International Forum

News and Stories from rest of the World
Watu waliokutwa wameuwawa katika mji wa Bucha, Ukraine wote walikuwa wamejifunga kitambaa cheupe mkononi kama ishara ya kuwa upande wa urusi na kuomba msaada kutoka wanajesh wa urusi. Hii maana...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Vikwazo kwa Urusi imekuwa baraka kwake. Katikati ya vikwazo avuna mahela kuliko kipindi ambacho hakuna vikwazo. ====== Russia’s Q1 Trade Surplus Hits Record As Oil And Gas Prices Soar By Charles...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Takriban wafungwa 43 wameuawa kufuatia ghasia kati ya magenge hasimu ya Los Lobos na R7 kwenye gereza la Santo Domingo. Ecuador inapambana na wimbi la ghasia zinazohusisha magenge ya uhalifu, na...
1 Reactions
8 Replies
850 Views
Kila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa Urusi ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa...
13 Reactions
56 Replies
4K Views
Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya...
1 Reactions
5 Replies
993 Views
Ferdinand "Bongbong Marcos" Jr. ameshinda urais wa Philippines kwa zaidi ya asilimia 50 za kura huku mpinzani wake wa karibu akiwa na wastani wa 30%. Baba yake Dikteta Ferdinand Marcos aliitawala...
2 Reactions
6 Replies
747 Views
Katika mataifa yaliyopata Hasara kubwa sana katika Vita ya Dunia ni Urusi kwa kuanzia miji yake mikubwa kuwa sehemu ya mapambano. Wakati Joto la vita likianza kutukuta Stalin na Viongozi wengine...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200...
1 Reactions
1 Replies
752 Views
09 May 2022 Manila, Philippines 🇵🇭 Katika muendelezo wa watoto wa marais kuibuka baadaye kushika uongozi wa nchi, huko nchi ya visiwa vya Philippines watoto wa Dictator Marcos na dictator Rodrigo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Baadhi ya watu wanadhani Urusi imekurupuka. Ukweli Urusi kila hatua kwa op hii ilipangwa. Urusi inaijua Marekani nje ndani kama ambavyo Marekani inaweza kuwa inaijua Urusi,kwa sababu ya historia...
39 Reactions
61 Replies
6K Views
Putin: Nchi za magharibi zilikua zinataka kutuvamia Katika hotuba ya Vladimir Putin siku ya maadhimisho ya siku ya ushindi, Alisema nchi za Magharibi hazikutaka kusikiliza Urusi, na walikuwa na...
8 Reactions
55 Replies
3K Views
Kwa yanayoendelea huko vitini ni mapenzi, vilio, mashaka na ushetani wa hali ya juu sana. Kila siku makombora ya Russia yanaangamiza miji, miundombinu, na kuua au kujeruji mamia...
19 Reactions
95 Replies
5K Views
Je, Russia ana uwezo wa kiwawekea vikwazo NATO na USA kama walivyomuwekea yeye? Je, kati ya Russia na NATO na USA nani anamhitaji mwingne kimaslahi zaidi. Je, Russia ana uwezo wa kuwapiga ban ya...
3 Reactions
12 Replies
775 Views
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kupanga kufanya gwaride la kijeshi la 'Siku ya (mashujaa) katika mji uliotekwa wa Mariupol tarehe 9 Mei kusherehekea ushindi dhidi ya Wanazi katika vita vya pili vya...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema , Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke. Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa...
20 Reactions
60 Replies
4K Views
Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo. Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais.. Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
5 Reactions
23 Replies
2K Views
.Wote tumeshuhudia mfumuko wa Bei za bidha mbalimbali ulimwenguni kote. Kwanza tulishuhudia uchumi wa Dunia ukitikiswa na ugonjwa wa corona miaka miwili iliopita. Hali iliyosababisha uzalishaji...
2 Reactions
5 Replies
606 Views
Kiongozi wa Taliban ameamuru Wanawake Nchini Afghanistan kuvaa "Chador" ambayo hufunika uso na sehemu kubwa ya mwili. Hii ni moja ya amri kali zaidi kutangazwa tangu Taliban ilipochukua Madarala...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom