Milipuko miwili imeripotiwa nchini Moldova katika Mji wa Transnistria vikilenga Minara minne ambayo inarusha Matangazo ya Redio kwa Lugha ya Kirusi. Minara hiyo imeteketezwa pakubwa.
Eneo la...
Bunge la Congress la Marekani limepitisha Sheria ya Enzi za Vita ya Pili ya Dunia kwa ajili ya msaada wa kijeshi na Kiuchumi kwa nchi ya Ukraine. Kwa Mara ya mwisho,Sheria hii ilipitishwa na Bunge...
EU to boost Russian gas imports through countries willing to pay in rubles – media
The EU seeks to make up for a gas supply shortfall in member states that refuse to comply with Russian ruble...
Waziri wa mambo ya nje wa Hungary aqmeamua kuwaumbua wenzake wa nchi za ulaya ambao viongozi wao wanajitokeza kwenye vyombo vya habari na kudai hawakubali kununua gesi ya urusi kwa ruble, wakati...
Kama ungekuwa na busara ungewaita Rais Putin na Zelensky meza moja kujadiliana namna ya kumaliza vita hii lakini umeamua kuwa upande wa Ukraine. Huu ni ujinga mkubwa sana, unachochea uanzishwaji...
Mzuka mwanajamvi!
Mwanamuzik maarufu kutoka Australia 81, anadai kumuona Vladimir Putin akjifanya kuwa mlinzi kwenye meli ( Cruise ship) 1985 alipokuwa anaperform.
Mwanamama huyo alikuwa...
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amekosoa uamuzi wa Mali wa kupiga marufuku vyombo vya habari vya Ufaransa na kuwataka watawala wake wa kijeshi kubadili uamuzi wao...
Nijuavyo Arab League ni umoja wa nchi za kiarabu na AU ni umoja wa nchi za kiafrica. Sasa Somalia, Chad, Sudan, Djibut, Senegal na Mali kuwa mwanachama wa umoja wa nchi za kiarabu kuna mantiki...
Salaaam wana JF
Mzungumzo ya Rais Putin na Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres yaliisha kwa Ombi la UN kuwaondoa waliokwama katika kiwanda cha Azovstal Steel mjini Mauripol, Na...
Kwa mtazamo wangu
1: Hakutakuwa na WW3
2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha.
Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi...
Rais Guillermo Lasso ametangaza Hali ya Dharura ya siku 60 katika Majimbo matatu kutokana na ongezeko la matukio ya uhalifu. Ecuador imeshuhudia ongezeko kubwa la mauaji na uhalifu unaohusiana na...
Sababu ya jeshi la Marekani bendera na nembo zao kuwa na picha ya ndege mbabe Tai
Tai ni ndege mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa kuona vitu vikivyo chini kutokea Angani
Ardhini kuna wababe kama...
Wabongo wengi kama walivyo Waafrika ni wajuaji mdomoni lakini kichwani empty.
Unakuta mtu anaelezea namna gani Ukraine itashinda vita utafikiri hiyo akili anayo.
"Mara Ooh kosa kubwa la Urusi...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amemtaka Rais wa Urusi, Vladmir Putin kurudisha wanajeshi wake aliwapeleka Ukraine
Guterres ameandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa...
Baada ya Urusi kusitisha usambazaji wa gesi kwa Nchi zaPoland na Bulgaria, sasa taifa hilo limesisitiza kuwa itafanya hivyo kwa mataifa mengine ya Ulaya ambayo hayatakubali kulipia gesi kwa fedha...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameliomba Bunge la Marekani kuidhinisha msaada wa ziada wa dola bilioni 33 kwa lengo la kuisaidia Ukraine wakati huu inapokabiliwa na uvamizi wa Urusi.
Rais Biden...
Takribani mwezi mmoja na siku 17 sasa zimekatika tangu Urusi ilipotangaza Operesheni Maalumu ya Kijeshi nchini Ukraine tarehe 24 Februari, 2022.
Kumekuwa na taarifa zinazokinzana kutoka pande...
Kongo yaanza kufaidi matunda ya kujiunga jumuiya ya Afrika Mashariki barabara ya lami kujengwa kutoka Uganda hadi Goma kongo baada ya kongo na Uganda kufikia makubaliano.
Wanajeshi wa Serikali ya...
China imeweka hatua kadhaa za 'Lockdown' katika Miji mikubwa ya Beijing na Shanghai yenye mchango mkubwa katika Uchumi wa Nchi hiyo, ikiwa ni jitihada za kudhibiti Milipuko wa Virusi vya Corona...
Vikosi vya Israel vimevamia Msikiti wa Al-Aqsa, Jerusalem Mashariki na kuwajeruhi takriban Wapalestina 40, wakiwemo waandishi wa habari watatu.
Uvamizi huo mpya ulifanyika Ijumaa asubuhi, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.