Mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh enzi za uhai wake
Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Shireen Abu Akleh (51) ameuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu yake ya kazi wakati...
Wakuu habari, Russia yupo na uwezekano mkubwa wa kuiangusha Serikali ya Ukraine, japo Ukraine anaonyesha ustahimilivu lakini hawezi kudumu milele.
Sasa tukiangalia kiini cha hii vita ni Serikali...
Ukrainian officials report that a large Russian support ship Vsevolod Bobrov has caught on fire somewhere in the Black Sea.
Vsevolod Bobrov is a large ship (almost 10,000 tons displacement), and...
Nchi ya Ukraine imeingia katika vita na Urusi baada ya kudanganywa na hili genge la wahuni wa nchi za NATO.
Ikumbukwe wakati wa vita baridi miaka ya 80s kulikuwa na NATO iliyokuwa ikiongozwa na...
Miaka 20 nyuma ni siraha ambazo zilitupa sifa na ubora katika mapambano kwa Teknolojia ilivyokuwa.
Kwa siraha hizo pia katika diplomasia na ujasiri na udhabiti pamoja na uzalendo Tanzania ilikua...
Nchi za magharibi zinadhani zenyewe ndio zina haki ya kuadhibu nchi zinmgine, na hazitegemei nchi zingine kujitetea kwa namna yoyote ile!
Nchi za magharibi na washirika wao waliiwekea vikwazo...
Afrika Kusini imerekodi Maambukizi mapya 10,017 ikiwa ni mara ya kwanza Taifa hilo linaripoti Visa vipya zaidi ya 10,000 tangu Januari. Tayari Mamlaka zilishaonya kuhusu Wimbi la Tano la...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amuomba radhi waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennet kwa matamshi aliyoyatoa waziri wake wa mambo ya Nje Sergei Lavrov kwamba Hitler alikua na damu ya kiyahudi.
Rais...
UKRAINE destroyed Vladimir Putin's "personal parade boat" the Russian leader uses to inspect naval fleets in a laser-guided bomb attack off Snake Island.
Ukraine claims to have destroyed Putin's...
Msichana wa miaka 13 anaedaiwa kubakwa na wanaume wanne nchini India ,anadaiwa kubakwa tena na Askari Police wakati alipokwenda kuomba msaada wa police na kuripoti shambulio la kwanza
Mamlaka ya...
Marekani na Umoja wa Mataifa wamelaani vikali mauaji ya mwandishi wa habari wa Al Jazeera ambaye alikuwa anaripoti kuhusu operesheni ya jeshi la Israel katika ukingo wa magharibi.
Shireen Abu...
someni kwanza nitachambua baadae.
Pentagon imetoa orodha kamili ya silaha ambazo Marekani imezitoa kwa Ukraine.
Rais wa Marekani Joe Biden amesaini waraka unaoelezea msaada wa kijeshi wa dola...
Jeshi la Nigeria linasema karibu wanamgambo 6000 wa Boko Haram wakiwemo makamanda , wapiganaji na familia zao wamejisalimisha kwa mamlaka katika muda wa wiki chache zilizopita.
Cameroon pia...
Waandamanaji nchini Sri Lanka wamechoma nyumba 75 zinazosemekana kumilikiwa na wanasiasa 38, huku wakiendelea kukiuka marufuku ya kutoka nje wakipinga mdororo mbaya zaidi wa uchumi kutokea nchini...
Mgogoro wa Ukraine umeendelea kwa zaidi ya miezi miwili. Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani hivi karibuni lilipitia mpango wa msaada wa takriban dola bilioni 40 kwa Ukraine. Mpango huo...
Habari ukisubiria kikao cha Kamati kuu CHADEMA tupitie hapa
Nilisema nitakuja kuwaelezea vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao mpaka leo wamemtia unyonge Putin pia warusi...
Hivi ndivyo unavyoweza kusema, zile tambo zake za kutunisha misuli alizokuwa nazo wakati anaanza kuivamia Ukraine zinazidi kufifia. Putin kwa sasa amekuwa ni mtu wa kulaumu na kulia kwenye hotuba...
Rais na Waziri Mkuu wa Finland wameeleza kwamba ni lazima Finland ijiunge na Umoja wa kujihami wa NATO bila kuchelewa.
Nchi hiyo imekua na Sera ya kutoegemea upande wowote Kwa zaidi ya miaka Mia...
Pamoja na sifa kedekede ambazo zimekuwa zikimwaga hapa jamvini juu ya hypersonic za Urusi.
Hypersonic hizo zimekuwa dhaifu mno mpaka sasa Urusi katumia zaidi ya kumi lakini ufanisi wake ni wa...
Hii imevuka mipaka!! Balozi wa Urusi nchini Poland alimwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu wakati akiwa katika harakati za kuadhimisha ushindi wa Jeshi la Urusi dhidi ya majeshi ya kinazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.