Afrika imekumbwa na msururu wa mapinduzi ambayo yanatishia kuirudisha nyuma miaka ya 1980 na enzi za utawala wa kijeshi.
Burkina Faso, Chad, Guinea, Sudan na Mali zote zimeshuhudia serikali...
Nimetafakari na kugundua silaha zinazopelekwa Ukraine ni nyingi sana.
Nimesoma Ujerumani wanasitisha kuendelea kumsaidia maana wataishiwa silaha wamebakiza akiba.
Mchambuzi mwingine anasema hats...
Hapa Ukraine ajiulize mara mbili anasaidiwa au anaangamizwa ,haiingii akilini mtu anakula mboga saba alafu anakupa kipande cha silesi eti kakupenda ,
Kwa kamsaada hako usitegemee utamshinda Russia...
Tokea ipate uhuru Pakistan hakuna waziri mkuu aliyedumu kwa mda wa miaka 5, wengi wao ni miaka 4, 3 au siku kadhaa tu, hii inatokana na mfumo wao wa bunge ambao Mara nyingi unamuwih vigumu kwa...
Serikali ya India ipo katika mchakato wa kuweka utaratibu utakaoiwezesha kulipia nishati ya mafuta moja kwa moja kutoka urusi kwa kutumia sarafu yake (rupee) na sarafu ya Urusi (ruble) ili kuweza...
Mgonjwa wa pili aliyekuwa anaugua Ugonjwa wa Ebola amefariki dunia huko Kaskazini Magharibi mwa DRC.
Taarifa hiyo imetolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni siku chache baada ya mlipuko...
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amemwambia mwenzake Volodymir Zelensk wa Ukraine kwamba taifa lake lipo tayari kutoa kila usaidizi katika mchakato wa majadiliano kati ya Urusi na Ukraine...
Jumuiya ya kimataifa imeelezea wasiwasi mkubwa juu ya ghasia zinazoendelea mjini Jerusalem, siku moja baada ya makabiliano baina ya polisi wa Israel na Waplestina kujeruhi watu zaidi ya 200...
Msemaji wa chama cha Tigray People's Liberation Front (TPLF),alikaririwa na vyombo vya habari akidai Aprili 25, 2022 majeshi yao yaliondoka Mkoani Afar, akiongeza kuwa anatumai kwamba msaada wa...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz kuwa nchi yake haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana mjini Moscow ikiwa ni juhudi za hivi...
Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama.
Habari ambazo sio Rasmi upo...
SAN FRANCISCO, April 25, 2022 /PRNewswire/ -- Twitter, Inc. (NYSE: TWTR) today announced that it has entered into a definitive agreement to be acquired by an entity wholly owned by Elon Musk, for...
Urusi iko Ulaya kwanini huwa haitaki kujiunga na Jumuiya ya Ulaya? Sababu nchi za kiafrika hujiunga jumuiya ya Umoja wa nchi za kiafrika za kiarabu hivyo hivyo nk kuliko Urusi?
Wajuzi njooni mjibu
Report ya kinacho endelea huko ukrine kwa mheshimiwa zelensky
Ni siku kadhaa tangu kuanza kwa operation phase ii .... Huko Ikulu ya Kremlin , ambapo amezuru waziri wa Ulinzi Jenerali Shoigu na...
Inasikitisha sn nchi iliyokuwa na bandari yake wanalima wana export nje mazao leo kuanza maisha bila bandari, maana nnasikia puttin anataka kuunganisha huo mji wenye bandari uwe sehemu ya donbass.
Kwa kweli Urusi imefikia kiwango kipya cha aibu, mpaka wanapokea misaada ya silaha kutoka kwa waasi, kainchi kadogo Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi....
Iranian networks have been working...
Read and see photos below:
If you think eating pig is strange, you've never been to Cameroon, Nigeria, Ghana, or Gabon, where people market and buy bushmeat for human consumption and other...
Serikali ya shirikisho la Urusi inaandaa kura ya maoni itakayolifanya jimbo la Kherson kuwa nchi kamili
Mpaka sasa kura hiyo inatarajiwa kuungwa mkono na wapiga kura zaidi ya 95% kutokana na...
Kura za awali na matarajio yaliyopo yanaonyesha Rais Emmanuek Macron anaekekea kutetea kiti chake kwa ushindi unaotegemewa kufikia 58.2% dhidi ya Marine Le Pen.
Source: BBC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.