International Forum

News and Stories from rest of the World
Zambia wameanza kubadilisha maplastiki na rubber kuwa mafuta na gesi (petroli, dizeli, na gesi ya LPG) Zambia is turning plastic and rubber into fuel (gas, petrol and diesel)
7 Reactions
97 Replies
6K Views
Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu Mavifaru ya mrusi yanabomolewa hovyo na makombora ya Javelin Meli hodari kivita ya mrusi kulipuliwa na...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Zaidi ya wakimbizi, wahamiaji na waomba hifadhi 3,000 wamekufa au hawajulikani walipo kwa mwaka 2021 wakati wakijaribu kufika Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranean na Bahari ya Atlantic. Hayo...
1 Reactions
3 Replies
703 Views
Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto kwa kuajiriwa na magenge ya kihalifu, huku ghasia zinazoongezeka katika mji mkuu wa #Port-au-Prince, zikisabisha vifo...
1 Reactions
1 Replies
758 Views
Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine...
16 Reactions
129 Replies
9K Views
Mamlaka za Guinea zimesema zitamshtaki aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Alpha Conde (84) pamoja na Maafisa wake 27 kwa makosa mbalimbali yaliyofanyiwa akiwa Madarakani. Mbali na mauaji makosa mengine...
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Waandishi wa habari wa Sudan na Sudan Kusini wameeleza kuwa wanakabiliwa na vitisho, ukandamizwaji na ukamataji holela hali ambayo inaondoa uhuru wa utendaji kazi wao. Inadaiwa kati ya Januari na...
1 Reactions
1 Replies
658 Views
Vipimo vimeonesha kuwa Antony Blinken ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19, ametakiwa kufanya kazi kwa njia ya mtandao. Licha ya maambukizi...
1 Reactions
2 Replies
724 Views
China inaiambia Marekani jinsi ya kuisaidia Ukraine Washington inapaswa kuacha mtazamo wake unaozingatia vikwazo kwa Urusi, Beijing inasema .Marekani inafaidika kutokana na kampeni yake ya...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Asasi za kiraia zimetoa wito kwa Serikali ya Marekani chini ya Rais Biden kuwalinda watoa huduma za intaneti nchini Urusi dhidi ya vikwazo. Mashirika hayo yameonya kwamba kukwamisha ufikiaji wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kampuni kubwa ya kifahari ya Chanel ya Ufaransa imeacha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaonunua na kuzipeleka Urusi, baada ya kufunga maduka yake nchini humo. Moscow na baadhi ya wateja...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii Vita imenifunza Jambo, kulikuwa na matamko kutoka kwa Putin na pro Putin, juu ya hii Vita . Na Russia alidhani Vita hii atashinda asubui na mapema. Akapeleka msururu wa vifaru, magari na...
39 Reactions
262 Replies
13K Views
Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nchi zinazounda umoja wa ulaya (EU) zimekubaliana kususia kununua mafuta ya urusi baada ya miezi sita. Lakini zimeziruhusu nchi mbili za Hungary na Slovakia ziendelee kununua mafuta ya urusi maana...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Akihojiwa na vyombo vya habari Raisi wa Ukraine Zelensnky amesema malengo ya sasa kivita kwa Ukraine ni kwanza kuzuia majeshi ya Urusi kusonga mbele ndani ya Ukraine na la pili ni kuyarudisha...
11 Reactions
70 Replies
4K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameruhusu matumizi ya Cryptocurrency baada ya benki za nchi hiyo kushindwa kufanya kazi vizuri kutokana na mzozo unaoendelea nchini humo. Waziri wa Maendeleo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya vita vya pili vya dunia, Urusi na Japan hawakutia saini mkataba wa kumaliza vita, ina maana mpaka leo hayo mataifa mawili yako vitani licha ya kuishi kwa amani, wamekua wakiongea na...
4 Reactions
152 Replies
8K Views
Kundi la Al Shabaab la Somalia limeshambulia kambi ya wanajeshi wa Umoja wa Afrika (AU) katika Mkoa wa Shabelle katikati mwa nchi hiyo, ikidaiwa raia watatu wamepoteza maisha katika mapigano hayo...
1 Reactions
8 Replies
960 Views
Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa...
30 Reactions
107 Replies
6K Views
Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama...
4 Reactions
13 Replies
935 Views
Back
Top Bottom