vita ndio jambo gumu sana kufanywa na mwanadamu. Katika dunia ya leo...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Umoja wa ulaya hatimaye umeyaruhusu makampuni yake kununua mafuta ya Urusi kwa kufuata taratibu ambazo Urusi kaziweka. Yetu macho na masikio. EU gives companies green light to buy gas from...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha trick wanazo fanya wanajeshi wa Ukraine ili kuhandaa umma kua wamefika mpaka wa urusi kumbe ni uongo. Nisiongee sanaa angalia hii...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Katika vitu vilivyompa wakati Mgumu Trump, ni jinsi alivyoshughuliia Covid-19, Democrats walimshukia hatari kinoma. Joe Biden kwenye kampeni alisema " any one who is responsible to these many...
2 Reactions
7 Replies
915 Views
DM tower business Centre Moscow inaungua Muda huu, ni kituo mashuhuri Kwa biashara ni Kama ilivyo kuwa WTC ya Marekani Au ZILE za Abudhabi na Dubai, Majengo pasha mengine manne yote yameteketea...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Machina anafuata Kwa mbali in terms of per Capita ila Kwenye GDP anamkaribia. Ukweli mchungu USA ataendelea kutuburuza miaka mingi ijayo labda utokee muujiza wa Mungu.
4 Reactions
108 Replies
5K Views
Vifo vipya 21 vimeripotiwa huku ikielezwa watu wengine walikuwa na dalili za Homa. Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong Un amesema mlipuko wa COVID-19 umeiweka Nchi katika machafuko makubwa. Korea...
1 Reactions
7 Replies
981 Views
Katika Pitapita zangu mtandaoni nikijaribu tafuta ushindi wa warusi katika ardhi ya Ukraine kama vile kundi jipya la Warusi Masalia wamekuwa wakituma ripoti mara kwa mara wakisisitiza tusilete...
2 Reactions
3 Replies
618 Views
Hotuba ya kwanza baada Putin kukana mara kwa mara angeivamia nchi jirani yake Ukraine huku akisogeza majeshi yakae tayari Alitiishia nchi yoyote itakaoingilia itakutana na moto mkali ambao...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Wabunge Nchini Somalia wamemchagua Hassan Sheikh Mohamud aliyekuwa Rais kati ya mwaka 2012 - 2017 kuongoza Taifa hilo. Amepigiwa Kura 214, huku Rais Mohamed Abdullahi Mohamed aliyekuwa anawania...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali ya Uingereza imekosolewa maamuzi yake ya kutaka kuwahamisha wakimbizi kutoka nchini humo na kuwapelekea Rwanda ikioneana ni kama inafanya biashara ya kuuza watu. Uingereza imeingia...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Iran na Russia zaanzisha kituo cha pamoja cha teknolojia Jamhuri ya Kiislamu ya Ira na Russia zimeanzisha kituo cha pamoja cha teknolojia kwa ajili ya kuendesha miraji ya pamoja ya ustawi na...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Rand Paul, seneta wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amemlaumu Joe Biden kwa kuendelea kuipa Ukraine misaada ya kila namna ya kijeshi na kuonya kuwa, kitendo hicho kinahatarisha...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Uingereza Johnson ameingia mutual agreement na nchi za Finland na Sweden endapo nchi hizo zitashambuliwa basi ni sawa ameshambuliwa Uingereza, kwa hiyo Uingereza itaingilia kati...
19 Reactions
206 Replies
10K Views
Hatimae hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye Finland ametuma maombi rasmi ya kujiunga na NATO, muda huu wapo live BBC.
14 Reactions
65 Replies
3K Views
Back
Top Bottom