International Forum

News and Stories from rest of the World
Nilichogundua hoja za vita ya Russia na Ukraine kwa Tanzania hatuna watu wengi wajuzi wa siasa za kimataifa wala upinzani wanaweza local politics tu. Huoni Tundu Lissu au Mbowe wala Godbless...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amezishutumu nchi za Magharibi kwa woga, wakati ambapo nchi yake inapambana kuzuia uvamizi wa Urusi. Akilihutubia taifa jana usiku baada ya Rais wa Marekani...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukraine ni Taifa kubwa kwa eneo uk ilinganisha na mataifa mengine ndani ya Ulaya, Ispokuwa Urusi ambayo Nusu ni Ulaya na Nusu ni Asia, Ukraine ni nchi miongoni Mwa zenye wasichana warembo zaid...
10 Reactions
199 Replies
25K Views
Marekani imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kuwa ni maafisa wa ujasusi wa Jeshi la Urusi, wanaodaiwa kuwa waliendesha mashambulizi ya...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Baada ya figisu figisu za muda mfupi kumzuia mkurugenzi mkuu wa kampuni ya space X na mtu tajiri zaidi duniani kwa paper assets bwana Elon Musk hatimaye amefanikiwa kuununua mtandao wa twitter...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Marekani na Nato wamemponza mwenzao, utampelekeaje Zelensky silaha na mindege! Ona sasa kilichomkuta huyu Comedian....hapa BlackPanther anahesabu siku za kuimega ukraine, Nawasubiri pro...
24 Reactions
95 Replies
6K Views
Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo...
2 Reactions
3 Replies
864 Views
Waumini 20 wa Kiislamu wameuawa katika eneo la Amhara nchini Ethiopia katika matukio tofauti, moja likiwa kuviziwa na watu wasiojulikana wenye silaha, wakitoka msibani Aprili 26, 2022 Inaelezwa...
1 Reactions
3 Replies
760 Views
Kuna msemo maarufu wa waingireza usemao "history repeats itself" kwa ninavyoona majeshi ya Urusi huko Ukraine huenda yakatumia miaka 40 kwenda Kyiv kama wana wa Israel walivyotumia miaka 40...
2 Reactions
2 Replies
681 Views
Japo watu wengi walikuwa wanafahamu kuwa lengo la Urusi tangu mwanzo ilikuwa ni kuidhoofisha Urusi kiuchumi na kijeshi Walikuwa wanafanya kama siri fulani. Kwa sasa wanasema kwa wazi lengo hilo...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Huwezi kuwaelewa wanasiasa! Jana Bulgaria iliamua kuachana na gesi toka urusi ambayo kimsingi ina bei ndogo na kuamua kutumia gesi toka Azerbaijan ambayo kimsingi inauzwa kwa bei ya juu zaidi...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Hii inamaana itakuwa rahisi kwa Maadui wa Urusi kuingia na kutoka Urusi kwa wakati wote. Kituo Cha Siri cha Jeshi la Urusi kinachohusika utafiti wa Makombora kimeungua na moto watu 5 wakifariki...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus … ======= (CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip...
3 Reactions
78 Replies
5K Views
Kampuni ya usafirishaji ya Uber imekubali kulipa faini ya dola milioni 26 za Australia ($19m) kwa kuwahadaa wateja wao, kwa kuonya kwamba wanaweza kutozwa ada ya kughairi ‘cancellation fee’ na kwa...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
KISSINGER AMEONEKANA CHUMBANI KWENYE MITAMBO YA VITA YA MAREKANI AKICHEKAA 🔷 Kissinger: World War III will come and Muslims will turn to ashes ... Former US Secretary of State Henry Kissinger...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Hebu piga mahesabu wewe ndio Rais wa nchi yoyote ile halafu itokee nchi nyingine jirani inataka kuchukua maeneno yako kwa lazima I mean Vita. Yaani assume hapa Tanzania nchi majirani mojawapo...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Shirika la misaada katika eneo lenye vita la Darfur, limesema Aprili 24 2022 yaliibuka mapigano kati ya waarabu na wasikuwa waarabu magharibi mwa Darfur, na kusababisha vifo na majeruhi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi. Mods usiunganishe uzi. Ukraine, Georgia na Moldova ni mataifa ulaya ambayo yalikuwa kwenye mchakato wa kujiunga na European union. Licha ya bado kutojiunga lakini Raia wake...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Umoja wa mataifa UN mara nyingi umeomba vita baina ya Urusi na Ukraine visitishwe haraka.Papo hapo kila leo Marekani na Uiengereza wanatoa ahadi za wazi wazi za kupeleka silaha kwa Ukraine ili...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom