Safari ya Waziri wa Ulinzi wa China mjini Tehran; ukurasa mpya katika uhusiano wa kiulinzi na kijeshi wa pande mbili
Jenerali Wei Fenghe, Waziri wa Ulinzi wa China aliwasili mjini Tehran siku ya...
Kauli ya secretary of State wa mambo ya Nje wa USA kwenye vyombo vya habari mbalimbali vya kimataifa kuwa ana confidence kubwa kuwa "Ukraine will overlast Putin "aliyotoa Poland baada ya mkuta...
Ufaransa yatuhumiwa kutaka kuipindua serikali ya Mali
Wanajeshi walioko madarakani nchini Mali wameituhumu serikali ya Paris kuwa imefanya ujasusi na njama za kuipindua serikali ya nchi hiyo. Hii...
Leo Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza msaada mkubwa zaidi wa dola bilioni 33(33USD) kwa nchi ya Ukraine ambao umevunja rekodi na haukutarajiwa na wengi,amepeleka pendekezo hilo bungeni ambapo...
10 Ways to Tell if Your President Is a Dictator
Just because the United States is a democracy now, it doesn’t mean it will stay that way.
By Stephen M. Walt
There are good reasons to worry...
Vyama vya wafanyakazi Nchini humo vimefanya mgomo vikitaka Rais Gotabaya Rajapaksa pamoja na Serikali kujiuzulu. Mgomo huo umesababisha Shule na Biashara kufungwa, pia umeathiri usafiri
Mgomo huo...
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000.
Mwandishi...
Wabunge wa Somalia wamemchagua spika mpya leo Alhamisi Aprili 28, 2022 huku kukiwepo hali ya mivutano kati ya wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika AU dhidi ya Polisi.
Mivutano hiyo...
Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea...
Mawaziri wa nishati wanaishauri Norway kuongeza uzalishaji wa gas na mafuta ili kuziba pengo la gas na mafuta kutoka Urusi.
Bulgaria na Poland wanategemea kiasi kikubwa cha nishati kutoka Urusi...
Bunge la Seneti la Nigeria limepitisha mswada wa kifungo cha miaka 15 jela kwa kulipa fidia ili kumwachilia huru mtu ambaye ametekwa nyara, na adhabu ya kifo kwa uhalifu wa utekaji nyara ambapo...
Baadhi ya bidha za Marekani zinazotamba ulimwenguni.
. Iphone, Apple Computers, Ndege za Boeing, IBM, Intel, Microsoft, Facebook, Whatsapp, Coca-cola, PepsiCola, Colgate,
Haya ukitoa gas na...
Dunia kadili siku zinavokwenda inafikirisha sana.
Vita ni siri. Kumiliki silaha ambayo ikimdhuru adui ushindi unapikana ni jambo LA Muhimu. Na ni muhimu zaidi adui akiwa hajui ukweli wrote...
Zaidi ya watoto milioni 10 ni miongoni mwa wale wanaokabiliwa na ukame mkali katika Pembe ya Afrika.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, Unicef, linakadiria kuwa idadi hii ni milioni...
Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi...
Mama aliye kwenye matibabu akitenganishwa na mtoto wake kutokana na kupata maambukizi ya Ebola
Dozi 200 za chanjo ya Ebola zimepelekwa Nchini DR Congo na nyingine zinatarajiwa kupelekwa katika...
Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la...
Jeshi la Ardhini la Israel limefanya mashambulizi nchini Lebanon kwa kutumia Arterrary baada ya Roketi moja kuvurumishwa kutoka nchini Lebanon na kuangukia sehemu ya wazi kwenye mpaka wa Nchi Hizo...
Jeshi la Anga la Israel linasemakana kufanya mashambulizi makali nchini Syria katika viunga Vya mji mkuu, Damascus.
Shirika la Kuangalia haki za Binadamu nchini Syria linasema kuwa,Zaidi ya...
Juu ya Mlima Entoto, ulioko takriban kilomita 20 kaskazini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, Kituo cha Utafiti wa Anga ya Juu cha Entoto kinavutia macho sana. Mafundi wa China na Ethiopia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.