International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema kuwa muda sahihi umefika wa kupiga marufuku ulaji wa mbwa katika nchi hiyo. Rais Moon ambaye ni Moja ya watu wanaopenda ufugaji wa mbwa amesema upigaji...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello Great Thinker ni hasara gani Mrusi amepata kwenye hivi vita .na ni faida gani ameshapata kwenye hii vita ?
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba dunia kuandamana kupinga operasheni ya Urusi nchini Ukraine. Operesheni ya Urusi nchini Ukraine imesababisha mapigano na vifo vya watu wengi tangu kuanza...
2 Reactions
61 Replies
4K Views
Utasikia North Korea maisha magumu, north korea iko hoi kiuchumj. Hebu tazama mji wao mkuu utaulinganisha na mji wa nchi gani Afrika? Halafu nchi ambayo huruhusiwi kujenga au kuuza makazi, makazi...
1 Reactions
4 Replies
624 Views
Huku tukiendelea na Juma kuu la Pasaka kwa kushuhudia ndugu zetu wa Ukraine wakiwa wameenea dunia nzima kama wakimbizi na kuuliwa pasipo sababu za msingi kisa propaganda zisizo na mantiki kutoka...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
The Military Situation In The Ukraine by Jacques Baud March 2022 Part One: The Road To War For years, from Mali to Afghanistan, I have worked for peace and risked my life for it. It is...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu na wachambuzi wa medani wanakubaliana kuwa victim wa kwanza ndani ya uwanja wa vita ni ukweli kwa kulitambua hilo ndio maana majeshi yote duniani yanakula kiapo na kutakiwa kutii order...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa Uingereza mh Boris na viongozi wengine waandamizi zaidi ya 10 akiwemo waziri wa foreign mama Patel wamepigwa marufuku kuingia nchini Urusi. Source: BBC
2 Reactions
5 Replies
673 Views
Meli ya kivita ya urusi Moskva flag ship imegeuzwa kuwa Nyambizi na waukraini. Hii ni taarifa mbaya sana kwa Warusi na kwa ujumla meli hii ilikuwa ndiyo nembo kuu ya urusi huko black Sea. Vita...
24 Reactions
62 Replies
4K Views
Hili la Uturuki kuokoa wanajeshi 54 halijakaa vizuri, hao wauaji walipaswa wazame wote, humo walikua zaidi ya 500 hivyo bado kuna mamia watakua chakula cha papa baharini. Mwanajeshi Mrusi hapaswi...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Nchi ya Ukraine imeingia kwenye vita kwa nia ya kujiunga na kuongoza ushirikiano na umoja wa NATO jambo ambalo Urusi hawalitaki. Katikati ya vita hivi na madhara makubwa kwa nchi ya Ukraine...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Jeshi la anga la Ukraine hapo kabla ya kuanza kwa vita liliripotiwa kuwa na mifumo mingi anuai ya ulinzi wa anga lake, ambayo ni: Pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo ni aina za S-300P...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa wasomaji wa historia wanawezea kufahamu hili Urusi katika Vita ya Dunia walivyoingia 1941 baada ya Germany kukiuka mkataba na Soviet walioingia kwa Siri kugawana ulaya Mashariki. Ambapo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema mwisho wa siku Urusi hatimaye itaibuka na nguvu na uhuru zaidi baada ya kukabiliana na matatizo yaliyosababishwa na kile alichokiita vikwazo haramu vya nchi za...
15 Reactions
167 Replies
12K Views
Takriban watu 35 wamefariki dunia na wengine 71 kujeruhiwa baada ya Basi lililokuwa limewababa kuelekea kwenye mkusanyiko wa Pasaka kutoka nje ya barabara na kutumbukia kwenye korongo Kwa mujibu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa...
21 Reactions
150 Replies
8K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Viongozi wa Mataifa ya Magharibi kukubaliana haraka juu ya vikwazo vya Mafuta ya Urusi, akisema kushindwa kwao kufanya hivyo kunagharimu maisha...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Wachunguzi wa Urusi wanasema kuwa Ukraine ilifanya mashambulizi ya anga kwenye eneo la makazi nchini Urusi mapema leo. Maafisa wanasema helikopta mbili za kijeshi zinazoruka chini zikiwa na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Sasa ni wiki sita tangu vita ya Russia vs USA inayopiganiwa Ukraine ianze. Hakuna dalili ya vita hii kumalizika siku za karibuni. Na kuna uwezekano wa kugeuka kuwa vita ya kinuklia mbaya ambayo...
17 Reactions
65 Replies
5K Views
Idadi ya maambukizi ya Corona na vifo vinavyotokana na virusi hao vimepungua kwa kiwango kikubwa katika Bara la Afrika kwa mara ya kwanza tangu kuibuka kwa maambukizi hayo. Takwimu hizo ni kwa...
0 Reactions
5 Replies
769 Views
Back
Top Bottom