International Forum

News and Stories from rest of the World
Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa. _____________ Ukraine’s Armed Forces reported...
13 Reactions
116 Replies
39K Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Marine Lepen katika raundi ya pili ya Uchaguzi wa Rais Nchini humo Kura zimeonesha...
1 Reactions
5 Replies
886 Views
Kwa siku chache mabilionea wawili wenye hela za kutupa na kumwaga wameuawa pamoja na familia zao, mmoja kafia Moscow, Urusi ndani pamoja na mkewe na watoto ila ikasemwa amejitoa uhai baada ya kuua...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Mgombea urais wa Ufaransa bi Marine Le Pen said amesema anaunga mkono vikwazo vyote vya kiuchumi kufuatia uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine isipokuwa nishati ya gesi. Bi Le Pen katika siku za...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden ametoa matamshi kadhaa ambayo yameonyesha kuongeza joto uhusiano kati ya Marekani na Urusi. Hata hivyo, maneno yake ya mwisho...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa tena wito wa kufanya mkutano na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake. Zelensky ambaye alishawahi kuomba kukutana na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Russia yasimasmisha mashambulizi Mariupol kiwanda cha chuma kilichoko Ukraine Moscow magenerali wataka vita iishe warudi Putin Agoma Kiwanda hicho kinamilikiwa kwa asilimia kubwa na viongozi...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
Vyombo vya Habari Nchini Nigeria vimeripoti kuwa zaidi ya watu 100 wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto kufuatia mlipuko katika Kiwanda kinachochakata Mafuta kinyume na Sheria Eneo la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tangu vita vimeanza hii ni week ya tatu putin amekuwa akisika mara kadhaa akiliomba jeshi la Ukraine na wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hiii lakini bado madogo wanakomaa Je, ni kwanini Putin...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Russia-Ukraine live news: Zelenskyy slams UN chief’s Russia visit Ukraine’s president says ‘there is no justice and no logic’ to Antonio Guterres’s decision to travel to Moscow before he visits...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inakuwaje wanajamvi! Mfalme wa Saudi Arabia Salman Bin Abdulaziz anaendelea vizuri na afya yake baada ya kubadilishiwa kwa kuondolewa betri ya zamani na kuwekewa betri mpya moyoni Heart...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ikiwa hali ya vita Ukraine vs Urusi inaendelea kupamba moto, kuna mengi yamejiri tangu mchana, Lakini kubwa zaidi ni. Kwanza ni Ufaransa, Ujerumani, Italia na Mataifa kadhaa Ulaya, yameonesha...
26 Reactions
78 Replies
5K Views
Kila mtu anaongea kitu chake ila ipo siri kubwa sana ambayo wanausalama wanaijuwa nawamepiga kimya japo jana Mzee baba Ameamua kujilipua. "For the God Sake Putin cannot remain in Power" Nini...
26 Reactions
133 Replies
9K Views
Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake. ======= Pfizer coronavirus vaccine...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Rais Volodymyr Zelensky ameonya kuwa uvamizi wa Urusi dhidi ya Nchi yake ulikuwa mwanzo tu, na kwamba malengo ya Moscow yanavuka Mipaka ya Ukraine Katika jitihada za kuleta Amani na kumaliza Vita...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kamanda wa Majeshi ya Ulinzi wa Wapinduzi wa Iran (IRGC) katika Jimbo la Sistan-Baluchistan amenusurika kuuawa katika Mapigano kwenye mpaka wa Iran na Afghanistan. Lakini Mlinzi wake aliuawa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Uharibifu wa majengo na miundombinu ya Ukraine kutokana na uvamizi wa Russia umefikia hasara ya takriban dola bilioni 60 na utaongezeka zaidi kadri vita vinavyoendelea, Rais wa Benki ya dunia...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
The former FBI official who altered the email and was caught by the IG is Kevin Clinesmith. He said “my god damn name is all over the legal documents investigating [Trump’s] staff” the day after...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndege maalumu ya siri ilokaa angani kwa miaka 2 imetua Leo mjini Florida baada ya kukamilisha operation zake kukagua usalama wa USA dhidi ya Wabaya wake Inasemekana ni ndege pekee ambayo Ina...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Pengine kama isingetokea Uvumi ktk mitandao kuhusu rais Kim Jong Un wa Korea ya Kaskazini basi leo tusingemfahamu Mwanadada Yo Jong, ambae ndie mtu mwenye uwezekano mkubwa wa kurithi madaraka...
10 Reactions
92 Replies
14K Views
Back
Top Bottom