International Forum

News and Stories from rest of the World
Usiku huu Hamas keshaanza kurusha maroketi kuelekea Israel Ni kujibu mashambulizi ya uchokozi ya Israel Mfumo wa Iron umefeli kuzuia makombora ya Hamas japo jana walifanikiwa kutungua moja...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza hali ingekuwaje kama mpambano kati ya Urusi na Ukraine ungekuwa MMOJA DHIDI YA MMOJA na wengine wakawa watazamaji tu. Ukraine wameshakiri kuwa sehemu kubwa ya silaha zake...
6 Reactions
17 Replies
995 Views
Waziri wa ulinzi wa uturukii bwana HULUS AKAR akiongea JUMATATU asubuh kwenye briefing kuhusiana na kuanza operation Iyo anasema "Hatutasimama, Tutaendeleza Hii special operation bila kikomo...
3 Reactions
78 Replies
4K Views
Guys does the custodian of the US dollar have in its reserves the currencies of the countries that trade in US dollar. In other words s there such a thing a a foreign exchange of the scale big...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Dolla ya Marekani ipo hatarini kusambaratika baada ya vita ya Urusi-Ukraine ikiisha. Baada ya Putin kutangaza mali zake zitauzwa kwa pesa yake RUBEL moja kwa moja, pesa hiyo imeimarika baada ya...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Vikwazo vinawaathiri sana mabeberu wakicheza na urusi watazidi kudidimia KAMPUNI ya huduma ya utayarishaji maudhui mtandaoni ya Netflix yenye makao yake makuu nchini Marekani imepata hasara ya Sh...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Picha ya kwanza juu ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Donetsk bwana Denis Pushilin, Na picha ya chini ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Luhansk bwana Leonid Pasechnik, Jamhuri hizo ni majimbo...
51 Reactions
276 Replies
16K Views
Meya wa Jiji la Moscow Nchini Urusi, Sergei Sobyanin amesema kuwa takriban wafanyakazi 200,000 wa makampuni ya kigeni wanakabiliwa na hatari ya kupoteza ajira zao kutokana na vikwazo ilivyowekewa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kipigo cha Iraq wakuu kilikuwa ni cha kikatili sana. Ziliruka ndege mamia juu ya Anga Siku ya kwanza zikadondosha mabomu kama mvua Baghdad. Hata sisimizi wa Iraq walijua kuna wanadamu katili...
22 Reactions
57 Replies
3K Views
Wanajeshi wawili wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wahasiriwa takriban wote walikuwa raia. Haya yanajiri baada ya watu sita...
1 Reactions
7 Replies
826 Views
Taifa hilo limewataka Wanadiplomasia 31 kutoka Nchi Tatu kuondoka siku kadhaa zijazo. Wizara ya Mambo ya Nje imeagiza Wanadiplomasia 15 wa Uholanzi kuondoka ndani ya siku 14 Agizo hilo pia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huu ni mwaka wa 30 tangu China ilipoanza kupeleka vikosi vya kulinda amani kwa nchi za nje. Ikiwa moja ya nchi kubwa zaidi duniani, katika miaka 30 iliyopita, China imetekeleza kikamilifu wajibu...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwezo wa majeshi ya Iran ni uwezo wa kumzuia adui na kuongeza kuwa, uchokozi hata mdogo zaidi wa maadui kama vile utawala wa Kizayuni wa Israel...
2 Reactions
14 Replies
998 Views
Drone "Gaza" ya Jeshi la Sepah la Iran yafaulu majaribio na kuanza kufanya kazi kikamilifu Ndege mpya isiyo na rubani ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) iliyopewa jina la Gaza...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ni kauli ya rais wa Ukraine ndugu Volodymyr Zelensky alipokuwa anahojiwa juu ya vita inayoendela kwamba mwamba anaweza kugeukia silaha za nyuklia au za kemikali kwa sababu hathamini maisha ya...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Serikali ya Ukraine ilipanga njama za kushambulia makanisa ili kuchochea hisia za Wamagharibi Viongozi wa Russia wamesema kuwa, wamegundua njama zilizofanywa na viongozi wa Ukraine za kushambulia...
0 Reactions
8 Replies
842 Views
Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate...
26 Reactions
96 Replies
7K Views
Baada ya soko la karume mchikichin kuungua uchumi wangu uliporomoka kwa kiwango ambacho hakijawah shuhudiwa tangu mzee pombe atoke dunian,lkn nikapiga moyo konde nikiamin subra ndio mpango mzima...
12 Reactions
16 Replies
941 Views
Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, limeshusha makisio ya ukuwaji wa uchumi wa dunia mwaka huu, likisema uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umechangia kwenye kuichafuwa biashara ulimwenguni na...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu kheri ya pasaka, juzi juzi mkuu wa baraza la usalama la urusi na rais mstaafu Dimitry Medved alionya kua endapo Finland na Sweden watalazimisha kujiunga Nato, basi urusi itakuja na jibu la...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom