International Forum

News and Stories from rest of the World
Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa. Watoto hao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali ya Taliban imeagiza 'App' maarufu ya TikTok kupigwa marufuku kwa madai kuwa inasababisha Vijana Nchini Afghanistan kupotea Haijafahamika wazi ni lini marufuku hiyo itaanza lakini Msemaji...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Marufuku ya kuingia Nchini Urusi sasa itawajumuisha Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg pamoja na Maafisa, Wafanyabiashara na Wanahabari wengine 27...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Bilionea Oleg Tinkov wa Urusi amelaani Vita inayoendelea Nchini Ukraine akidai ni 'wendawazimu' na 90% ya Warusi hawaiungi mkono kwani hakuna anayenufaika nayo Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Magari na vifaru vya urusi vinavyotumika vitani Ukraine kutumia alama Z unajua maana yake? Magari yote ya kivita na vifaru vikivyoko vitani Ukraine vyote mbele vina helufi imeandikwa Z Z ni...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Rais Putin wa Russia amesema hili kombola lake la masafa marefu linalofika katika bara lolote duniani litawafanya maadui zake wajitafakari mara mbili mbili kabla ya kumvamia. Naye Rais Biden wa...
21 Reactions
48 Replies
3K Views
Watu sita wameuawa katika mlipuko uliotokea katika mgahawa Jijini Mogadishu ambao ulikuwa ukitumiwa na askari Polisi na Wabunge, Ijumaa Aprili 22, 2022 “Watu wengine saba wamejeruhiwa kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Yani mmarekani na urusi ni mataifa yanayoonekana maadui sana ila nimeshaanza kuhisi kuna jambo zito tunapigwa changa hapa. Juzi puttin katest Soviet-era Voevoda ICBMs a.k.a Satan 2,ni Bomu hatari...
22 Reactions
41 Replies
3K Views
Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia...
23 Reactions
65 Replies
4K Views
Kuna Mwanajamiiforum humu ambaye kaandika heading yake kwa chuki sana kuhusu kuzuiwa kwa sauti za Adhana nchini Saudi Arabia, na inaonekana anachuki sana dhidi ya dini ya kiislamu. Kwa sababu ya...
10 Reactions
47 Replies
6K Views
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hajawahi kushobokea masafari ya nje akiwa raia, mbunge, na makamu wa Rais. Hajawahi kufika Ulaya. Hakawahi kufika bara la Australia Hajawahi kufika...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021 Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya mahakama nchini Afrika Kusini kumpa ushindi mtu aliyetaka kupigwa marufuku kwa sauti ya adhana katika eneo analoishi,wananchi wa madhehebu mbali mbali na imani tofauti kwenye eneo la...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji mhimu wa Mariupol. Umuhimu wa tukio hili ni kuwa hii inawakilisha kushindwa wa wanazi mamboleo wenye itikadi kali. Wanazi hawa waliokuwa wanaulinda mji huo...
17 Reactions
106 Replies
9K Views
Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa...
26 Reactions
114 Replies
6K Views
Ndege ndogo imeanguka katika mtaa wenye watu wengi katika Jiji la Nchini Port-au-Prince Nchini Haiti, jana Aprili 20, 2022 na kuua watu sita akiwemo rubani wa ndege hiyo. Ndege hiyo ilikuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ramadhan ni mwezi wa Baraka kwa Waislamu wote duniani. Katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Waislamu wanafunga na kusali ili kuomba msamaha kwa Mungu wafutiwe dhambi zao. Kawaida...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hafanyi vitendo vya kishoga, ni mavazi tu Mwanzo aliishi kama wanaume wengine kwa kawaida za kiume. Kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe ilibidi avae mavazi ya kike ili asigundulike kuwa ni...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakati Mataifa mbalimbali ikiwemo Marekani yakiendelea kutuma silaha kuisaidia Ukraine kupambana na Urusi, China imesema kuipa Ukraine silaha kunachochea vita na kutoa wito kwa Mataifa mbalimbali...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais Joe Biden wa Marekani atasaini agizo la serikali la kutaka utafiti ufanyike dhidi ya Crypto-currency ili kubaini madhara yake kwenye uchumi na usalama kwa wanaowekeza kwenye fedha hizo. 16%...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom